lifecoded
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 1,424
- 4,325
- Thread starter
- #81
le them come for sure..From sherryView attachment 828090
we want to enjoy the mission behind..
Sent using Jamii Forums mobile app
le them come for sure..From sherryView attachment 828090
le them come for sure..
Duh mkuu huoni kama mambo mengine yakitokea itakua ni hatari kwa binadam ambae hajui Siri yyt
we want to enjoy the mission behind..
Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja kiongoziAhsante kwa elimu hii murua kabisa. Yaani nimetoka usingizini, usiishie hapo tu mkuu.
Kama ulivyoahidi ktk moja ya comments, endelea kumwaga nondo.
subconcious awareness ndo kila kituCommunicate with your subconscious mind. Yote utayapata. Hii Dunia Ni Balaaa. Ila nzuri sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unawezaje kujiconnect na subconscious awareness?
unatakiwa ujue system mzima ya Id,ego and superego hapo ndo utajua unapaswa udeal na ipi zaidi...
naomba ukazitafute kwanza hizo halafu utajua pa kuanzia
Usiache kunitag pia mkuunakumbuka......muda utawadia nitaushusha hapa...nitakutag ...usijali kwa hilo
unatakiwa ujue system mzima ya Id,ego and superego hapo ndo utajua unapaswa udeal na ipi zaidi...
naomba ukazitafute kwanza hizo halafu utajua pa kuanzia
Sana pacha
tuambie tunazipata wapi
Sana pacha
#nikola tesla
nakumbuka......muda utawadia nitaushusha hapa...nitakutag ...usijali kwa hilo