Achana na mimi, changia hoja zangu.
kama hiyo hapo mkuu.Personality ya kuitwa president inatakiwa iweje? Nipe mfano wa mtu mwenye hiyo "personality".
kama hiyo hapo mkuu.
kama hiyo hapo mkuu.
Mtazame Kikwete.
Kikwete ndo SI unity ya personality ya kuwa rais tanzania?
Mara mia tusiwe na rais mwenye personality na anatuletea maendeleo kuliko kuwa na rais handsome ila bogus kichwani...