Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

CHADEMA kimezikwa rasmi.
Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
§ Zitto Z. Kabwe
§ Juliana Shonza
§ Habib Mchange
§ Mtela Mwampamba
§ Gwakisa Burton
§ Eddo Makata
§ Greyson Nyakarungu
§ Adams Chagulani
§ Deogratius Kisandu
§ John M. Shibuda
§ Kitila Mkumbo
 
Salama ya Chadema sasa ni UKAWA,pindi UKAWA ikiisha ndipo utakapotambua jinsi uamuzi ule hasa kwa namna ulivyofanyika haukuwa na faida kwa Chadema.
Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama, wakiwemo John M. Shibuda na Kitila Mkumbo
 
Haya...subirini ile demokrasia iliyokuwa ikihubiriwa.......demokrasia isiyo na mipaka wala ethics......Hapa hapa JF tutajua yote.....Nadhani ya chama mbadala yametimia........yetu macho...:israel:

Na ngumi lazima zitapigwa tu ngoja tusuubiri muda ufike.
 
sisi chama cha mazuzu ccm tuliamua tuwatumie zitto na mkumbo wana tamaa ya pesa na chama cha alliance for coward and traitors tumekianzisha kwa ajili ya uchaguzi 2015 baada ya hapo tunakisaliti kam toto la paka tlp cdm mtakoma
 
Mie tayari ninayo kadi ya ACT 3weeks past....naenda kugombea uongozi wa vijana kule na nimejipanga vilivyo iliniweze kushinda na baada ya miezi kama 6 hivi madarakani...nitaanzisha mkakati wa mabadiliko...kwa ajili ya vijana under 25yrs ndiyo waongoze chama,sitakubali chama kiongozwe na above 25yrs kama kina Zitto..hawa watakuja kuwa wahafidhina halafu tupigwe mchana kweupeeee 2015 na ccm.
 
Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
§ Zitto Z. Kabwe
§ Juliana Shonza
§ Habib Mchange
§ Mtela Mwampamba
§ Gwakisa Burton
§ Eddo Makata
§ Greyson Nyakarungu
§ Adams Chagulani
§ Deogratius Kisandu
§ John M. Shibuda
§ Kitila Mkumbo

na bado.. chagadema imepoteza mvuto. watanzania wameichoka
 
na bado.. chagadema imepoteza mvuto. watanzania wameichoka

Je, Zitto amepunguza ukaribu na viongozi wa serikali?
Ni maoni yetu pia kwamba kuanzia sasa MM aenende katika mwenendo ambao utarahisisha ushindi. Mfano tunapendekeza afanye yafuatayo kuanzia sasa:
i. Apunguze ukaribu na viongozi wa serikali na wa chama tawala na awe crical zaidi na utendaji wa serikali nje na ndani ya bunge.
 
Chama cha vijana na wapenda maendeleo lazima tujiunge nacho.
 
Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
§ Zitto Z. Kabwe
§ Juliana Shonza
§ Habib Mchange
§ Mtela Mwampamba
§ Gwakisa Burton
§ Eddo Makata
§ Greyson Nyakarungu
§ Adams Chagulani
§ Deogratius Kisandu
§ John M. Shibuda
§ Kitila Mkumbo

Naamini hiyo orodha ni ndogo sana. Wapo wengi tu... mwigamba, kafulila, MM2 nk.

Orodha ndefu kama hiyo hamuwezi kuwashawishi watu makini waamini kuwa ni wasaliti.. hapo kuna tatizo la msingi hamtaki kutuweka wazi.
 
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.

==============

JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).

What is news here.. ningeambiwa kaenda NCCR labda, lakini ACT..!eti atamshawishi Zitto... hahahahaaaa...!!!
 
Wasaliti wote wahamie ACT na CDM haitakufa. By the way kile kikao chao cha siri Bagamoyo juzi ambacho Saliti Zitto naye alihudhuria ni vipi? Organiser alikuwa Denis Msacky!!!! Hata mfanye nini.inteligensia at work!!! kazaneni.
 
Back
Top Bottom