FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Hahahaaa usigope bi mkubwa tutakuweka kwenye maombi naona mdogomdogo akili yaacha mwili .
Huyo wa kuogopa ni mimi? Unanisoma kwa uoga?
Hahahaaa usigope bi mkubwa tutakuweka kwenye maombi naona mdogomdogo akili yaacha mwili .
Wewe mama kama sio hii elimu ya Nyerere ya bure uliyopata na ukawa mwalimu ,,,,, sasa hivi ungekua unauza mama ntilie Maneromango.
Kwanini unachukia anything in trousers na anybody who is not a muslim ?
Nitaslim nikufanye wife number two.
Sikusoma bure, kumbuka hilo.
Mwanga sio lazima ufumaniwe matendo tako tu.
Kashindwa hata kusimamia mapato ya matumizi ya chadema akamweka hawara ndiyo asimamie programu za mapato na matumizi ya chadema. Eti akakopa fedha za chama kumjengea hawara mabwepande, sasa hicho chama cha siasa au saccos, huyo akifanywa Rais (Mungu apishe mbali) si ataigeuza BOT kuwa saccos yake binafsi.
Hivi yote hayo hamyaoni?
Amma kweli mkiitwa "misukule" hakuna kosa.
MUSSA ALLAN kamchapa mimba faizafoxy,na akizaliwa mtoto lazima awe jini kudadadeki.
Achana na mimi, changia hoja zangu.
hata mwenyewe keshakata tamaa sasa hivi ziara mikoani kwa ajili ya kupata poshoraisi mtarajiwa wetu dr.slaa amefanya jambo la maana kwenda kutoa pole kwa wahusika wote.
Kumbe ni bibi?? Duuh
Kiukweli ni mtu mzima japo sio mzee ki vile, alikua mwalimu wa rafiki yangu wa karibu sana enzi zile.
Ila sijui kama bado ni mwalimu mpaka sasa. Ila yuko bright mambo mengine ukiachilia ushabiki wa kidini na anaipenda sana CCM.
Stress mbaya sana
Huna akili kabisa. Hivi hii thread inahusiano gani na mbio za urais? Yaani ukiwa CCM lazima uwe mpumbavu. Your comments have no coherance to what has been posted. There is no contextual relation btn your comments and what has been posted.
Kabla cjacomment na kukujibu maneno yako hapo juu,ni kweli mkuu ulidhamiria kuniambia mm hivi vitu au??
Nimekupm kamanda! It was not my intention. My intention ilkuwa kumjibu kibaraka wa ccm FF
Don't worry mkuu,may Jah peace b upon you
Pamoja sana kamanda!. Ameni
Ata achana vp na ww na wakat huo huo achangie hoja zako???
Najua utaona kama masihara au tunazingua ila kiukweli unahitaji msaada mkubwa sana wa ushauri ili uwe sawa
Nnauhakika wewe ua ujinga wa kuzaliwa na si wakufundishwa shuleni. Hata ufanye nini unao huo, haufutiki.
Pole sana na Muombe Mungu wako sana usiwarithishe wanao.