Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,546
Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
§ Zitto Z. Kabwe
§ Juliana Shonza
§ Habib Mchange
§ Mtela Mwampamba
§ Gwakisa Burton
§ Eddo Makata
§ Greyson Nyakarungu
§ Adams Chagulani
§ Deogratius Kisandu
§ John M. Shibuda
§ Kitila Mkumbo
Lengo la Zitto ilikuwa ni kudhoofisha upinzani kama alivyotumwa na kulipwa na mabwana zake, ingawa victims wake hawajitambui kama ni victims bali wana sympathise nae. The guy is smart.. waangalie hao wote uliowataja hapo juu nguvu yao kisiasa kwa sasa ukilinganisha na walivyokuwa CHADEMA. Zitto kafanikiwa kuwavuruga haswaa. Mwigulu alikuwa hana amani na kasi aliyokuwa anapanda nayo Kitila kuelekea ubunge wa Iramba, leo hii yuko wapi Kitila. hahahahahaaa.. Indeed Zitto is smart.Lengo lake katimiza. Mtela Mwampamba alikuwa na matumaini makubwa ya kuchukua jimbo la Mbozi kwa Zambi hapo 2015 lakini leo yuko wapi baada ya kuingia kwenye mtego wa mwanaume Zitto.. kabaki kuwa mwanamipasho facebook. Akina Juliana Shonza walikuwa wanaonekana ni hazina katika siasa za Tanzania in a nearby future... wako wapi leo baada ya kuchezeshwa ngoma wasioijua na kichwa Zitto.. leo wamebaki kumsifia Kinana na kumkashifu Mbowe ili angalau waendelee kusikika.Hao wote hawakujua lengo la Zitto ingawa wakijitazama leo ndo wanagundua ni kiasi gani amewasambaratisha. Kwa akili yao walidhani Zitto amewalenga Mbowe na Slaa tu. Kweli ukitaka kujua Zitto ni kichwa angalia alipowafikisha hao jamaa ukilinganisha na walipokuwepo. KWELI AMEFANIKIWA KUWAVURUGA.Big up Zitto.
Last edited by a moderator: