Akili kubwa awe nayo Mwigamba? Huyu aliyemteua mjinga mwenzake Limbu kuwa Mwenyekiti? Kama Mwigamba mnamwona ana akili kubwa basi ACT itakuwa kama NRA
nitajie kiongozi wa chadema mwenye akili kubwa
Akili kubwa awe nayo Mwigamba? Huyu aliyemteua mjinga mwenzake Limbu kuwa Mwenyekiti? Kama Mwigamba mnamwona ana akili kubwa basi ACT itakuwa kama NRA
Chadema , utaipenda ......iliwaona mapemaaaa b....
Kwenye hili Chadema walikosea...sitaki kuamini kuwa watu walio tayari kuongoza nchi walishindwa kulimaliza hilo la Zitto humo ndani ya chama kimyakimya bila kuleta sintofahamu au udhaifu wao kwa wananchi huko nje.Hapa ndipo lilipokuwa kosa la Chadema,waliweka mbele jazba kuliko busara, hilo ni kosa bila kujali kama Zitto alikuwa na makosa au hakuwa nayo.Kwa lugha nyingine unaweza ukasema hivyo isipokuwa udhoofu huo haujatokana na dhamira ya CDM bali umetokana na mbinu iliyotumiwa na CCM ambayo kwa kiasi imefanikiwa kudhoofisha upinzani...
Ukiweza kuwagawanya, basi utaweza pia kuwatawala
Lichama limejifia kabla halijazinduliwa
nitajie kiongozi wa chadema mwenye akili kubwa
chadema kila uchaguzi inaangukia pua
Waha wakampokea...
Yangu macho mie,nisubiri nione itakavyokuwa.
ACT inaangukia mata.ko?
Limbu...!!!
act hatuna wakabila..ni chama cha watanzania wote
dj mbowe na padri slaa
Endelea na shughuli zako mkuu. ACT ni upuuzi
subiri uchaguzi serikali za mitaa uone mziki wa ACT
Chama cha Waha unakiita cha watanzania wote? You cant be serious
sifa zooote ulizoziandika ni za viongozi wa chadema wakiongozwa na mwenyekiti na katibu
Serikali ya mtaa wa Mwanga Sokoni au Kidahwe?
Kwenye hili Chadema walikosea...sitaki kuamini kuwa watu walio tayari kuongoza nchi walishindwa kulimaliza hilo la Zitto humo ndani ya chama kimyakimya bila kuleta sintofahamu au udhaifu wao kwa wananchi huko nje.Hapa ndipo lilipokuwa kosa la Chadema,waliweka mbele jazba kuliko busara, hilo ni kosa bila kujali kama Zitto alikuwa na makosa au hakuwa nayo.
Limbu je?!