1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,290
Wasomi wetu hawa ni Tatizo sana kwenye jamii bora zije serikali 3 ili jeshi lochukue nchi vyama vyote vifutiliwe mbali na wasomi wabaki huko maofisini na vyuoni sio kwenye siasa.
Hivi huyo mtu wa kufuata Mkumbo wa CCM kwa kujiunga na ACT anafikiri uwazi ndani ya hicho chama utakuwepo na kuushuhudia akiwa hai?
Amesahau kuwa mungu wa ccm , Nyerere (zidumu fikra zake) ndiye aliyekaa kwa muda mrefu kwenye kiti cha uenyekiti kuliko mwanasiasa yeyote hapa TZ? Na bado aliendelea kukisimamia chama hadi umauti wake.
Kwa hiyo kuwalaumu viongozi na waasisi wa CDM kwa sasa ni kuwapotosha wananchi kwani chama kikiachwa tu kivamiwe na kila Mtu anayetaka madaraka ni kukiua chama chochote.
Na niwakumbushe tu kuwa hawa wahadhiri wa vyuo vikuu sio watu wa kuaminika na sio watu salama kwenye vyama vya upinzani.
Wengi wao ni mawakala wa Serikali na usalama wa Taifa. Akitokea mpinzani halisi kwenye vyuo vikuu vya umma basi ujue atanyofolewa kucha. Tafakarini kuhusu Mkumbo.