Law of karma inazungumzaje juu ya mtu anaepatwa na matukio mabaya mara kwa mara ( repeatedly ) ilhali hana hatia na society openly ina prove kuwa innocent but hukumbwa na bahati mbaya kwa kufanyiwa mabaya na watu tofauti?
Mtu unapopatwa na matukio mabaya repeatedly haimanishi kuwa law of Karma inakuadhibu....hapana..
,Hapo kunakuwa na interphase ya laws mbili...ya karma + law of concentration with vibration..
The more unapokuwa unawaza jambo kwa muda mrefu kichwani mwako ,lile jambo huendelea kutokea maishani mwako kwa sababu ya power of concentration juu ya lile jambo na mind yako itakuwa inalifikilia lile jambo kila wakati hence kusababisha vibration ya frequency range maalumu kila siku juu ya lile jambo then attraction ya jambo lile itaendelea kutokea hatimaye kuwa jambo la kudumu periodically...
Ndo mana tunashauliwa tusiwe tunaweka mambo kichwani kwa muda mrefu...
Unapopatwa na jambo baya maishani mwako,usiliweke moyoni kwa sababu litafanya mwili au nafsi yako iwe inatuma vibrations kwenye mind yako kisha memory centre kuhifadhi kwa muda mrefu kitu ambacho kitaifanya akili yako kuwa na concentration juu ya ile hali hence the Universe will decide to send the response towards unachokifikilia kwa muda mrefu ....
Concentration ya jambo lolote hile kichwani mwako hufanya mind yako itume frequency kwenye Universe ambayo ndo giver wa kila kitu kwa kutumia vibration flani ambazo zimecreate frequency maalumu ya attraction hence Utajikuta unaishi kwenye maisha ambayo hayabadiliki kila siku...kama unawaza kuhusu maisha magumu ,mind yako itaconcentrate na maisha magumu ,kila dk utakuwa unawazia maisha magumu hence kupelekea kugenerate strong vibration frequency towards neno lile hence frequency hizo hutumwa kwenye Universe( Giver/ God) hence kupelekea kupewa kitu kile kile unachokiwaza...
Mtu aliyefanikiwa kimaisha hasa mali na pesa ni ngumu kurudi kwenye umaskini kwa sababu mind yake inakuwa imeconcentrate na pesa na mali hence the universe itakuwa inapokea postive vibrations hence kurespond kwa kumtengenezea maisha yale yale anayoyafikilia kwa muda mrefu...
Mtu ambaye hana kitu( maskini) ataendelea kupata taabu kwa sababu kila mara anawaza neno umaskini,akikosa kidogo tu anakuwa analalamika hence kupelekea kugenerate negative vibrations ambazo zinapelekea kupata negative response kutoka kwenye universe( Giver).
So we should think in a positive way rather than keeping blamming for everything...