Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Weka akiba ya maneno mheshimiwa. Mliwaponda sana CUF kwamba ni CCM 'B' na mkamwita James Mbatia ni shoga. Lakini leo hawa ndio wanaowafichia aibu. Hii nchi ni huru. Acheni watu wafanye siasa, na nyie fanyeni siasa zenu. Hasira za nini wakati watu mliwafukuza wenyewe kama wezi?

Ndugu Imebidi hiyo ndiyo siasa kama ulikuwa hujui. Unaweza kumwita mtu gaidi lakini mkikutana kesho mnacheka pamoja kana kwamba hakuna kilichotokea jana.
 
"Atamshauri Zitto agombee uenyekiti"!? Inamaana ACT haina wanachama wengine?!Au Mkumbo kazi yake ni kumshauri Zitto kila alipo?Ikitokea Zitto akahamia nchi nyingine, Kitila ataendelea kumshauri akiwa kule au ataacha kazi ya ushauri kwa sababu Zitto hagombei nchini?!

Watu wafupinwana tabu sanaaa...kitila pimbi sana bora chadema walimfukuza mapema
 
may GOD bless you and your part so as it ca be a real oposition party for the better of Tanzanians,Hongereni kwa kupata usajiri wa kudumu wakuu
 
Heheeeheeeee!! tuone mikakati yao ya kuiondoa CCM madarakani!! Au ni kuendeleza ulaji wa minoti ya CCM!
 
Nenda msaliti nenda, nenda nenda waite na wenzako wote, waite mpaka waitike, nenda msaliti nenda
 
Sheria haimruhusu kabisa Kittlya kuwa mwanasiasa na wakat anatumikia umma kama mwalim, lakin kwakuwa wao waliomtuma ndio serikar utasikia hili!!

Akiwa Chadema aliendelea kufundisha Chuo na hakuna kati yenu aliyesema haya. Tuwe na aibu katika baadhi na mambo ya dhahiri.
 
ok,sio mbaya km kaona kuna maslahi ya kisiasa manake naamini ni mtu anayetafuta mahali aweze kujenga his owner political legitimacy ambayo itamsaidia kuacha historia ya kisiasa kwani kielimu ameweza,kila la kheri Dr ila jifunze kwa makosa yako kamwe usisahau hilo.
 
ACT? Another ghost party in favor of CCM, party of devils.

Hakuna chama cha upinzani ambacho hakina 'mkono' wa CCM kwa namna moja au nyingine. Jambo la msingi tuone tofauti ya ACT na vyama vingine itakuaje. Tusubiri.
 
Teh teh kule kwa Mwigulu,Kitila under ACT atapata kura ya bibi yake tu..
 
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.

==============

JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).

Kitila ni mchumia tumbo
 
Akiwa Chadema aliendelea kufundisha Chuo na hakuna kati yenu aliyesema haya. Tuwe na aibu katika baadhi na mambo ya dhahiri.
Kakoswa koswa kufukuzwa kazi kama si ma - DR wawili wa UDSM na Anthony Komu kumtetea angechomolewa UDSM mwezi wa tatu mwaka huu.
 
Huwezi kuendesha mapambano ukiwa na wahuni, wanafiki, wasakatonge na wajinga kama Zitto, Kitila na Mwigamba. Wahuni hao kutimuliwa ni uamuzi wa busara kuliko uamuzi wowote uliowahi kufanywa na CDM

Salama ya Chadema sasa ni UKAWA,pindi UKAWA ikiisha ndipo utakapotambua jinsi uamuzi ule hasa kwa namna ulivyofanyika haukuwa na faida kwa Chadema.
 
Back
Top Bottom