Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Wakati Wao wakipata usajiri sisi wana ✌ tunaotaka serikali��tunazidi kupiga kampeni mpaka kwenye kivuko
pamoja kwamba nimeajiriwa na serikali ya magamba nimetoka eneo linaitwa Kome wilaya ya Sengerema nimepiga kampeni yakutosha kwa wananchi tuliokuwanao pamoja kivukoni nakuwaambia waiunge mkono Cdm kwani ndio Chama pekee chenye nia njema kwa Wtz,mwitikio ulikuwa mzurisana hasa baadaya kuwaambia madhara ya Ccm nahao ACT nikiwaonyesha mfano wa Barabara ya Sengerema mpaka Nyakalilo inavyotisha kwamashimo ambako ndio kwa Mh Charles Tzeba wa Ccm
 
Tunachofanya ACT-Tanzania ni kupunguza kura za Chadema, tunajazwa nguvu kisha tutanunua wanachama kama tulivyofanya b4 ili kupata usajili wa kudumu hivyohivyo ktk uchaguzi wa 2015 tutakuwa na vijinguvu fulani kumbuks ni vya kupambana na chadema TU
Zitto tumeshamchukua sasa tutashawishi na wengine wahamie ACT chama makini kwa kuwajaza noti za ukweli ili tu kupunguza idadi ya kura na wabunge wa CDM.
Tumejipanga kimkakati kwa kweli.
Kwa sababi Zitto tumeshamdaka kama tulivyopanga sasa tutamtumia yeye kuleta wengine kutoka huko CDM na mamluki wengine watakuwa wanajifanya wanatoka CUF, CCM, TLP, NCCR kuja ACT ili tuwagrab hawa wa CDM
Hii ni kwa idhini tuliyopewa na serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na chama tawala CCM, kazi yetu kuu ni kudhoofisha upinzani.
ACT-Tanzania chama makini

mbona uweleweki cdm mtahangaika sana kitapunguzaje kura wakati hakikubaliki na wafananisha na mwanamke anaetukana mume wake huku bado anampenda
 
Duu hili ni pigo kubwa kwa Chadema, sijui ni nani atamuandikia Slaa hotuba.
HAKIKA ACT NI KIBOKO YA CHADEMA NAONA MAKAMNDA WOTE CHALIIIIIII WANALIA LIA TUU
 
Duu hili ni pigo kubwa kwa Chadema, sijui ni nani atamuandikia Slaa hotuba.
HAKIKA ACT NI KIBOKO YA CHADEMA NAONA MAKAMNDA WOTE CHALIIIIIII WANALIA LIA TUU

chadema wamempigia magoti prof. lipumba awatayarishie bajeti ya wizara kivuli ya fedha
 
Acha kujipendekeza sisiemu we msukule wa ufipa... sisiemu hawaishi na masho..g.a kama wewe.

mimi ni wa lumumba tunapewa buku 7 kila siku na tunaunganishwa vifurushi vya mitandao mi ni mfia chama kuliko mwigilu utaniambia nini ? Ccm chama cha mazuzu ndio jina letu kama hunitaki jioni ninalamba buku 7 kama kawa
 
kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu eti tumeunda chama kingine ili kishindane na cdm wakati siku hizi cdm hatuwawezi na tunawatuma vijana wa lumumba wawe wapambe wa alliance for coward kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu

Bora mjiseme wenyewe!
 
Nafahamu Dr. Mkumbo ni member wa JF na atakuwa anapita huu uzi. Mimi nina maswali mawili madogo tu ya kumuuliza. Kwanza viongozi wakuu wa mda/mpito wa ACT ni akina nani? Pili, Je wapi ninaweza kupata katiba ya ACT? Nitanguliza shukurani zangu za dhati kwa majibu yako.

Kama sijakosea nimesoma Uzi asbh eti wa ACT uenezi anasema eti katiba bado haijawa tayari na hiyo ofisi ipo Dar na haijatajwa maeneo ilipo,sasa nashangaa hapo Kuna nini nyumayake!
 
Sasa salamu za ACT ndo zipoje?
mana tumechoka na wahuni cdm na walafi ccm
 
chadema, kweli kimefulia,,,,,kama zitto na dr kitila wamekikacha sasa nani kabaki pole ,slaa au mboye wote hawa hawana jipya kwan @ mmoja ana sifa zisizo someka mbele za watanzania

Kuna wakati watu nashindwa kuwaelewa. Wewe umetumia vigezo gani kuandika hoja yako?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kama sijakosea nimesoma Uzi asbh eti wa ACT uenezi anasema eti katiba bado haijawa tayari na hiyo ofisi ipo Dar na haijatajwa maeneo ilipo,sasa nashangaa hapo Kuna nini nyumayake!

Sasa wamepataje usajili bila kuwa na katiba iliyokamilika? Msajili amesajili nini, sura za watu?

Tiba
 
Sasa tunasubiri democrasia waliyokuwa wanaililia kila siku wakiwa chadema.
 
hawa jamaa walifikiri watanzania wa sasa ni wa mwaka 1992-1995 wafuata vyama

zittooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo nenda lakini kumbuka ulisema utakuwa wa mwisho kuondoka chadema

but there is a chance for calling press conference which u can use to elaborate what u meant when u say "utakuwa wa misho kuondoka "may be was among wasaliti........................i mean you group

ushauri wangu never fight with chadema chadema is zaidi ya mbowe kam unabisha nenda mtaani utaona \


mwisho ondoa ukigoma ..................................chama mmeanzisha vibaya ni sawa na mwanaume aliyeachwa akamua kuoa kwa hasira .....................whats happen .............we now
 
Mkuu ukiangalia kwa jicho la 3 utaona kbs kuwa hiki chama kipya ni figa jingine la ccm,kumbuka sufuria ya pilau la harusi hulazimishiwa hata mafiga matano ili pilau liive vizuri na hiki ndicho kinachotokea

Nampa hongera sana Mwigulu kwa ushauri wake kwa CC ya ccm kuhusu mbinu za kuibomoa cdm japo cdm nao wamekuja na huu muungano wa UKAWA ambao umewachanganya sana ccm na jana cc ya ccm imeitana kwa ghafla ili kutoa maelekezo kwa wabunge wake wa bunge la bajeti 2014/2015(wa ccm)

Pamoja na hayo yote ACT ya zitto,kitlya,mwigamba,bila pesa za ccm haitaenda popote,pesa ya zitto pekee haiwezi ingiza wabunge hata 5 mjengoni 2015 ila kwa vile imekuja kuugawa upinzani ccm itawekeza pesa nyingi sana ndani ya ACT.....kila la kheri wajanja wa siasa za bongo

sawa kabisa mkuu masanjasb......mimi hofu yangu pia kubwa ni daftari la wapiga kura...sina hakika kama litaboreshwa maana wanajua vijana ni wengi na wanaujua mrengo wao...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom