Mkuu hiyo inaitwa sizitaki mbichi hiziHahahaha! Raha sana si mliwafukuza mbona mnahangakika, leo umekuwa mtoa ushauri wa ACT.
Tatizo la chadema ni ubaguzi sio zitto wala mwigamba wala kitila mkumbowaasisi wa ACT ni watatu tu - Zitto, Mkumbo na Mwigamba!!
Hiki ni chama kilichoasisiwa mahsusi kupunguza kura za CDM 2015 ili CCM ipate ahueni - nyie mtaona kama kitapigwa hata bomu moja kwenye mikutano yake!!
Watapunguza kura vipi wakati mnasema hawakubaliki.waasisi wa ACT ni watatu tu - Zitto, Mkumbo na Mwigamba!!
Hiki ni chama kilichoasisiwa mahsusi kupunguza kura za CDM 2015 ili CCM ipate ahueni - nyie mtaona kama kitapigwa hata bomu moja kwenye mikutano yake!!
Dk kitila mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa act kupitia clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri zito aje kugombea uwenyekiti.
Alafu kwanini mnaoishabikia sana act ni watu kutoka ccm,je hamtaki chama chenu kiendelee kutawala?
Juliana na Mtela mnaruhusiwa kuja ACT kwani ccm Mnakufa kisiasa rudini upinzani Mwigulu hawezi kuwadai fedha.
Hongo Haidaiwi.