Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

Dk. Nchimbi tulia! Mwosha huoshwa

KESI IMEKWISHA FUNGULIWA....NANUKUU :IMEFUNGULIWA KESI LEO .CIVIL CASE NO 42 OF 2008 MAKAMA KUU YA TANZANIA KANDAS YA DAR ES SALAAM.PAMBANO LITAKUWA KALI,UCHAFUZI UTAKUWA MKALI ZAIDI HATIMAE KWA NIABA YA WANAOONEWA NA KUSINGIZIWA KILA KUKICHA TUTASHINDA.

Mbona katika upaparazi wangu sijaiona hii kesi kwa uwazi kama imefunguliwa? Iko mahakama gani? Mbona kuu sijaiona?

PM
 
Sam,

Naomba upunguze jaziba, huyu ndiye Nchimbi, Namkumbuka sana akiwa pale Bunda kama mkuu wangu wa wilaya, mtu mpole,mwenye kusema kwa maarifa,kumbe alitaka ndoto zake zitimie aitwe waziri,na hilo limetimia, ila asisahau kuwa bora awatumikie watanzania ili aje akumbukwe baadae, sisi wanabunda tungejua ni mkorofi hivi kichwa chake kingekuwa halali yetu.Ajabu ni kwamba Nchimbi hataki kujadiliwa kwa sasa, Tanzania daima wamefungua domo lao kwake amedai bilioni 1, kwa kusema ametukanwa,hiii ni hatari sana kama unakuwa na viongozi wa namna hii.Kumbe Nchi Utu wake umejengeka juu ya pesa?
 
Sam,

Naomba upunguze jaziba, huyu ndiye Nchimbi, Namkumbuka sana akiwa pale Bunda kama mkuu wangu wa wilaya, mtu mpole,mwenye kusema kwa maarifa,kumbe alitaka ndoto zake zitimie aitwe waziri,na hilo limetimia, ila asisahau kuwa bora awatumikie watanzania ili aje akumbukwe baadae, sisi wanabunda tungejua ni mkorofi hivi kichwa chake kingekuwa halali yetu.Ajabu ni kwamba Nchimbi hataki kujadiliwa kwa sasa, Tanzania daima wamefungua domo lao kwake amedai bilioni 1, kwa kusema ametukanwa,hiii ni hatari sana kama unakuwa na viongozi wa namna hii.Kumbe Nchi Utu wake umejengeka juu ya pesa?

hapana hauko sahihi kwa kuwa kila mtu ana haki ya kulinda heshim yake na utu wake.Kwa dunia iliostaarabika mtu kwenda mahakamani ni njia muafaka na ya heshima kubwa sana....kuna mambo nisiokubaliana na Nchimbi lakini kwa mtu ambaye amepata kuwa nae karibu utagundua huyu jamaa akili yake imetulia sana na ana uwezo wa uongozi.ipo mifano hai ya uwezo wake wa uongozi.
 
Wanajamii, yafuatayo ni maelezo ya chuo alichopatia Phd Mhe. Nchimbi cha 'commonweath Open University" kuhusu hadhi ya chuo hicho.......'


"About Commonwealth Open University


COU provides adult continuing education. It was developed to meet the needs of adults by offering non-resident degree and other programs on an international basis. The programs have been organized and developed using as a starting point the "off-campus" external degree concept tried and tested by the various "universities without walls".
There are no entry requirements for undergraduate courses. You decide how long you will take to complete your course work. While you are studying, a teacher will be available to offer help, answer questions, and guide you through the learning process, but students are free to choose their own study pace.
As an institution of distance learning, COU has been able to assemble a faculty of recognized experts from throughout the global marketplace. Our faculty consists of university professors, business executives, consultants, and other specialists. Though these instructors vary in subject matter expertise, they share important attributes. All of them are actively practicing what they teach, and they are skilled in imparting their knowledge through distance learning channels and technology.
COU is committed to providing equal opportunities for study. We welcome applications from English speaking people of all nationalities and from any background, regardless of race, gender, sexual orientation, age, occupation, marital status, sensory or physical disability, religious or other beliefs.
Commonwealth Open University is an international institution registered and established in the British Virgin Islands (U.K.), which has many students all over the world. COU educational programs are acknowledged as the foremost, with an excellent academic reputation. COU staff and lecturers are very committed to quality in services. Our graduates have had remarkable success in having their degrees accepted. Although we can not guarantee that a COU degree will be accepted, we will gladly supply information to potential or current employers or institutions".

NB; YALIYOPIGIWA MISTARI YANAONGEZA WASIWASI JUU YA UWEZO WA TAALUMA NA HADHI YA CHUO HICHO.......

melezo haya yapo katika website: www.commopu.org/commopu.htm

UTATA UNAJITOKEZA ZAIDI UKIFUATILIA MIJADALA KUHUSU CHUO HICHO KATIKA blog ya Degree.net (tembelea http://online.degree.net/accredited-............wadau wa elimu kwingineko wanaponda kwa kusema........

".........( Mdau wa kwanza ...

Homeless4ever) .....
"hiiii , is there is any body know any thing about this university
Commonwealth Open University
is't accredited or not ..

Homeless4ever-Dubai.........

Mdau wa pili (Baraban)

" Last time I read about this school it was unrecognized with low academic value. Some regard it as Mill.
In Us in Oregon and couple of other states their degrees are illegal.

Go to Open University UK they are respected established open university"...........

Mdau wa tatu (Ahamed)

" Hi
This University definately with out a doubt is a mill,(as I have always stated that not all unaacredited schools are mills, although most are,there are some unaacredited schools that are really good, and do not fall under the mill banner).
For your info here is a clipping from the Star newspaper (South African daily newspaper).:


There's nothing open about this university (Hakuna Kitu!)

Some are practising with their degrees from Mensana and Commonwealth Open

They were promised an international degree and after years of hard work were left with nothing to show for it.

The Commonwealth Open University advertised internationally accredited degrees to South African students. But a month ago an article appeared in Rapport newspaper exposing Mensana college for admitting students on short courses that were not accredited with any South African institution.

Concerned, some students of Commonwealth Open University contacted The Star, claiming they studied for degrees through Mensana.

"My heart stopped when I saw that report," said one student. "I thought after all my years of hard work my (PhD) thesis might be worth nothing."

After paying R20 000 (+/-$2900), she said all she had to do was bind her thesis and hand it in for marking.

"I called Liezel Herholdt to ask what was happening after the report, but she told me it just involved the certificate courses and I won't be affected because mine is a degree. Professor Marius Herholdt (her adviser) told me over the phone that he applied for accreditation with SAQA (South African Qualifications Authority) and the CHE (Council for Higher Education) in 2006 but was just waiting for it to come through."

The CHE told The Star that they had received many complaints about the two institutions - neither of which was accredited with them. The Department of Education confirmed it had written Mensana a letter after discovering they were not accredited as a higher institution in South Africa. It received a reply from Mensana saying it Mensana not offering higher education courses.

SAQA said that they first find out whether international institutions are recognised in their own countries before giving them accreditation in SA.

"Commonwealth Open University operates out of the Virgin Islands and it is not recognised by their own body in the UK," said Joe Samuels, the deputy executive officer at SAQA.

The university is listed on website Wikipedia's list of unaccredited institutions of higher learning, which warns potential students that their degrees are also not accepted in the US.

"I studied with Mensana," said a former student who did not want to be named as she is operating as a medical practitioner with her degree. "The standards were terrible. Sometimes we came to class and nothing was prepared. There were lots of things that weren't kosher and every time we queried what was happening we were told a different story."

When The Star called Marius Herholdt, he denied having anything at present to do with the university.

"I'm no longer involved," he said. "SAQA wants all these overseas universities to register with them so we terminated our contract. This happened at the end of 2005, but there were still a number of students in the system that we had to finish up with. We are not enrolling any new students. Mensana is only a campus. We are open to any organisation who wants to lecture there."

The Star, however, has in its possession a degree issued by Commonwealth Open University signed by Herholdt.

Mensana spokesperson Gary Prince said they were being mixed up with Commonwealth Open University and were in fact called the Commonwealth Closed Corporation.

"The activities of Mensana have nothing to do with that of Commonwealth Training cc. We apply a service to people who want us to facilitate their studies through any other institution."

By Angelique Serrao The Star 11/04/07.

So I would suggest you stay away from Commonwealth Open University......(Kaa mbali na chuo hicho...*
 
Naomba nianze kwa kuomba msamaha kwa kweli kila nikisikia huyu jamaa kafungua domo lake nashindwa kulala naweweseka wiki nzima. Nchimbi, najua unapita hapa kila siku ila kwa taarifa yako tu kama Slaa ni mzushi basi wewe ni nunda.
Maneno yako yanaweza kuwa ya ukweli, kama wewe ulivyompaka matope mzee wa watu Malecela mpaka pale Dodoma akaingilia mlango wa uwani wewe na manunda wenzako mkimuimbia nyimbo za kejeli basi na wewe sasa unajipata matope mwenyewe kuwa ni nunda wa kutupwa achilia mbali hiyo digrii yako ya kuokota. Mshenzi we.
Kama bajeti ni nzuri sasa mnangojea nini kutekeleza yaliyomo humo ndani ya bajeti? Hivi kama mkipita na kuwaambia wananchi bajeti nzuri how is going to help them kama hakuna utekelezaji. Nunda we.
Watch your words, it is just the matter of time kabla hatujaingia full time na kuwaondoa madarakani. Time is running you better clean your house, guys.

Hapa ndiyo umeonyesha ununda wako. Uliposema Bunge la Congress ulikuwa unamanaisha nini? Bunge na Congress ni vitu viwili tofauti my friend. Kwa kuwa umeambiwa kuwa vyombo kazi zake ni u-make laws basi ni vitu sawa. Bunge na Congress ni Legislative Branches za serikali. Kuna serikali nyingine zinafuata parliamentary systems kama sisi na hatuwezi kuwa na vyote na nyiingine congressional system. Congress imegawanyika katika sehemu mbili Senate na House of representative. Senate ina president ambaye kwa US ni vice president na House inaongozwa na speaker na wajumbe wake wanapatikana kutoka congressional districts. Nunda we do your home work. Najua mkutano ulikuwa closed door lakini tumepata pumba zako.

WOW!.. Kwa hiyo rais akiwa Ikulu analinda njiwa.. Holy Satan help this guy.

Please don't kill him.

Tumieni vizuri hiyo ridhaa ya wananchi wanaweza kuichukua muda wowote. Njoo kijiwe chako cha zamani kupata uwaziri mdogo ndiyo ukatukimbia kabisa. Tutaendelea kumkoma nyani giladi mchana kweupee. Ng'ombe we. Peace.
Lo kumbe post ya zamani, hivi huyu Sama alipotelea wapi?
 
ana matatizo huyu mtu....na ni mgumu sana kufunga mdomo wake...kuna siku aliropoka kwamba eti lazima wamkomeshe Nape,eti yeye ndie ameshika makali...the way alivyokua anaongea, watu tuliokuwapo, ilikua kama anaongea mtu yoyote wa kijiweni, namlaumu sana JK kwenye baadhi ya mawaziri wake,total disgrace!!
 
Irene ana chuki zake mwenyewe kwa Nchimbi

Na Zephaniaanjela

Nimeisoma kwa makini makala ya Mwandishi Irene Mark ya kumtaka Mwenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Dk. Emmanuel Nchimbi atulie kwa vile mwosha hatimaye naye huoshwa.

Katika makala hiyo iliyoanza kuchapishwa kwanza katika gazeti la Tanzania Daima Toleo la Jumapili Machi 9, 2008, Irene amejitahidi kwa kadri awezavyo "kumshambulia" Dk. Nchimbi kama mtu binafsi zaidi tofauti na chanzo kilichopelekea achukue hatua hiyo ambayo hakika inasikitisha!

Tatizo nililoliona katika makala yake hiyo ni kuingiza ushabiki na chuki binafsi, itikadi za kisiasa huku lengo lake hasa likiwa ni kutaka kumdhalilisha kwa maslahi anayoyajua mwenyewe.

Waliokuwepo katika mkutano wa Dk. Nchimbi na waandishi wa habari, Machi 5, 2008, wanajua kile alichozungumza na kujibu vizuri maswali yote aliyoulizwa na watu kama Muhibu Saidi wa gazeti la Mwananchi, hivyo kuja na madai nje ya kile alichosema katika kikao hicho ni sawa na kufanya ukuwadi wa kisiasa kwa niaba ya Chadema, na pia inawezekana amefanya hivyo kwa nia ya kutaka kumfurahisha mwajiri wake wa kweli, Freeman Mbowe.

Dk. Nchimbi anayehusishwa na historia ya kuunda na kusimamia makundi katika Umoja wa Vijana na CCM kama taasisi za kisiasa hata siku moja hajawahi kuhusika na hilo, badala yake waandishi wa habari wasiojua siasa kama Irene ndio wamekuwa wakihadithiwa uongo na wapinzani wa CCM na kuubeba kama ulivyo bila ya kutafiti.

Kwa mfano, ni ujinga mtupu kumhusisha Dk. Nchimbi kwa namna yoyote ile na suala la mgogoro na hatimaye kusambaratika kwa ndoa ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, hayati Amina Chifupa, mwaka jana.

Nimejaribu kuisoma makala yake hiyo kuanzia gazetini hadi katika mtandao, lakini sikuona popote alipothibitisha kwa namna moja ama nyingine kuhusu jambo hilo iwe kwa kuonyesha ushahidi wowote usio na mashaka, badala yake ametumia uvumi wa mitaani unaoweza kuzungumzwa na mtu yeyote wakiwemo makuwadi wa fitina kwa watu.

Uandishi wa kusukumwa na utashi wa kisiasa na kujifanya mpiganaji wa mstari wa mbele kuliko hata Mbowe, Dk. Slaa na viongozi wengine wa Chadema ni kushusha hadhi ya taaluma, hivyo Irene kama anataka kuingia katika siasa ni vuzuri akatangaza hadharani ili wanasiasa pia anaowatungia uzushi kama Dk. Nchimbi nao waweze kumjibu kwa haki majukwaani ama vinginevyo kuliko kubishana kwa njia anazotaka wafanye akidhani ni watoto kama yeye.

Ni makosa makubwa kushabikia kile anachoita "kumbukumbu" ama rekodi huku akijua kwa uhakika kabisa kuwa hazipo na kumhusisha mtu na jambo kubwa kama kusambaratisha ndoa ya mume na mke, tena kwa sababu za kisiasa, suala ambalo haliingia kichwani ila labda kwa mtu asiyekuwa na akili timamu!

Kwa mfano, hivi Irene akiulizwa kuwa ndoa ya Amina Chifupa na Mohammed Mpakanjia ilikuwa na uhusiano gani na ubunge, Uenyekiti wa Taifa wa UVCCM ama Unaibu Waziri wa Dk. Nchimbi atatoa ushahidi gani?

Atajitetea kwamba watu walikuwa wakizungumza na yeye akasikia ama atatoa ushahidi wa maandishi alioupata kutoka kwa Mpakanjia?

Au, kama ni kweli kuwa Dk. Nchimbi alifanya hila kuisambaratisha ndoa ya Amina ili kukidhi matakwa yake ya kisiasa, Irene anataka watu waamini kuwa Mpakanjia ana akili finyu kiasi cha kufikia hatua ya kumtaliki mkewe aliyezaa naye mtoto kwa kuamini uvumi wa barabarani?

Ni ujinga mwingine mkubwa kutaka kumlazimisha Dk. Nchimbi awe anajibu kila upumbavu na tuhuma za utumbo zinazotolewa na wapinzani wake kisiasa na kuacha shughuli zake za kuitumikia nchi yake kutokana na madaraka makubwa matatu ya kisiasa aliyonayo akiwa Mbunge wa Songea Mjini, Mwenyekiti wa Taifa wa UVCCM na Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.

Wakati Irene akisema mwishoni mwa makala yake kuwa Dk. Nchimbi ni mwanasiasa asiyependa kuzungumza na vyombo vya habari, mimi nasema kiongozi huyo hapendi kuzungumzia "umbea" na majungu, na pia hapendi kuongea na waandishi wa habari wanaoandika maoni yao zaidi katika habari zao badala ya kutoa taarifa sahihi walizoziona, kusikia au kuhadithiwa kwa kuambatana na ushahidi na vielelezo vya dhati pale inapobidi kufanya hivyo.

Mwandishi wa habari anayekusanya "umbea" na kudai ni kumbukumbu zilizosemwa zamani huku mtuhumiwa akiwa kimya na bila popote pale alipojaribu angalau kumtafuta iwe kwa simu ama ofisini kwake bila mafanikio

Waandishi waliosheheni "umbea" kama Irene ndio wanaweza kuja na uvumi kutoka uchochoroni kwamba Dk. Nchimbi alimpoteza Amina kutoka kwenye anga za siasa kwa kumtengenezea zengwe kutokana na sababu anazozijua mwenyewe.

Kila ninapotaka kumshangaa mtoto huyo wa kike anayekuzwa na kulelewa Bilcanas Club ninashindwa.

Hivi Amina alikuwa na kitu gani kinachoweza kusababisha Dk. Nchimbi apoteze ubunge wake, apoteze Uenyekiti wa Taifa wa UVCCM au Unaibu Waziri alionao kama siyo uongo na upeo mfupi wa kuchambua mambo?

Iko wapi nguvu anayodaiwa kuwa nayo Amina katika ulingo wa kisiasa iwe katika UVCCM, CCM na kadhalika? Angewezaje kuwa na nguvu na kufikia hadi kumtisha Dk. Nchimbi wakati alikuwa chini kabisa katika matawi akiendesha kampeni za kusaka ukamanda wa Vijana ili angalau apate jukwaa la kusemea?

Nani asiyejua kuwa Amina alikuwa akifanya hadi utapeli kwa kuahidi kutoa misaada ya kifedha kwa UVCCM kama alivyofanya katika mkoa wa Dar es Salaam, lakini "akaingia mitini" na kuwaacha solemba chipukizi aliodai kuwa angewapeleka mkutanoni Dodoma?

Kama Irene haamini haya aende kwa Katibu wa UVCCM wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sixtus Mapunda katika jengo ilipo Studio ya Redio Uhuru, jirani na Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM akaambiwe ukweli huo, tena kwa kuonyeshwa kumbukumbu za maandishi na siyo kwa hadithi za kuchonga kama anazokuja nazo yeye.

Akitoka huko aende pia awaulize Makatibu wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Wilaya za Temeke, Ilala na Kinondoni ili katika sehemu hizo zote nako apewe uthibitisho na kisha atoe hukumu mwenyewe.

Katika hali hiyo hata bila kuzungumzia matatizo mengine makubwa aliyokuwa nayo Amina, hivi mwanasiasa kama huyo angewezaje kumtisha Dk. Nchimbi na katika jambo lipi?

Tukiachana na Amina, Irene pia anaonyesha kuwa ni mbumbumbu mkubwa kabisa wa masuala ya kisiasa anapokuja na mfano mwingine dhidi ya Dk. Nchimbi kuhusu kile anachodai ni mgogoro uliokaribia kuzuka kati yake na aliyekuwa mpinzani wake katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti wa Taifa wa UVCCM, Jane Claude Mihanji.

Pamoja na kuishia kusema tu kuwa Dk. Nchimbi alihusishwa hadharani na mambo mazito kwamba alijaribu kumfanyia Mihanji, hilo nalo haliwezi kukubalika hata kidogo na ndiyo maana hata Jeshi la Polisi liliona kuwa ni uongo uliotungwa kwa malengo "machafu".

Jane alidai aliitwa nyumbani kwa Dk. Nchimbi huko Tabata jijini Dar es Salaam, na kwamba wakati wakiwa pamoja sebuleni wakizungumza na kujadiliana mambo kadhaa ya kisiasa, ghafla alikuja mtu dirishani na kupuliziwa sumu asiyoyajua, tuhuma ambazo hata mjinga kabisa hawezi kuzikubali.

Namshauri Irene aulize watu wanaojua undani na ukweli kuhusu uongo huo ili wamwambie kwa ushahidi namna Jane alivyokuwa ameahidiwa ubunge wa kuteuliwa na hatimaye Unaibu Waziri wa Habari na mmoja kati ya "vigogo" waliokuwa na nia ya kugombea urais mwaka 2005 ili amtumie kukidhi matakwa yake ya kisiasa.

"Kigogo" huyo wa CCM hakutaka Dk. Nchimbi agombee Uenyekiti wa Taifa wa UVCCM kwa sababu alijua kuwa angeibuka mshindi, hivyo ili kuzuia jambo hilo akapanga kumwibulia kashfa na kumtafuta Jane ambaye bila hiyana akaingizwa "mkenge" na kujifanya kapuliziwa madawa yenye sumu sebuleni ili apofuke macho au afe kabisa.

Hata madaktari kama Maua Abeid Daftari walihoji kwenye kikao cha Kamati Kuu na "kigogo" aliyekuwa akimtumia binti huyo akashindwa kutetea uongo wake ni namna gani sumu hiyo ipulizwe sebuleni walipokuwa wawili, lakini imfuate Jane peke yake na kumuacha Dk. Nchimbi utadhani ina akili na macho.

Mkakati huo ulikuwa ni jaribio la pili la kutaka kumwengua Dk. Nchimbi baada ya awali kuletwa hoja ya umri kuwa mwanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM aliyevuka miaka 30 hata kama hajafikisha 35 asigombee Uenyekiti wa Taifa wa UVCCM, lakini likagonga mwamba na kusambaratishwa.

Kilichoulizwa na watu wenye busara katika Kamati Kuu ya CCM ni jinsi gani sharti hilo liwepo katika ngazi ya taifa peke yake huku kwenye matawi, kata hadi wilayani wanachama wa Umoja wa Vijana wenye umri wa zaidi hadi miaka 34 wakiwa wamegombea uenyekiti na nafasi nyingine za kuchaguliwa katika ngazi hizo na kushinda.

Wakashindwa kujibu swali la kama uchaguzi huo katika ngazi hizo zote nchini kote ufutwe na kuanza upya au kama sharti hilo la dharura lilikuwa ni maalum kwa ajili ya mtu mmoja, hivyo ikaamuliwa kuwa kanuni hiyo ya uchaguzi ianzie uchaguzi mkuu wa UVCCM unaofanyika mwaka huu kwa sababu ilichelewa kuletwa.

Hata hivyo, wale waliokuja nayo mwaka 2003 wakiwa na umri wa miaka 26 hivi leo wanasaga meno kwa vile tayari wana umri wa miaka 31, ule ambao kama walivyotaka iwe mwaka huo hivi sasa hawana sifa ya kuwania uongozi wowote katika UVCCM.

Hata madai kuwa Dk. Nchimbi ni mmoja katika kile kinachoitwa ni kundi la wanamtandao linaloaminika kuwa kinara wa siasa za kuchafuana na kupakana matope nao pia ni uongo mwingine.

Wanasiasa dhaifu ndani na nje ya CCM ndio wanaeneza uvumi huo, lakini hawataki kabisa kuzungumzia ukweli kuwa kinachowakera wengi akiwemo Irene na wale wanaomtuma kuonyesha ujinga wake ni ubora wa mikakati ya wana CCM waliokuwa wakimuunga mkono aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Jakaya Kikwete katika harakati zake za kuwania uteuzi wa kugombea urais mwaka 2005.

Katika mbio hizo, jumla ya wana CCM 11 walichukua fomu za kuwania nafasi hiyo. Mbali na Kikwete, wengine waliojaribu bahati zao ni Mzee John Malecela, Frederick Sumaye, Salim Ahmed Salim, William Shija, Idd Simba, John Shibuda, Ali Abeid Karume, Abdallah Kigoda, Mark Mwandosya na Patrick Chokala.

Hivyo, idadi hiyo ilisababisha kuwe mitandao 11 ya kusaka wadhifa huo, lakini unaong'ang'aniwa na waandishi wenye chuki zao wenyewe ni mtandao wa Kikwete utadhani Mwandosya, Malecela, Sumaye, Kigoda au Salim Ahmed Salim hawakuwa na ya kwao.

Inaeleweka kuwa Mei 3, 2005, mitandao yote hiyo iliishia hapo baada ya Kikwete kuteuliwa kuwa mgombea urais, lakini wajinga wa kufikiri na wale wenye chuki zao bado wanaeneza majungu dhidi ya viongozi kama Dk. Nchimbi waliokuwa katika kundi hilo lililoshinda kwa ubora wa mikakati.

Kina Irene hawasemi hata kidogo kama Mbowe naye alikuwa na mtandao wake alipokuwa akichuana na kina Anna Maulida Komu, Hebron Mwakagenda na wengineo katika kinyang'anyiro cha kuwania uteuzi wa kugombea urais kutoka Chadema.

Hawasemi kabisa kuwa mitandao yote ya harakati hizo huishia pale mshindi anapopatikana na kubakia mmoja tu unaowaunganisha wanachama katika ujumla wao, hivyo wanachofanya wale wanaong'anga'ania kuwepo "mtandao" wa Kikwete hadi leo katika CCM na kuwahusisha wanasiasa mahiri kama Dk. Emmanuel Nchimbi wana chuki zao wenyewe!
Dk. Nchimbi. Dk. wa wapi huyo? Hiyo PhD aliitoa wapi? Hebu rudi hapa leo hii utueleze ujinga huu tena.
 
Hii ndo Jamii inavyokumbuka historia za watu.
 
CCM wana tabia ya kurudisha walioshindikana wakati wa uchaguzi. Huyu atarudishwa.
 
Back
Top Bottom