Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,920
- 33,357
🐕🦺🦮Diwani wa Kata wa Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani Mhandisi Mohamed Kilumbi, amesema kuwa Kata ya Mbuyuni wilayani humo inakabiriwa na upungufu mkubwa wa Condom na kuiomba kamati ya kupambana na UKIMWI kuchukulia kwa uzito jambo hilo na kuharakisha kuzipeleka.
View attachment 2008870