Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,296
- 40,084
YupoHuyu #lifecoded bado yupo hai kwel
Naona ni mda sana kapotea jukwaani kwa muda sas
YupoHuyu #lifecoded bado yupo hai kwel
Naona ni mda sana kapotea jukwaani kwa muda sas
dah! Hao wataalamu nahisi ni ngumu kuwapata aseeHabari zenu wakuu
Nahitaji msaada juu ya namna ya kupata spiritual enlightenment and connect my self with the laws of the universe and my soul families as well
Kuna vitu vingi nimejifunza na manufaa yake nimeyaona isipokuwa tu nimekosa guidlines za uhahika
Kwa yeyote anayefahamu haya mambo tafadhali naomba tuwasiliane hata kwa PM ikiwezekana
Naskia wapo ila kuwapata ndio mtitidah! Hao wataalamu nahisi ni ngumu kuwapata asee
Mmmh... Sijui ndio nimeondolewa huo uwezo waku-unlock hizo patten! [emoji848] Sijui ndio sina hiyo pineal glad ndio maana naona chenga tu hizi habari!? Ila huo uwezo umeondolewaje!? Lini? Na nani? Haswa hiyo peneal glad huko kwenye ubongo imeng'ofolewa vipi!?ninachoamini ni kwamba nature is free to understand ,but it needs your free mind to unlock reality,,,,mtu yoyote unaweza kuunlock patterns of reality,,,everything is the reflection of you,everything is energy so tunapersive vitu simply because kila kitu kinadance with its frequence ndo mana tunaona physically but everything is energy so it needs you to recognize that before you understand how reality is,,,,
ukiweza kuinterprete hizo vibration na frequence of anything hapo utakuwa umeweza kuunlock reality,,shida inakuja wapi sasa ni pale watu wachache wanapoamua kuigeuza kuwa siri na kufikia hatua ya kuua hata wanaodiriki kusema ukweli juu ya nature of reality,,mbaya zaidi in order to understand how nature patterns are ni lazima pineal gland yako iwe active kwa kutoa vichocheo kama melatonin na selrotonin zinafanya intuition pamoja na kumuongezea mtu pyschic abilities,,,,
sasa hawa jamaa wanachokifanya ni kupunguza uwezo wa pineal gland kutoa hizo chemichals na kuicalcisify kabsa ndo mana mtu kuelewa hata kuwa nature ipo inakuwa ngumu yani anaona kama tunac hokizungumza hakina maana kwa sababu hata uwezo wa kuwa pyschic ashaondolewa,wale jamaa waaondoa uwezo wa pineal gland kuwa active kwa kuruhus free radicals[FLUORINE] kuharibu hiyo pineal gland na kufanya mtu kukosa uwezo wa kuleak na universal magnetic pattern zinazoopen mlang wa nafsi ya jicho la tatu kudetect unseen forces that connect human mind to hingh world.....
alishaapa kutokurudi humu kwa ukomoaji wa hoja wa watu misukule[emoji38][emoji38][emoji38]Huyu #lifecoded bado yupo hai kwel
Naona ni mda sana kapotea jukwaani kwa muda sas
nashida sana na huyu jamaaalishaapa kutokurudi humu kwa ukomoaji wa hoja wa watu misukule[emoji38][emoji38][emoji38]
kurejea wapi mkuu?Bora kiongozi umerejea. Tulipungukiwa chakula cha ubongo.
Yupo hai kundini hivyo muda wowote atashusha nondokurejea wapi mkuu?
🤔
afadhari bana maana mada ilidororaYupo hai kundini hivyo muda wowote atashusha nondo