Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Unajua kaka hii ni ACT-Tanzania yaani haka ni ka-branch chetu tu hapa TZ makao makuu yetu yapo New Zealand, mambo ya Ulaya ulaya huko kwa wazungu, mambo matamtam, mambo mazuri.
ACT-New Zealand tuko imara sasa tumewaletea ACT-Tanzania lengo letu KUBWA ni kupambana na Chadema TU.
Wanaisumbua sana CCM, jasho linawatoka hawapumui sasa sisi tumekuja kuokoa jahazi la CCM.

Aaaa aaaaaaaaaaaa!!!, haya bana! Nimekusoma!
 
Kama sijakosea nimesoma Uzi asbh eti wa ACT uenezi anasema eti katiba bado haijawa tayari na hiyo ofisi ipo Dar na haijatajwa maeneo ilipo,sasa nashangaa hapo Kuna nini nyumayake!


hawa jamaa bana wanaseama uwazi.................................ofisi wameshindwa
 
taahira at work

Wewe ni kichaa haswa tena mwendawazimu mkuu.
ACT-Tanzania tuulize sisi tunaoielewa sawasawa. Karibu New Zealand makao makuu.
Sisi ni kukimbizana na Chadema TU kama hujui kamuulize mwenyekiti wetu mtarajiwa Mh. Zitto
 
Last edited by a moderator:
Jitahidini msiigeuze ACT kuwa chama cha Facebook na Twitter...

Hii democracy ya kumuomba Fulani agombee uenyekiti badala ya kutoa haki sawa kwa wanachama wajipime ndio ukiritimba uliopo sasa. Jiulize vizuri Dr Mkumbo
 
Lakini Zitto kwa maneno yake alisema atakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA.

Neno "wa mwisho" maanake baada ya Mwigamba na Kitila kutimkia ACT, yeye Zitto ndo atawafuatia!
 
Last edited by a moderator:
Malengo ya ACT ni kugawa kura za Watanzania ili ccm ibakie madarakani...that will not happen.
 
"Atamshauri Zitto agombee uenyekiti"!? Inamaana ACT haina wanachama wengine?!Au Mkumbo kazi yake ni kumshauri Zitto kila alipo?Ikitokea Zitto akahamia nchi nyingine, Kitila ataendelea kumshauri akiwa kule au ataacha kazi ya ushauri kwa sababu Zitto hagombei nchini?!
 
mbona uweleweki cdm mtahangaika sana kitapunguzaje kura wakati hakikubaliki na wafananisha na mwanamke anaetukana mume wake huku bado anampenda

Sisi ACT-Tanzania ambao makao makuu yetu ni New Zealand tuko hapa Tanzania kwa kazi maalum tuliyopewa na Serikali ya TZ inayoongozwa na chama tawala CCM ili tupambane na Chadema. Zitto tumeshamnunua siku nyingi kuna watu wengine tumewatarget pale nitakujulisha baadae lkn kwa sasa tuko ktk operation kali sana ya kuhakikisha hawa Chadema tunawaketisha chini wasifurukute ifikapo 2015.
ACT, chama makini
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana kaka ACT-Tanzania chama makini.
Usisahau sera yetu kuu ni kupambana na upinzani especially Chadema.
Inasumbua sana CCM

na bado.. chadema mtakoma mwaka huu.. act itaipoteza kabisa
 
amesema pia kama mwanachama wa ACT angependa sana na kuwashauri viongozi wa ACT wamchukue ZZK kwa sababu ni kiongozi mwenye kipaji cha siasa ,,pia amekanusha kuwa yeye sio kiongozi ndani ya chama hiko kwa sababu kazi za serikali anazofanya sasa(mtumishi wa umma) na uongozi wa chama na siasa ni kinyume cha sheria

Kuna cku huyu anayeitwa Dk Kitila alihojiwa na BBC dira ya dunia tv kuhusu Rais Museven kutotishka na vikwazo juu ya sheria ya ushoga alichojibu nilitaman kuzima tv, alisema,
viongozi wa nchi za Afrika wanatabia za kujihami wakat awana uwezo wa kushnda vikwazo hvo haon sabab ya Museven kukataza ushoga wakat wananchi wake watateseka na huduma mbalmbal hazitawafikia, wakat ushoga ni kitucha kawaida kilikuwepo toka enzi za mababu.
Mtu kama huyu anatetea ushoga bila woga bdo watu mnashabikia chama anachokitumikia c atatuletea ushoga humu nchin. Hvi vyama hvi du! Yangu macho na masikio
 
Act hakijasimamisha mgombeya hata1kwenye chaguzi yoyote bado kina watowa mimacho kitakapo anza kuwapokonya tongelenu mdomoni si mtakufa kabisa
 
uhuru wa kuchagua,kama walifukuzwa na wamepata sehemu ya kwenda ni haki yao na tuwaache watimize ndoto zao.
all the best,kazi ni popote pale
 
me nafikiri ni tusubiri muda ufike,kile ambacho walikuwa wanasema wanakipigania ndani ya chadema kwao pia kionekane kwa 7bu watu ni walewale..na ile demokrasia isiyo na nidhamu pia ionekane
 
Back
Top Bottom