Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Kvp mkuu hyo foundation ?
Ni program wanayotoa Open University unasoma kwa mwaka mmoja either science au arts na ukifaulu unakuwa na vigezo vya kujiunga na Open University degree courses. Sijajua vyuo vingine zinaikubali hiyo program kwa kiwango gani. Tembelea OUT website kwa maelezo zaidi.
 
Enzi za kila kiumbe kusoma digrii zimeshakwisha. Zama zile kila mtu na vilaza wote waliomba kwenda degree hata awe na scores mbovu, huu ujinga umekwisha sasa na kama madogo hawasomi hakika jua na mvua ni haki yao. Wanapoteza mda mwingi wanaigiza maisha kana kwamba kuingia Advance ni sawa na kuwa kaole, shule iheshimiwe na watu wote
Ha haaaa haaaaaa we Jamaa bwana!
umenifurahisha kweli
 
Hiyo kozi ya mifupa inaitwa bsc in prothestics and orthotics ...

Nayenyewe nimeangalia wanataka Awe na C ya kemia plus D na E...

Nenda kwenye website ya kcmc utaiona...

Kusema hataki kabisa diploma inaonyesha bado hana akili... We ngoja mambo yatapomfika shingon ndio atajitambua...

Kwa sasa aombe degree na wenda round ya kwanza akakosa, akikosa aombe tena round ya pili na tatu... Na akikosa kote akasome diploma!!


sawa mkuu.
dogo bado chalii hawezi elewa yakitaa. mwenyewe wa 2000
 
Back
Top Bottom