Mnaotamani Dkt. Nchimbi awe Rais mtasababishia matatizo

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,266
Reaction score
7,118
Leo kila kona ya Tanzania ni hotuba fupi aliyoitoa Dk Nchimbi hapo jana msibani.

Imefikia hatiua mnatamka hadharani kuwa Dk Nchimbi ndio alifaa na alipaswa kuwa rais.

Nawapa angalizo mnamtafutia matatizo huyu kada wa CCM mwenye msimamo yake thabiti.

Pia soma

image_search_1772362784914.jpg
 
Nawapa angalizo mnamtafutia matatizo huyu kada wa CCM mwenye msimamo yake thabiti.
Hatumtafutii matatizo yeyote kwasababu anayepanga nani ndie awe rais wetu sio mimi, sio wewe, sio yeye, sio wale, sio wao, wala sio mtu yoyote!, anaye panga ni YEYE, kwa sasa aliye pangiwa ni Rais Samia, kama baada ya Samia, aliyepangiwa ni yeye huyu, then ni yeye, Noone can do anything kuzuia!.
P
 
Mkuu Pascal kwa mujibu wa ibara ya 8(1) (a) ya katiba ya JMT ni wananchi ndio wanaopanga na kuamua nani awe rais.
 
Imefikia hatiua mnatamka hadharani kuwa Dk Nchimbi ndio alifaa na alipaswa kuwa rais.

Nawapa angalizo mnamtafutia matatizo huyu kada wa CCM mwenye msimamo yake thabiti.
Angekaa kimya kwanza. Kuweka hadharani msimamo wake mapema hivi inaweza kumponza, wahuni a.k.a wanamtandao watafanya kila wawezalo kumpiga pini
 
Mkuu Pascal kwa mujibu wa ibara ya 8(1) (a) ya katiba ya JMT ni wananchi ndio wanaopanga na kuamua nani awe rais.
Marais hupangwa na YEYE, wanachofanya wananchi kwa mujibu wa ibara ya 8(1) (a) ya katiba ya JMT ya mwaka 1977, ni wananchi ndio wanaopanga kwa kuamua ku proposes nani awe rais wao, lakini anae disposes ni YEYE Pekee!.
P
 
Yaani nchimbi nae ni fisadi TU ..sema kwa kuwa ni mkatoliki mwenzao ndo maana mnampigia chapuo ..
Hawa wanaomchukia Samia ni sababu ya Dini yake tu! Sasa kuna wajinga wanafuata mkumbo wkt wenzao Wana ajenda zao kutaka Nchi hii daima dawamu iongozwe na wakristo tu.
 
Marais hupangwa na YEYE, wanachofanya wananchi kwa mujibu wa ibara ya 8(1) (a) ya katiba ya JMT ya mwaka 1977, ni wananchi ndio wanaopanga kwa kuamua ku proposes nani awe rais wao, lakini anae disposes ni YEYE Pekee!.
P
Kwa mantiki hii tunakatiba ya inayofaa kuchanwachanwa na kufungia vitumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom