Rahim Jr
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 561
- 282
Slaa ameenda kuuza sura tu, hana upendo wa dhati.
Muogope Mungu wako
Slaa ameenda kuuza sura tu, hana upendo wa dhati.
Yaani woooote walofika umemuona slaa tu? Ama kweli kupenda kubaya
Raisi mtarajiwa wetu Dr.Slaa amefanya jambo la maana kwenda kutoa pole kwa wahusika wote.
Hivyo ndivyo anavyopaswa kuwa kiongozi wa umma.....
...huo upendo wa dhati kipimochake ni kipi hasa?...
Mbona wewe unaupendo wa dhati kwa mafisadi
Hakika dr.slaa anazijua shida za watanzania.Mungu ametushushia kiongoz tusipomtumia itatuchukua miongo mitatu tena kumpata mtu km huyu
hahahaaa!
unalo.....
Nape Nnauye kishakuharibu akili wewe
MUSSA ALLAN, kuna wakati japo mara moja moja unatakiwa kuutendea haki moyo wako!. Najua ni vigumu sana kama hujazoea lakini ukifanya mazoezi ya kusema kilichoko moyoni mwako utazowea na utakuwa ukiwashanga wasiotaka kusifia tendo au neno jema likifanywa na wanayedhani hawako upande wake.. Kama vile ccm bungeni wanavyopigia kura mtu badala ya hoja!.
Jizoeshe utazoea na utaona namna gani ukweli unavyokuweka huru!
BTW, hivi huko ccm ni kipi kinachompa mtu kuonekana bora na kukubalika kati ya "Wema" na "Uovu"?
mkuu natamani sana nibahatike kukuona ili niweze kutadhimini unachokiandikaga humu kama kinaendana na ulivyo.
Poleni wote waliogushwa na msiba huu,Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awape Amani mioyoni mwenu.
mbona misiba ya mashekh wenye kutetea uislamu hajaja
Nilikua nakuheshimu sana. Kumbe ni wale wale magamba,
Bure kabisa
Duuh, kwahiyo upendo wa dhati anao yule aliyeseam fedha za ESICUROUW si za umma, ili wanafunzi waendelee kukaa chini, na mahospitalini kuendelee kukosa dawa na gharama za nishati zipande
Unaonyesha jinsi ulivyo na akili finyu, asingeenda ungekuwa mstari wa mbele kupiga chapuo kwamba hakwenda kilioni kwa sababu aliyefariki ni muislam.
kama we unavyouza sura basi unadhani kila mtu anauza sura
mbona misiba ya mashekh wenye kutetea uislamu hajaja
Wacha kutumika kijana,tafuta kwa jasho hasa