Divine matrix under entangled reality

Divine matrix under entangled reality

unawezaje elewa kitu ambachonhukifahamu kama anayekueleza anakifahamu...??

Kwa sababu akikueleza ukweli utasema uongo ila ukiambiwa useme ukweli unasema tuwaulize wanaojua...!! so whichi is which...

Wanasema kuwa tend to have a doubt on something new but never opose the explanations...unaweza taufta ukweli huku ukitumia primary source ya uelewa juu ya kile kitu..

Ndo mana hata katika sayansi watu huweza formulate laws na principles kisha kuzifuata ili hali wakiendelea kutafuta solution nyingine...accept what you have first then will guide you to reach somewhere..

Usiruhusu kupoteza kila unachokisikia...utakosa kila kitu...

Sent using Jamii Forums mobile app

Jifunze kutunza kumbu kumbu mzee. Unajua mimi nilielezea nini na mdau ameuliza nini ?

Nakukumbusha sasa,nilieleza maana ya TAHAJUDI kama ilivyo ,sababu iko mbali na meditation. Sasa hapa inabidi uwaulize wale wanao sema MEDITATION kwa Kiswahili ni TAHAJUDI kwanini wanasema hivyo wakati kiuhalisia si hivyo.

Kama huwezi kuziweka pamoja hoja mbili kinzani na ukapata jibu moja sema tukusaidie.

Pia,hii nakupa faida tu kwangu MEDITATION ni aina ya USHIRIKINA na wale walio anzisha mtindo huu nawajua.

Sasa elewa hoja usiishie kuisoma tu hoja.

Nipo ....
 
ukipewa maana ya Tahajudi utakataa tena na utaleta maana yako...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo umekataa maana ya neno ambalo na wewe hujui maana yake?

Sent using Jamii Forums mobile app

Unakumbuka uliniuliza nini na mimi nimekujibu nini ?

Nilitoa maana halisi na ya kweli kuhusu Tahajudi,kwa maana ya kuwa si sahihi na si kweli kusema Tahajudi ni kiswahili cha Meditation. Sasa hujaelewa nini ?

Na niliposema sijui ni kwamba kweli sijui Meditation kwa Kiswahili ni nini,ila nina jua nini maana ya hakika ya TAHAJUDI.

Natumia lugha ya Kiswahili iliyo nyepesi sana.
 
ukipewa maana ya Tahajudi utakataa tena na utaleta maana yako...!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha nacheka sana ni sawa sawa leo uniambie rangi ya maziwa ni kijani,wakati sisi sote tunajua maziwa ni meupe,hili haliyumkiniki mzee.

Na ukitaka tuende mbali zaidi juu ya suala la Meditation tutaenda tu mzee kwani asili haiongopi.

Elimu ya maana na utoaji mifano inahitajika sana.
Nipo ...
 
Unakumbuka uliniuliza nini na mimi nimekujibu nini ?

Nilitoa maana halisi na ya kweli kuhusu Tahajudi,kwa maana ya kuwa si sahihi na si kweli kusema Tahajudi ni kiswahili cha Meditation. Sasa hujaelewa nini ?

Na niliposema sijui ni kwamba kweli sijui Meditation kwa Kiswahili ni nini,ila nina jua nini maana ya hakika ya TAHAJUDI.

Natumia lugha ya Kiswahili iliyo nyepesi sana.
Mimi nilikuuliza maana ya meditation kwa kiswahili kwasabu wengi waloanzisha mada za meditation wanasema ni tahajudi,kwaiyo nikakuuliza wewe kama sio tahajudi nini unavoelewa wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuuliza maana ya meditation kwa kiswahili kwasabu wengi waloanzisha mada za meditation wanasema ni tahajudi,kwaiyo nikakuuliza wewe kama sio tahajudi nini unavoelewa wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app

Na mimi nilikataa sio kweli maana ya meditation kwa Kiswahili ni Tahajudi na nikatoa maana ya kilugha na kisheria ya tamko Tahajudi.
 
Kwahiyo hawa wadau wote hawajui nini maana ya tahajudi wwe ndo unajua maana yake? Kama mshana jr,mzizi mkavu,mtambuzi appolo na wengineo wanaosema meditation ni tahajudi?je na hiyo maana uloitoa wewe ni kwa mujibu wa dini yako au ndo inavyotambuliwa na ulimwengu wote?naona kama mkuu life coded nae anajua maana ya tahajudi tofauti na ulivyoelezea wewe!akikupa maana yake utamwamini?

Kaka ukweli au haki haipimwi kwa wingi mzee,swali la msingi hao wengi je wako sahihi ? Umesifiwa sana uchache kwani wingi huwa ni jinsi ya KIKE.

Tahajudi katika ulimwengu mzima wa kilugha tafuta maana yake utakuta iko hivyo hivyo. Ndio maana nikashangaa na kuuliza hii maana ya Meditation kuwa ni Tahajudi kwa Kiswahili hili wamelipata wapi ?

Wawe jaribu kuwauliza tu,ili wakwambie,uje na jibu hapa tuliweke kwenye mizani ya kielimu.
 
Sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna siri per say kuna code flani zipo ili uzielewe inahitaji effort yako kuchunguza, na ni vizuri mambo hayako wazi maana yangekuwa yanaeleweka kwa kila mtu kusingekuwa na matabaka,there is no human powerful than the other but trust me those who know these secret codes and how to use them effectively rule the majority .kuna huyu mtu anaitwa mantak chia unamfatilia?

people fear what they don't understand
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom