Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Si ajabu ataanza kupambana na CDM badala ya kutafuta mageuzi ya kweli,time will tell.
Si ajabu ataanza kupambana na CDM badala ya kutafuta mageuzi ya kweli,time will tell.
HUU ndio uungwana kama unataka kuanzisha chama hata cha mashoga, siasa au hata footboli anzisha tu. Lakini tabia ya kutumiwa na TISS kutaka kuhujumu vyama vya ukombozi wa watanzania huku uko ndani tena kiongozi haivumiliki. Lakini mjue cdm ndio iliwafanya muonekane mna maana!
Yap hiyo ni CCM "C". Kwa heri Zitto, kwa heri Mkumbo, kaendeleze usaliti wenu kupitia hiyo CCM "C".
Tiba
Unashinda mtandaoni kumtetea Zitto jioni anakupakata. Mjinga sana wewe mkigoma
chadema ni ccm b
Yap hiyo ni CCM "C". Kwa heri Zitto, kwa heri Mkumbo, kaendeleze usaliti wenu kupitia hiyo CCM "C".
Tiba
Huyo jamaa ni mjinga sana.Amebinafsisha ubongo wake umekuwa hauna tofauti na kuku. wenye akili wajiunge na ACT kutafuta laana?
Hivi wewe unapokunya mavi ambayo ni chakula ulikula mwenyewe itakuuma sana?Sasa kama chadema ndo iliwafanya waonekane wa maana alaf ikawafukuza we unataka wafanyeje??? Mbona iwewauma sana.
Wakiichoka chadema ndio waje ACT? watanzania sio wajinga hivyo...
Unajua maana ya Uzalendo wewe? Mzalendo atakuwa ACT kusaka tonge?
Weka akiba ya maneno mheshimiwa. Mliwaponda sana CUF kwamba ni CCM 'B' na mkamwita James Mbatia ni shoga. Lakini leo hawa ndio wanaowafichia aibu. Hii nchi ni huru. Acheni watu wafanye siasa, na nyie fanyeni siasa zenu. Hasira za nini wakati watu mliwafukuza wenyewe kama wezi?
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.
==============
JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).
Nawaza kuwa mwana chama wa ACT mapema
Saccos ya Mtei na Saccos ya Zitto tofauti iko wapi?
hongela Dr kitila kwa kutoka kwenyemakucha ya mbwamwitu Cdm. Wenye akili timamu hawaburuzwi na vichwa panzi.
Unashinda mtandaoni kumtetea Zitto jioni anakupakata. Mjinga sana wewe mkigoma
Hivi sasa Kitila amekuwa galasa lisilomithilika. Ameshajifia kisiasa...