Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,018
Unajuwa neno "elimu" limetokea wapi?
Kwahiyo ww huwa unajiuliza huyu samaki katokea wapi ili umule?
Jibu swali acha kupindisha mada: marehemu alikuwa na elimu gani?
Unajuwa neno "elimu" limetokea wapi?
Basi tutamchagua mkatoliki Charles Makongoro Nyerere. :becky::becky::becky:
Kwahiyo ww huwa unajiuliza huyu samaki katokea wapi ili umule?
Jibu swali acha kupindisha mada: marehemu alikuwa na elimu gani?
Huyo kashindwa kusimamia kanisa, kashindwa kusimamia wanawe, kashindwa kusimamia hawara (jikumbushe ya Khalid Kagenzi). Ataweza kusimamia nchi?
Hivi hizo shule huwa mnakwenda kusomea ujinga?
Unajuwa neno "elimu" limetokea wapi?
Huyo hata "personality" ya kuitwa "President" hana.
Kashindwa hata kusimamia mapato ya matumizi ya chadema akamweka hawara ndiyo asimamie programu za mapato na matumizi ya chadema. Eti akakopa fedha za chama kumjengea hawara mabwepande, sasa hicho chama cha siasa au saccos, huyo akifanywa Rais (Mungu apishe mbali) si ataigeuza BOT kuwa saccos yake binafsi.
Hivi yote hayo hamyaoni?
Amma kweli mkiitwa "misukule" hakuna kosa.
Sikusoma bure, kumbuka hilo.
anasema atasilimu akufanye mke namba two naona hilo hujaliona ili na wewe ujengewe nyumba mambwe pande
Sema anawajuwa misukule, maana mnamchangia kwenye mabakuli yeye anamjengea mke wa mtu jumba la kifahari mabwepande. Cheza na Daktari wa kanoni
Sema unareason nyingine ya kutompenda dr.slaa wala sio sura wala elimu yake...ushauri wa bure tuu chuki ikipitiliza unaweza kutafuta hata uchawi.be moderate mkuu
Sema unareason nyingine ya kutompenda dr.slaa wala sio sura wala elimu yake...ushauri wa bure tuu chuki ikipitiliza unaweza kutafuta hata uchawi.be moderate mkuu
Kwanini uione kuwa ni chuki wakati kila kitu kipo wazi?
"Kiongozi" hana maadili hata chembe. "Kiongozi" ameshindwa kutumikia kanisa na kanoni alyoisomea.
"Kiongozi" anaekopa fedha za chama kujengea nyumba hawara.
"Kiongozi" aliyezaa na mke wa mtu.
"Kiongozi" aliyetenganisha wana ndoa.
"Kiongozi" aliyeacha mwanamke mwengine na watoto bila kuwahudumia mpaka wamemfikisha mahakamani.
"Kiongozi" anemwambia "body guard" wake akamaliziane na "mama".
"Kiongozi" anaeamuru mtu ateswe.
Hivi huyo ni "Kiongozi" au majanga! Fikiri.
Unajuwa neno "elimu" limetokea wapi?
Mimi ndio maana najichanga hapa najua tu october mirembe watahitaji msaada wa hali na mali kwa kuzidiwa na wagonjwa kama wewe.
Achana na mimi, changia hoja zangu.