Dk. Slaa afika msibani kwa Sheikh Simba mchana huu

Dk. Slaa afika msibani kwa Sheikh Simba mchana huu

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,458
[h=3]DK SLAA AFIKA MSIBANI KWA SHEKH SIMBA MCHANA HUU[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa akisalimiana na baadhi ya waombolezaji baada ya swala ya kumsalia Marehemu Mufti Mkuu wa Tanzania Shehe Issa Shabaan Simba iliyofanyika leo Makao Makuu ya Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mh kunawatu hawakosi cha kuongea watakuambia kwanini hajavaa kanzu,kikofia na bakora.
 
Mh kunawatu hawakosi cha kuongea watakuambia kwanini hajavaa kanzu,kikofia na bakora.
Unadhani wengine wana akili finyu kama zenu? Angekuwa hapo mtukufu Rais mgekosa la kuongea kweli ninyi!!
 
MUSSA ALLAN, kuna wakati japo mara moja moja unatakiwa kuutendea haki moyo wako!. Najua ni vigumu sana kama hujazoea lakini ukifanya mazoezi ya kusema kilichoko moyoni mwako utazowea na utakuwa ukiwashanga wasiotaka kusifia tendo au neno jema likifanywa na wanayedhani hawako upande wake.. Kama vile ccm bungeni wanavyopigia kura mtu badala ya hoja!.

Jizoeshe utazoea na utaona namna gani ukweli unavyokuweka huru!

BTW, hivi huko ccm ni kipi kinachompa mtu kuonekana bora na kukubalika kati ya "Wema" na "Uovu"?


Slaa ameenda kuuza sura tu, hana upendo wa dhati.
 
Back
Top Bottom