hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
chadema mtako.j.oa dagaa mwaka huu
Hii ni muhimu kuisema, Kitila mkumbo ni mwana taaluma na yuko pale UDSM, amekua akitoa ushauri katika Nyanja mbalimbali za kisiasa,kijamii na nyinginezo.Sasa basi niseme tunalo tatizo kubwa nchi hii hususa ni wale wanao itwa wasomi kwa maana ya vile wanavofikiri na kutenda Watu kama Benson Rugimbana (Dr. Bana) ni jamii ya wasomi tulio nao nchi hii. Kitila amekua mshauli wa zito katika siasa zile anazoziamini zito hata katika walaka wao wa mapinduzi amekiri kushiriki kuuandaa sasa yeye kama mtu mwenye uelewa alishauri nini baada ya hao jamaa kuonyesha nia ya kufanya mapinduzi tena kinyume na utaratibu ndani ya chama? Sasa chama kipya kinaanzishwa zito anakuja kujiunga na chama hicho hapohapo anapewa uongozi wa chama, je katika kujenga taasisi hiyo kitila analiona swala hilo kuwa ni lakawaida?na anategemea kuona matunda ya jitihada zao kwa maana kujenga taasisi Imara na yenye mtanadao mpana ili wawe na uwezo wa kuwa na candidate katika uchaguzi ujao, KITILA una amini katika hili? kwamba mtasimamisha mgombea, mpate kura mshike majimbo na hata mpate rais na mwisho muongoze nchi? hivi chama ambacho hakina wanachama kinaendaje kwenye kuwania uongozi? malengo yenu ya mda mfupi ni yapi mda wa kati ni yapi na mda mrefu ndo ingekuwa kusimamisha mgombea wa urais na hii sio chini ya miaka 15. kitila na akina zito nani anawashauri? Abbyssus abbyssum invocate kitila
professor kitila ni jembe ulaya
Ngoja nishike jembe nikalime, wanasiasa sio watu wa kuaminiwa.
Jembe la kuchimbia choo labda..Hamumjui Kitila...ana tuhuma nzito za human trafficking na abuse.alichukua house girl singida akampeleka UK kakaa naye miaka 3 bila kumlipa mshahara mpaka mamlaka za UK zikaingilia..kama anabisha aje hapa abishe tumvue nguo...hamumjui mtu huyu kaeni kimya..wakati yuko mkwawa anafundisha kwa vitendo alikuwa anafundisha Biology vijana wa form 5 akaishia kuwa anabandua wanafunzi mmoja wapo ni Latifa alikuwa anasoma B4 ...isitoshe akawachanganya Latifa na rafiki yake Mwanamkasi wa B1.. kitila ni tatizooo na sheeedaaa