Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 536
utashindana lakini utashindwa. ACT ni chama makini sana
Mkuu, mimi nilijua wewe ni CCM damu, kumbe ni shabiki ww ACT!
Vipi, mtajiunga na UKAWA?
utashindana lakini utashindwa. ACT ni chama makini sana
Mkuu, mimi nilijua wewe ni CCM damu, kumbe ni shabiki ww ACT!
Vipi, mtajiunga na UKAWA?
watashindana lakini hawatashinda
Bado nitaendelea kusisitiza, Tanzania haihitaji utitiri wa vyama kama inavyojitokeza kila anayetekenywa na kutekenyeka anaanzisha chama chake, vyama vingi kwa uchu wa madaraka vitabaki ni 'Brief Case Political Parts' na hiyo brief case itakuwa ni ya mtu fulani au chama kingine fulani. Tanzania inahitaji wachapa kazi, inahitaji wagunduzi, inahitaji wenye maneno kidogo lakini matendo mengi...vyama anzisheni, sajilini, hongeni lakini waTanzania bado tuko maskini na umaskini wetu kamwe hautaondoka kwa kuanzisha vyama vingine eti mbadala au sijui nini...itaendelea kwa watu kuacha kukaa Dodoma na kutukanana ila kwenda majimboni kwao kushiriki shughuli za maendeleo na kutoa maelekezo na miongozo kama viongozi wa maendeleo na si viongozi wa kuhama hama vyama na kuanzisha vingine. Ni mawazo yangu tu, toa nawewe mtazamo wako, matusi kwangu mwiko.
Let them Go for their Democracy. Siasa ni Ngumu na Longolongo nyingi ila Kwa Bongo imezidi mbona yaonekana kwa macho hata kwa kupapasa waeza kuona wanasiasa ni wanafiki kwa kiasi gani. Haya sisi kazi yetu macho tu kuona yanayojiri siasa imekuwa ni source of income purely kama ilivyo kwa dini kila mtu anaanzisha cha kwake. Utengano ni nguvu umoja ni udhaifu hahahah
Bado nitaendelea kusisitiza, Tanzania haihitaji utitiri wa vyama kama inavyojitokeza kila anayetekenywa na kutekenyeka anaanzisha chama chake, vyama vingi kwa uchu wa madaraka vitabaki ni 'Brief Case Political Parts' na hiyo brief case itakuwa ni ya mtu fulani au chama kingine fulani. Tanzania inahitaji wachapa kazi, inahitaji wagunduzi, inahitaji wenye maneno kidogo lakini matendo mengi...vyama anzisheni, sajilini, hongeni lakini waTanzania bado tuko maskini na umaskini wetu kamwe hautaondoka kwa kuanzisha vyama vingine eti mbadala au sijui nini...itaendelea kwa watu kuacha kukaa Dodoma na kutukanana ila kwenda majimboni kwao kushiriki shughuli za maendeleo na kutoa maelekezo na miongozo kama viongozi wa maendeleo na si viongozi wa kuhama hama vyama na kuanzisha vingine. Ni mawazo yangu tu, toa nawewe mtazamo wako, matusi kwangu mwiko.
Chama chochote cha upinzani kikianza kupingana na chama kikuu cha upinzani nchini tambua ya kwamba hicho siyo chama cha upinzani bali ni mawakala wa usalama wa taifa na chama tawala kuwalaghai wananchi.
Chama hicho cha upinzani hutumia vijana walioko chama tawala kuwaaminisha wananchi kwamba kinapendwa na vijana na muda wao wote watakuwa mkikimkiki kujiunga na chama hicho ili kuwalaghai wananchi.
Nawapongeza sana Chadema kuliona hilo mapema na kuwatimua wote walio kosa nidhamu hakika jamii imepata kitu cha kujifunza na mchezo wa ACT dhidi ya Chadema.
Wananchi tunaamini upinzani wa kweli ni kupunguza idadi ya vyama vya siasa na kujenga chama kimoja chenye nguvu kitakachopambana na chama tawala na kuwaletea maendeleo wananchi.
Anachokifanya Dr.Kitila Mkumbo na kikundi chake hakina nafasi tena katika kuitetea nchi yetu yenye utajiri wa kila aina ili uchumi ujipambanue kwa kila mwananchi wa kawaida kuweza kununua mahitaji yake na kubakiwa na ziada ya kipato alichonacho.
Mwisho, nawapongeza Chadema kwa kuwatimua wakosefu wa maadili ndani ya chama na hivi sasa ukweli umejipambanua ya kwamba maamuzi yenu yalikuwa sahihi.
Mpaka hapo nani anakataa kuwa hawa jamaa walikuwa na njama za kuteka uongozi wa juu wa cdm kwa kazi maalumu?
Mungu anaweza kumficha mnafiki kwa mda fulani na kwa reason fulani ila siko moja akamwanika hadharani.........Let just wish em mafanikio mema in ACT
Lakini Zitto kwa maneno yake alisema atakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA.
hatuwezi kukaa na chadema meza moja hata siku moja
kidampa kama ninyi tukae pamoja,cdm ni chama makini,ACT mmejazana matahira tupu
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.
==============
JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).
inamaana pindi zitto atakapoondoka tu ndiyo mwisho wa chama.
hebu fafanua kwanza ben sijakusoma tiririka