Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
Mkuu KJ unakumbuka kama ile tume iliundwa kuchunguza vyeti hivi vya waheshimiwa imefikia wapi au hata kama imekufa imefia wapi? It is disgusting kuona watu wanaendelea kupeta kwa kutumia vyeti wasivopata kutoka vyuo vinavotambulika..na hivyo kutia shaka uwezo wao kitaaluma
Wako wengi labda ndio maana wame-i-mute hiyo topic. Kikwete aliwapasisha pale aliposema kuwa uwaziri hausomewi kwa hiyo hata ubunge ni vivo hivyo. Kisheria hii ni kweli, lakini hatutaendelea kama tutaiendekeza maana, the poorly the Minister's/ MP's education is the more likely is for him/her to make unprofessional and unwise decisions.