Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

St Francis Ifakara walizuiwa udahili wa MD.
Kwa pass mark hizo dogo hana budi kusoma diploma japo nazo zipo too competitive, akishindwa ajaribu degree nyingine mf ualimu. Karibu vyuo vyote sasa hivi vipo tight kwenye udahili. Mama Ndalichako kalikomalia sana la udahili, kama huna sifa haupati. Ukiingia kiujanjaujanja mbeleni cheti kitahojiwa na utapata tabu sana!![/QUOT

AISEEE!
 
Mwaka jana kuna dogo alikuwa wa kiume alipata two ya Pcb na alikuwa anapenda Md au kozi yoyote ya afya,Mwisho wa siku kapata kozi tofauti na md,kwasasa yupo Udom anasoma kozi ya It,na kwasasa ukimwambia Md haitaki tena anasema It itamlipa sana,kwaiyo uyo mdada asikazanie tu iyo kozi ya md ajaribu na kada nyingine

Kwani IT anaweza kufiti kwa pass mark hiyo
 
Muhimbili anaweza kwenda kuchukua BSc Nursing
NURSING muhas ni kugumu au chuo chochote kwa hizo points zako mkuu usijaribuu nursing yenyewe kwa degree wanachukuliwa walio faulu vizuri kuna ndugu yangu alijaribu mwaka jana na alikuwa na 2.12 alikosa na ni kweli maana ni competition mnoo jaribu environmental science na nyinginee ila MD,NURSING,PHARM,BMLS,RADIOLOGY,usijaribu kwakwelii sikukatishi tamaa bali nakueleza ukwelii ili usipoteze muda
 
Kwa vigezo vya TCU alitakiwa awe na principal pass mbili na subsidiary moja ili uwe na vigezo vya kusoma bachelor degree yoyote yaani kuanzia DDS..baada ya hapo ndo wanaanza kuangalia hali ya ufaulu ikoje.


shukrani mkuu
 
Unaangalia salary wakati hata chuo hujapata?

Alafu anaposema hataki kabisa diploma basi angesoma kwa bidii apate marks nzuri... Ili asome degree...

Kwa hali yake hatakiwi kuchagua chagua, akomae na vyuo kama udom, bugando, kairuki pia awe flexible degree ikigoma aangalie ustaarab wa diploma.


sawa mkuu. Ila hata angekuwa amefaulu suala la salari lazima angeulizia mkuu
 
hapati degree uyo msimdanganye,ili usome degree saiv lazima uwe na point 4 minimum,DD yeye hajafika ana tatu kwann mumdanganye mwenzenu wadau,hata private hawez aende diploma,izi ni qualification za tcu na sio private labda aende uganda uko,na aajiriwe uko uko


SAWA MKUU, Tumekusikia
 
Nasikitika kukwambia kwamba ndugu yako kwa ufaulu wake hawezi kusoma chochote kwa level ya degree.

Achilia. mbali medicine, pharmacy,nursing au education huyo hata bachelor of swimming and diving hawezi kupata.

Kwa sababu hajafikisha kigezo cha chini kabisa cha kujiunga na elimu ya juu kilichowekwa na TCU.

Kigezo lazima uwe na ufaulu wa point 4 kwa masomo mawili ambapo anatakiwa apate DD au CE.

Ndugu yako ana DE hivyo hawezi kupata.

Mwambie aende akasome diploma tu kwa kutumia cheti chake cha kidato cha nne.


masikini kapoteza miaka 2 bure
 
Degree unaenda ,lakini kwa program yenye ushindani kama medicine utapata shida kidogo but jaribu vyuo kama St Francis na vinginevyo utapata
hadi awe ana principal pass 2 kuanzia D mbili na kuendelea...so degree haweza chukua hadi asome kwanza special diploma
 
degree ataenda maana point zake zinafika 4,akapige education kwa huakika wa mkopo,degree za pharmacy ,nursing, asahau wanataka kuanzia point 6
Mkuu, hizo point 4 zinatakiwa zitoke katika masomo mawili, sio matatu. Degree haendi, hata kwa chuo kisicho na ushindani. Hajafikia minimum requirement ya ujumla (bila kujali ushindani)
 
Akitaka aje kujuta basi asomee education...
Lati ungejua kuwa waalimu wa sayansi wanapiga pesa sana usingemwaga huo uharo wako! By the time huyo daktari anahitimu, mwalimu wa sayansi anakuwa yuko mbali sana kama siyo mvivu! MD ni sifa tu bila pesa!
 
Back
Top Bottom