Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,245
Diwani wa Kata wa Kibuta wilayani Kisarawe mkoani Pwani Mhandisi Mohamed Kilumbi, amesema kuwa Kata ya Mbuyuni wilayani humo inakabiriwa na upungufu mkubwa wa Condom na kuiomba kamati ya kupambana na UKIMWI kuchukulia kwa uzito jambo hilo na kuhakikisha bidhaa hizo zinafika kwa haraka.