Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

waasisi wa ACT ni watatu tu - Zitto, Mkumbo na Mwigamba!!

Hiki ni chama kilichoasisiwa mahsusi kupunguza kura za CDM 2015 ili CCM ipate ahueni - nyie mtaona kama kitapigwa hata bomu moja kwenye mikutano yake!!

Ukifuata taratibu hupigwi bomu mzee
 
Naamini hiyo orodha ni ndogo sana. Wapo wengi tu... mwigamba, kafulila, MM2 nk.

Orodha ndefu kama hiyo hamuwezi kuwashawishi watu makini waamini kuwa ni wasaliti.. hapo kuna tatizo la msingi hamtaki kutuweka wazi.
Ni maoni yetu pia kwamba kuanzia sasa MM aenende katika mwenendo ambao utarahisisha ushindi. Mfano tunapendekeza afanye yafuatayo kuanzia sasa:
i. Apunguze ukaribu na viongozi wa serikali na wa chama tawala na awe crical zaidi na utendaji wa serikali nje na ndani ya bunge.
 
Usimchagulie marafiki huyu ni mwanauume anayejitambua nini afanye.
Wanaomchagulia ni wafuasi wake kama wewe... Hii hapa chini ni kauli ya kitila na Mwigamba katika waraka wa siri wa USALITI:
Ni maoni yetu pia kwamba kuanzia sasa MM aenende katika mwenendo ambao utarahisisha ushindi. Mfano tunapendekeza afanye yafuatayo kuanzia sasa:
i. Apunguze ukaribu na viongozi wa serikali na wa chama tawala na awe crical zaidi na utendaji wa serikali nje na ndani ya bunge.
 
Mgagana upwa------kweli yote maisha.


swissme:
 
Hizi mbio zote ni kuelekea wapi? Ikulu ya leo imekuwa sawa na mtu kuingia Msalani. Mtu akiachwa na usafiri moja anatafuta mwingine fasta..watanzania akili kichwani
 
Hii ni muhimu kuisema, Kitila mkumbo ni mwana taaluma na yuko pale UDSM, amekua akitoa ushauri katika Nyanja mbalimbali za kisiasa,kijamii na nyinginezo.Sasa basi niseme tunalo tatizo kubwa nchi hii hususa ni wale wanao itwa wasomi kwa maana ya vile wanavofikiri na kutenda Watu kama Benson Rugimbana (Dr. Bana) ni jamii ya wasomi tulio nao nchi hii. Kitila amekua mshauli wa zito katika siasa zile anazoziamini zito hata katika walaka wao wa mapinduzi amekiri kushiriki kuuandaa sasa yeye kama mtu mwenye uelewa alishauri nini baada ya hao jamaa kuonyesha nia ya kufanya mapinduzi tena kinyume na utaratibu ndani ya chama? Sasa chama kipya kinaanzishwa zito anakuja kujiunga na chama hicho hapohapo anapewa uongozi wa chama, je katika kujenga taasisi hiyo kitila analiona swala hilo kuwa ni lakawaida?na anategemea kuona matunda ya jitihada zao kwa maana kujenga taasisi Imara na yenye mtanadao mpana ili wawe na uwezo wa kuwa na candidate katika uchaguzi ujao, KITILA una amini katika hili? kwamba mtasimamisha mgombea, mpate kura mshike majimbo na hata mpate rais na mwisho muongoze nchi? hivi chama ambacho hakina wanachama kinaendaje kwenye kuwania uongozi? malengo yenu ya mda mfupi ni yapi mda wa kati ni yapi na mda mrefu ndo ingekuwa kusimamisha mgombea wa urais na hii sio chini ya miaka 15. kitila na akina zito nani anawashauri? Abbyssus abbyssum invocate kitila
 
I hate KITILA MKUMBO....he killed ZITTO CARRIER.................afadhali Nape kuliko Kitila.
 
Back
Top Bottom