FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Kama ni enzi zile za memkwa,basi ulisoma bure acha kubisha
"Memkwa" ndiyo mdudu gani?
Kama ni enzi zile za memkwa,basi ulisoma bure acha kubisha
MUSSA ALLAN kamchapa mimba faizafoxy,na akizaliwa mtoto lazima awe jini kudadadeki.
"Memkwa" ndiyo mdudu gani?
Husiufanye moyo wako kuwa mgumu,kubali ombi langu la kukusaidia...watu wa umri wakomara nyingi hilo tatzo huwa linawapata sana ww sio wa kwanza Bibi Faiza
= usiufanye
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga au wewe ni yule mwenye ujinga wa kurithi?
Ninafanya hivi kwa faida yako bibi yangu,kuwa na afya ya akili ni jambo la kheri sana.Kubali upate matibabu
Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpangilio.
Halafu utakuta umekaa ofisini badala ya kutumia muda wako wa kazi kwa faida yako na aliyekuajiri wewe unamshobokea FaizaFoxy utakwenda na maji.
Punguani wahed.
= usiufanye
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga au wewe ni yule mwenye ujinga wa kurithi?
Wacha kuhororoja na kubwabwaja bila mpangilio.
Halafu utakuta umekaa ofisini badala ya kutumia muda wako wa kazi kwa faida yako na aliyekuajiri wewe unamshobokea FaizaFoxy utakwenda na maji.
Punguani wahed.
Kwanini uione kuwa ni chuki wakati kila kitu kipo wazi?
"Kiongozi" hana maadili hata chembe. "Kiongozi" ameshindwa kutumikia kanisa na kanoni alyoisomea.
"Kiongozi" anaekopa fedha za chama kujengea nyumba hawara.
"Kiongozi" aliyezaa na mke wa mtu.
"Kiongozi" aliyetenganisha wana ndoa.
"Kiongozi" aliyeacha mwanamke mwengine na watoto bila kuwahudumia mpaka wamemfikisha mahakamani.
"Kiongozi" anemwambia "body guard" wake akamaliziane na "mama".
"Kiongozi" anaeamuru mtu ateswe.
Hivi huyo ni "Kiongozi" au majanga! Fikiri.
Kiukweli ni mtu mzima japo sio mzee ki vile, alikua mwalimu wa rafiki yangu wa karibu sana enzi zile.
Ila sijui kama bado ni mwalimu mpaka sasa. Ila yuko bright mambo mengine ukiachilia ushabiki wa kidini na anaipenda sana CCM.
duuuu kweli we umeshindikana.
Hata mohamed said mkongwe humu hana chuki km hizo.
Tatizo lako unachanganya mihemuko ya dini uliyojazwa chuki na huko msikitin juu ya dini zingine na unaileta kwenye siasa.
Mbna kina shehe kipozeo ni waislam safi tu,halafu ww ni mwanamke kwa chuki zako nch km Tanzania hupat hata uenyekit wa mtaa.labda Jk akuhurumie akupe u DC kabla ya october.ila ungekuwa nchi km somalia ungekuwa lulu km WHITE WIDOW,pengine we ungeitwa BLACK WIDOW
Slaa ameenda kuuza sura tu, hana upendo wa dhati.
hata mwenyewe keshakata tamaa sasa hivi ziara mikoani kwa ajili ya kupata posho
Mkiambiwa ukweli mnauita chuki. Mkikosa hoja mnakuja na ngao ya "udini", sijuwi "ubanini" mtakuja nalo lini nyie kila mkikosa hoja mmekalia "udini", "udini".
labda waliojiandikisha wote siku hiyo wawe vichaajiandeni kisakolojia huyo ndo raisi mtarajiwa .
Udini na ukabila utaipeleka ccm kaburini mwaka huu.
huyu sijui hata anagongwa saa ngapi.kuna siku ni kama alikeshaSamahani kwani wewe huwa unajibu ukiwa wapi manake mchana,usiku, asubuh yaani nishida au nyani haoni ku.....
Mkiambiwa ukweli mnauita chuki. Mkikosa hoja mnakuja na ngao ya "udini", sijuwi "ubanini" mtakuja nalo lini nyie kila mkikosa hoja mmekalia "udini", "udini".