Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

Mkuu degree hipi iyoiyo ,na mm nimepata kama hizo, naweze pata education ?
Degree unaenda ,lakini kwa program yenye ushindani kama medicine utapata shida kidogo but jaribu vyuo kama St Francis na vinginevyo utapata
 
Habari wakuu!

Kama kichwa kinavyojieleza, Hivi msichana mwenye Divisheni 3 ya 14 katika mchepuo wa PCB anaweza kuchaguliwa kwenda chuo kusomea degree

Ikiwa ndio, je anaweza kukubaliwa kwa kozi zipi?
Yeye anapenda kusomea kozi ya Ufamasia au Medisini.

msaada wa haraka unahitajika
MKUU hatuangalii division tunaa galia masomo husika kapata gred gani

Kama ulimkila mpaka akascore poorly unalo
 
PCB lzm awe na s ya hesabu akiwa na f hawezi kwenda degree ya pharmacy
 
UsidhN hakusoma.mimi hist nilisoma sana na paper likaja easy ila matokeo nikapata D
Kufauru ni mbinu mkuu, siyo kusoma sana. Ukiamua kusoma darasani kama unasoma gazeti pia tayari ushafeli, kufaulu ni mipango mizuri ya unasoma nini, lini na kwanini.
 
Kufauru ni mbinu mkuu, siyo kusoma sana. Ukiamua kusoma darasani kama unasoma gazeti pia tayari ushafeli, kufaulu ni mipango mizuri ya unasoma nini, lini na kwanini.
Ndio mkuu.vyote hivo nilifanya.
Na paper za skul nilikua napiga b na c lakini kuja necta D
 
Sio kweli mkuu kaangalie Guideline ya NACTE utaona
"Ordinary Diploma in Clinical Medicine Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) Passes in non-religious Subjects including "D" Passes in Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences a Pass in Basic Mathematics and English Language is an added advantage".
 
Lati ungejua kuwa waalimu wa sayansi wanapiga pesa sana usingemwaga huo uharo wako! By the time huyo daktari anahitimu, mwalimu wa sayansi anakuwa yuko mbali sana kama siyo mvivu! MD ni sifa tu bila pesa!
Mwalimu wa sayansi kwa somo gani kaka
 
Asante.
Umenikumbusha wakati naingia CoET nakuta darasani nasoma na majitu yamepata Division One za 8 huko wakati watu tumekomaa kumamake tumetoka na One za 3 kali kinoma.
Ila mzee Advance ulikuwa unaoga kweli Misonge Mitatu isikie tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom