Divine matrix under entangled reality

Divine matrix under entangled reality

Mkuu hebu turudi tena. Umesema kuwa ukifanya jambo baya the law of karma itakulipa baya na ukifanya mazuri itafanya hivyo hivyo.
Sasa swali langu ni kuwa, ni kiwango gani kinachotumika ku judge kuwa ni kitendo flani ni kizuri na kipi ni kibaya.?
simply because the universe if perfect ,it knows how to reshape everything,,but bad or good is mental construct ,,everything you see and perfom are equal in magnitude from point of judgement...the universe responds by listening from your mind interpretation,,

Ukisema kuwa hiki kitendo ni kibaya the universe brings bad outcomes kwa sababu your conciousness is connected to the universal conciousness[universe] so everything you think is connected from the universal mind [universe] so ukidhani kuwa ulichokifanya ni kizuri the universe interpretes the frequencies ulizonazo kwenye mind na kukufanya uendelee kufanya hivo,ndo mana tunasema kila mtu aanishi maisha ambayo kayaandaa mwenyewe,,,

What you think in your mind comes manifested into physical reality...somo la hapa ni deep kidgo...but shortly ni kwamba kinachopima kuwa ulichofanya ni kibaya au kizuri ni hiyo concious recognition inayotumwa kwenye universal fild of awareness kulingana na wew ulivyokichukulia..kama ukiua mtu halafu mind yako ikainterprete kuwa ni kitu cha furaha kabsaa the universe will not punish you simply because umetuma conciousness ambazo hazina negative awareness ila ukiogopa na kujawa na hofu the universe will recognize as the bad things and will respond negative on that,,

Ndo mana nasema results nying za mambo yetu tunaandaaa majibu sis wenyew...mfano mzuri ni hospital kama mgonjwa wako yupo ICU halafu madaktari wanendelea na kazi halafu nyie huku nyuama mkajikusanya mkaanza kulia kila mtu akiamini mgonjwa haponi na kweli mgonjwa haponi kwa sabubu ile anger mliyonayo inasend informations to the universe and the universe interprete and recognize that kuwa it is true hence the universe responds to allow death through nature operation,ndo mana wale wazee wa theatre huwa hawataki kuona ndgu wa mgonjwa yupo maeneo ya theatre..why, that ?

simply because they know the effects of your anger,ila ukiweza kurecognize kuwa you are the part of the universe and the universe recognizes you as the part also utaweza kucontrol any outcome iliyok mbele yake,,ndo mana tunasema jiamini..thats is to define yourself in the field of the universe.

kuna study nying zimefanyika kujuwa how the universe responds towards happiest conciousness and anger conciousness...the happier frequency huwa inaleta good outcomes na anger frequence huwa inaleta negative force of reactions from the universe..
 
No one has ever seen God if at all He //She exists. According to my own views the truth is God hence nobody knows the truth. When we say 1+1=2 it may be not true, it is close to the truth. When the soul will come out from your body is when you see the truth
unamwita GOD simply because it has been named by few people who knew that,but another name of GOD is the supernatural power,anather name of GOD is the universe itself, so unapomdefine GOD lazima ujue unachomanisha ni nini hasa..
 
nimekupata mkuu. Sasa tuje hapa
Mimi nimeua mtu na nachukulia kuwa ni kitendo cha kawaida kwa misingi hiyo reaction ya universe kwa upande wangu itakuwa positive kwa kuwa mimi nimetambua hivyo. Lakini katika kitendo hicho cha mauaji nimezungukwa na jamii, jamii inayotambua kuwa kuua ni kitendo kiovu na action zao juu yangu ni mbaya (kuniwazia mabaya) kwa hiyo katika misingi hiyo tunatarajia kuona universe itarespond kwangu kutokana na mawazo yao waliyonayo juu yangu (nitapata mafhara)
Je katika kesi hii ni iniverse itarespond kwa kumfuata yupi? na kwa nini?
simply because haat jamii nayo ipo connected to the universal pattern of conciousness,kila mtu yupo indirectly connected with the universe thus why mawazo yoyote ile yatakuwa in link with the universal field.

,Ndo mana mtu mbaye akifanya maauaji alafu akakaa kimya bila kuwa na was was wowte na akafanya juu chini jamiii isimtambue hapo ataendelea kuwa safe mpaka anakufa but if the community comes to know and recognizes him tayar kutakuwa na negative perceptions juu ya huyo mtu kutakuwa na wingi wa frequence zinazotumwa na kureceiviwa na universe tayar the universe will respond towards that na kusend negative forces juu ya yule mtu na kulipiza kissasi,,

Ndo mana kwa mfano nchi kama imejaaa machafuko tunaona makanisa yanahimiza watu wafikilie mema zaidi ili kutoruhusu the universe from letting the situation kuendelea,,,the universe responds from what you concetrate in your mind by responding from the frequences you send to it...

Ukifikilia mabaya the universe responds from allowing the outcome to proceed lakini pia huku ikiendelea kuruhusu ile hali inayofikilika akilini kwa watu,,,ndo mana wanaofanya maauji siku zote hawafahamiki ili kulinda pia maisha yao from THE LAW OF KARMA kuwaajibisha..

Lakini simply because wapo watu tayari washakuwa recognized by the universe hence wanacontrol outcomes simply because wanaweza badili response ya universe towards them and universe recognizes them as friends.....

Consider about HIGH FREQUENCY AURORAL AUTHORITY AND RESEARCH PROGRAM [HAARP] wanavyocontrol weather kwa kugenerate Earthquakes na TSUNAM huko ASIA lakini tunaona hata hawapati shida yoyote,this is because washacontrol nature kama sio kuwa kwenye part ya nature,.
 
nimekupata mkuu. Sasa tuje hapa
Mimi nimeua mtu na nachukulia kuwa ni kitendo cha kawaida kwa misingi hiyo reaction ya universe kwa upande wangu itakuwa positive kwa kuwa mimi nimetambua hivyo. Lakini katika kitendo hicho cha mauaji nimezungukwa na jamii, jamii inayotambua kuwa kuua ni kitendo kiovu na action zao juu yangu ni mbaya (kuniwazia mabaya) kwa hiyo katika misingi hiyo tunatarajia kuona universe itarespond kwangu kutokana na mawazo yao waliyonayo juu yangu (nitapata mafhara)
Je katika kesi hii ni iniverse itarespond kwa kumfuata yupi? na kwa nini?
Kuna kitu kinaitwa singular awareness na collective awareness..mara nying the universe responds to collective awareness zaid kuliko singular awareness,,

Manake nini kama utafanya kosa halafu wew ukachukulia kawaida there wont be negative response from the universe but jamiii ikifahamu juu ya tukio baya ulilofanya manake watu wengi wataanzakuhuzunika na kulaani kitendo kile ulichokifanya,wataform kitu kinachoitwa collective awareness na frequence generated to the universe will be high to allow the universe triggering negative outcomes kwako kwa kufuata law of karma inavyotafsiri everything done within the universe,

,,,Hapo utajikuta unapata madhara hata kama wew ulikuwa unachukulia kawaida....best option hapo ni kukaaa kimya jamii isitambue ulilolitenda labda uwe na uwezo wa kucontrol nature kias kwamba mawazo yao hayana effects kwako kwan the universal mind is with you.
 
Taratibu naanza kukuelewa asante mkuu
UNAWEZA ukairudia thread vizuri afu ukaconnect dots taratibu kwenye comments za chini hapo nadhani utaelewa kilichokuwa kinazungumzwa
 
Nimekupata vyema sana mkuu, sasa kwenye hizi dini walitumia kigezo gani kutenga mambo mema na mabaya na wakafanya jamii ijue hivyo wakati kumbe uhalisia ni kuwa universe unarespond kutokana na wewe unavyotaka. Na je kulikuwa na nia gani kufanya hivyo?
nikipata muda nitakuja kuelezea kwa undani zaidi the role of the church kwenye development of science and technology....ukiambiwa ukweli juu ya dini nahisi utaacha kusali kuanzia leo....
 
The law of KARMA wil judge you,the law states that,WHAT YOU CAUSE WILL HAVE AN EFFECT,IF YOU GO AND DO SOMETHING BAD,THE UNIVERSE WILL DO SOMETHING BAD TO YOU,BUT IF YOU DO SOMETHING GOOD ALSO THE UNIVERSE WILL OFFER GOODS TO YOU..malipo ni hapa hapa duniani manake usemi unaelezea how the law of karma is balancing human existance,
Hii kitu huwa ninajiuliza mbona hao wadhungu wanavyo uwa wa Syria na wapelestina haiwagongi wao?
Siri gani wanatumia kujikinga na hii karma?
Mwenye Enzi Mungu tuongoze milele!
 
nikipata muda nitakuja kuelezea kwa undani zaidi the role of the church kwenye development of science and technology....ukiambiwa ukweli juu ya dini nahisi utaacha kusali kuanzia leo....
I guess so!
Inatisha sana walahi
 
Ha ha ha ha ha ah
NImejikuta Nacheka Kwa Sauti baada ya kumaliza kusoma na kutambua ya kwamba jibu ni moja afu rahisi sana na wengi wanalijua.
Ila sasa kuliweka katika uhalisia hapo ndio poanakuwa ni kazi ya kuuhamisha mlima kwenda sehemu nyingine.

Ninachoelewa wengi wao waliofanikiwa kuujua ukweli hakuna hata mmoja aliyekuwa anafuata dini fulani, wengi wao walikuwa ni watu wakufuata kanuni na mambo yao binafsi
Kiuhalisia lazima uachilie dini ubakie wewe walau unakuwa ushaanza kusogelea majibu yako na kuyafanyia kazi.

Ndio maana unakuta wale tunaowaona wanajua dini lakini wakiwa tayari wanajua uhalisia huu hawawi ni watu wenye nguvu na dini yao bali wanakuwa wanasimamia haswa misimamo yao binafsi.

Sure Ukishamtegemea Mungu must uwe na mipaka fulani but unapoamua kuwa free ndipo unakuwa against na dini na ndio utaujua sasa ukweli halisia.
 
Nilishaacha kusali serously makanisani tangu zamani mkuu, huwa naenda mara moja moja nikimiss kusikia kwaya ikiimba na midumdo ya vinanda. na tangu niache nimekuwa huru sana, naishi maisha mema kuliko hao wanaoshinda makanisani na madhabahuni. Dini kwangu naichukulia kama sehemu ya ku sociolize kama ilivyo baa, beach na sehemu nyingine zenye makusanyiko ya watu. Wafia dini naomba mnisamehe. Ni lazima tujifunze kuishi maisha mema bila kushikwa masikio na watu wachache.
Nasubiri nondo ukipata muda wa kufanya hivyo.
sawa mkuu
 
sawa mkuu
Shukrani mkuu kwa kutujuza machache uliyo nayo naamini unajua mengi hivo usiache kutumegea na sisi tukaelewa huenda siku moja ukweli ukajulikana halafu pia naomba ukipata muda uzungumzie kuhusu laws of nature nmeona umegusia baadhi hapo nilizifuatilia huko kunako google ila sikuelewa vzuri
Japo nimen'gamua kitu ila mepata pa kuanzia nafikilia zile zimemeza mambo yote kuanzia vnavyoonekana na visivyoonekana hata miujiza inapita mule mule.
 
Shukrani mkuu kwa kutujuza machache uliyo nayo naamini unajua mengi hivo usiache kutumegea na sisi tukaelewa huenda siku moja ukweli ukajulikana halafu pia naomba ukipata muda uzungumzie kuhusu laws of nature nmeona umegusia baadhi hapo nilizifuatilia huko kunako google ila sikuelewa vzuri
Japo nimen'gamua kitu ila mepata pa kuanzia nafikilia zile zimemeza mambo yote kuanzia vnavyoonekana na visivyoonekana hata miujiza inapita mule mule.
shukrani mkuu,nikipata muda tutashare machache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom