masanjasb
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 2,364
- 869
mi nadhani tuache demokrasia ifanye kazi yake mkuu...walichokitaka wanaweza kukipata huko ACT au hata CCM kama wanajiamini kiasi hicho....lakini hilo walilolotaka kufanya kisiri siri halikubaliki popote pale..all the best to them
Mkuu ukiangalia kwa jicho la 3 utaona kbs kuwa hiki chama kipya ni figa jingine la ccm,kumbuka sufuria ya pilau la harusi hulazimishiwa hata mafiga matano ili pilau liive vizuri na hiki ndicho kinachotokea
Nampa hongera sana Mwigulu kwa ushauri wake kwa CC ya ccm kuhusu mbinu za kuibomoa cdm japo cdm nao wamekuja na huu muungano wa UKAWA ambao umewachanganya sana ccm na jana cc ya ccm imeitana kwa ghafla ili kutoa maelekezo kwa wabunge wake wa bunge la bajeti 2014/2015(wa ccm)
Pamoja na hayo yote ACT ya zitto,kitlya,mwigamba,bila pesa za ccm haitaenda popote,pesa ya zitto pekee haiwezi ingiza wabunge hata 5 mjengoni 2015 ila kwa vile imekuja kuugawa upinzani ccm itawekeza pesa nyingi sana ndani ya ACT.....kila la kheri wajanja wa siasa za bongo