Diwani wa Wilaya ya Kisarawe Pwani alalamika uhaba wa kondomu

Diwani wa Kata wa Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani Mhandisi Mohamed Kilumbi, amesema kuwa Kata ya Mbuyuni wilayani humo inakabiriwa na upungufu mkubwa wa Condom na kuiomba kamati ya kupambana na UKIMWI kuchukulia kwa uzito jambo hilo na kuharakisha kuzipeleka.

View attachment 2008870
Kondomu sio bidhaa ya biashara sawa na pamna za wanawake? Wafanya biashara hawawezi kuzipata na kuweka madukani mtaani?
 
Diwani wa Kata wa Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani Mhandisi Mohamed Kilumbi, amesema kuwa Kata ya Mbuyuni wilayani humo inakabiriwa na upungufu mkubwa wa Condom na kuiomba kamati ya kupambana na UKIMWI kuchukulia kwa uzito jambo hilo na kuharakisha kuzipeleka.
Halafu zimeadimika kipindi kibaya, msimu wa likizo kwa vijana
 
Hakuna kitu kinanipa shida kma kwenda kununua condom alaf unakuta pharmacy nyingi zinauzwa na wamama umri sawa na mama yang dah ukienda sehem nyngne unakuta mwanaume na mwanamke ila zipo hadharan hapo ukiagiza ni kila mtu anaona unaenda kufungiwa Nini, huwa nazunguka sana had nipate sehem anauza kijana mwzangu na yuko peke yake, alaf nachukua nyingi ili nisirudirudi kutafuta inawezekana Wana wenye tabia kama yangu ndo wamezimaliza wameweka akiba ndani
Usisumbuke, siku nyingine hiyo nauli unayotumia kuzunguka mpe bodaboda akakununulie akuletee
 
Halafu zimeadimika kipindi kibaya, msimu wa likizo kwa vijana
Hazitakiwi kuadimika, namna ya kupambana na magonjwa ya zinaa ni kinga zitumike ipasavyo ili mwili ulioathirika uwekewe mipaka hii inasaidia hata katika kipindi cha matibabu badala ya kutibiwa watu 1000, basi watibiwe 300.
Swala la ngono lichukuliwe kama sumu ambayo haruhusiwi mtu kugusa kabla hajavaa gloves ama vifaa vya kulinda ngozi
 
Hakuna kitu kinanipa shida kma kwenda kununua condom alaf unakuta pharmacy nyingi zinauzwa na wamama umri sawa na mama yang dah ukienda sehem nyngne unakuta mwanaume na mwanamke ila zipo hadharan hapo ukiagiza ni kila mtu anaona unaenda kufungiwa Nini, huwa nazunguka sana had nipate sehem anauza kijana mwzangu na yuko peke yake, alaf nachukua nyingi ili nisirudirudi kutafuta inawezekana Wana wenye tabia kama yangu ndo wamezimaliza wameweka akiba ndani.
Unaona ugumu kununua condom jana nipo Pharmacy na wateja wengine kama 4 hivi mwamba kaja anataka huduma haraka apewe viagraa...🤣
 
Huyo diwani nae chenga tu, ukikata nyagi kubwa moja hakuna ngoma wala uti itakusogelea...😎
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom