Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

zito mmemshindwa chadema mnabaki kulialia tu mitandaoni.. michadema yooote mtu.mmoja tu amewashinda. halafu mnataka kuongoza nchi.. labda nchi ya kiborloni
Ukiambiwa una ubongo wa kuku tunamaanisha
Bwanako Zitto anapigania uanachama wake mahakamani. Chadema tulishamaliza...nyie visaka tonge ndo hamtusumbui kabisaaaaaa
 
Unamaanisha Chadema kumfukuza Zitto ilikuwa inajidhoofisha?

Kwa lugha nyingine unaweza ukasema hivyo isipokuwa udhoofu huo haujatokana na dhamira ya CDM bali umetokana na mbinu iliyotumiwa na CCM ambayo kwa kiasi imefanikiwa kudhoofisha upinzani...

Ukiweza kuwagawanya, basi utaweza pia kuwatawala
 
Gwamyitu, umechemsha
 
Dah watu mnahasira humu ndani... kutwa matusi.
Mkumbo hongera sana, mwanzo sikuwaelewa.
Uelekeo wa Cdm sasa mauti.
 
Ukiambiwa una ubongo wa kuku tunamaanisha
Bwanako Zitto anapigania uanachama wake mahakamani. Chadema tulishamaliza...nyie visaka tonge ndo hamtusumbui kabisaaaaaa

mahakamani tundu lisu alishamwagwa na albert msando... muda unaenda tu we endelea kujidanganya na mahakama wakati kesi imeshaisha.. kweli chadema imepata misukule ya kuidamganya kama wewe
 
Yap hiyo ni CCM "C". Kwa heri Zitto, kwa heri Mkumbo, kaendeleze usaliti wenu kupitia hiyo CCM "C".

Tiba
ACT ikipata hata diwani mmoja, nitatembea uchi kutoka Dar hadi Kigoma. Tusiwafanye watanzania mazuzu
 
mahakamani tundu lisu alishamwagwa na albert msando... muda unaenda tu we endelea kujidanganya na mahakama wakati kesi imeshaisha.. kweli chadema imepata misukule ya kuidamganya kama wewe
Mwambie mumeo Zitto akupeleke shule japo kidogo upate uelewa wa nini kilifanyika mahakamani na nini ambacho Zitto anaking'amg'snia. Usikalie kupata posho tu ya kuandika makamasi mtandaoni
 
ACT ikipata hata diwani mmoja, nitatembea uchi kutoka Dar hadi Kigoma. Tusiwafanye watanzania mazuzu

hahaha.. we jidanganye tu hapo unga limited arusha.. unafikir watanzania wote ni mazuzu kama moshi na arusha?
 
Mwambie mumeo Zitto akupeleke shule japo kidogo upate uelewa wa nini kilifanyika mahakamani na nini ambacho Zitto anaking'amg'snia. Usikalie kupata posho tu ya kuandika makamasi mtandaoni

kesi imeshaisha siku.nyingi sana..we endelea kusubiri utasubiri milele
 
hahaha.. we jidanganye tu hapo unga limited arusha.. unafikir watanzania wote ni mazuzu kama moshi na arusha?

Mfadhili wenu Lowassa alichemla kwa Lema. Kule Arusha hakuna vichwa maboga km Kigoma.
 
Back
Top Bottom