Divine matrix under entangled reality

Divine matrix under entangled reality

Uzi umekaa vyema mkuu
Naomba kuuliza, umejibu maswali vizr zaid but why umebase na LAW OF KARMA?? Na je kuna utofauti gan na misingi na sheria ya dini zingine!
?
kanisa kama kanisa ni muongoni mwa secret institute zinazojua ukweli na zinacontrol laws of nature,kanisa katoriki linajua wazi how the laws of nature zinavocontrol human existance but ndo mana linaweza create some minimal laws[sheria za kanisa ] na mwanadamu akazifuata kwani the church has already synchronised with the universal pattern[ universe] ndo mana chochote linachofanya the universe has nothing to punish ....

Maabara kubwa za utafiti nchini uswisi zipo chini ya kanisa,maabara kubwa duniani kama PAUL SCHERRER INSTITUTE ya nchini switzerland ipo chini ya ROMAN CATHOLIC,ndo mana nasema kanisa ndo taasis nzito duniani zilizoficha ukweli how the universe operates.

kituo cha taarifa za anga duniani cha GALACTIC CONNECTION CENTER ambayo inatoa taarifa zote kuhusiana na UFOs ,ALIENS,ASCESSION,CONSPIRACY AND INTERSTELLER TECNOLOGY ,hizi zote zipo chini ya VATCAN INSTITUTE OF SCIENCE pia NASA pamoja na scientific experiments zinatolewa ufafanuzi kwenye GARACTIC CONECTION WEBSITE AMBAYO IPO CHINI YA ROMAN CATHOLIC,sasa huoni kuwa kanisa lina siri nzito juu ya hayo yote...kwanza linacontrol kuvuja kwa taarifa nyeti za mambo ya ulimwengu huu.

Angalia kisa cha GALILEO GALILEI,kufungwa gerezani kwa sababu alianza kutoa siri za LAWS OF NATURE ZINAVOFANYA KAZI under in relation to GRAVITATIONAL EFFECTS kanisa likampiga vita sana,,,

Alianza kuueleza ulimwengu kuwa dunia na sayari zingine zinalizunguka jua lakini kanisa likakataa na kutaka kuwapotosha watu kuwa JUA ndo linazunguka dunia kwa kigezo cha kuchomoza na kuzama....

yani things you see by your naked eyes are not real operating under reality....view things in quantum level utaelewa uhalisia ulivyo,,kanisa lipo radhi lipoteze uhai wa binadamu ili hali siri nzito jinsi ulimwengu ulivyo zilindwe...

UKITAKA KUAMINI KUWA KANISA NDO KILA KITU,angalia kwanini NASA taarifa zao zinatolewa ufafanuzi kupitia GARACTIC CONECTION WEBSITE..???

sitaki kuzungumzia zaidi role of the church kwenye civilization of human entity....ila watu wauumize vichwa kujua how reality operates..
 
sijabase na law of karma,nilikuwa nawajibu watu kwani maswali waliouliza yalikuwa yanajibiwa kupitia kipengere cha law of karma
 
Hayo yote uliyoyasema weather yana ukweli ama laa lakini nachojua behind this world must be a huge secret.
kuna mambo mengi unaweza jifunza kupitia GARACTIC CONECTION WEBSITE,kuna siri nzito juu ya bara za ANTACTICA na kuzama kwa mji mkubwa duniani ulioitwa ATLANTIS ,unambiwa ule mji ulizama wote mpaka leo haijulikani ulipo lakini kuna tetes kuwa bara la ANTACTICA LIMEUFUNIKA ULE MJI kupitia barafu zake...swala la kusema kuwa hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kwenda kule ni uongo mtupu wanasayansi ndo wanafanya mambo yao kule

kuna mengi ukisikia unaweza shika shavu ukajiuliza lengo ni nini hasa kwanini inakuwa siri nzito kuweka wazi ukweli wa mambo hayo,,
 
kanisa kama kanisa ni muongoni mwa secret institute zinazojua ukweli na zinacontrol laws of nature,kanisa katoriki linajua wazi how the laws of nature zinavocontrol human existance but ndo mana linaweza create some minimal laws[sheria za kanisa ] na mwanadamu akazifuata kwani the church has already synchronised with the universal pattern[ universe] ndo mana chochote linachofanya the universe has nothing to punish ....

Maabara kubwa za utafiti nchini uswisi zipo chini ya kanisa,maabara kubwa duniani kama PAUL SCHERRER INSTITUTE ya nchini switzerland ipo chini ya ROMAN CATHOLIC,ndo mana nasema kanisa ndo taasis nzito duniani zilizoficha ukweli how the universe operates.

kituo cha taarifa za anga duniani cha GALACTIC CONNECTION CENTER ambayo inatoa taarifa zote kuhusiana na UFOs ,ALIENS,ASCESSION,CONSPIRACY AND INTERSTELLER TECNOLOGY ,hizi zote zipo chini ya VATCAN INSTITUTE OF SCIENCE pia NASA pamoja na scientific experiments zinatolewa ufafanuzi kwenye GARACTIC CONECTION WEBSITE AMBAYO IPO CHINI YA ROMAN CATHOLIC,sasa huoni kuwa kanisa lina siri nzito juu ya hayo yote...kwanza linacontrol kuvuja kwa taarifa nyeti za mambo ya ulimwengu huu.

Angalia kisa cha GALILEO GALILEI,kufungwa gerezani kwa sababu alianza kutoa siri za LAWS OF NATURE ZINAVOFANYA KAZI under in relation to GRAVITATIONAL EFFECTS kanisa likampiga vita sana,,,

Alianza kuueleza ulimwengu kuwa dunia na sayari zingine zinalizunguka jua lakini kanisa likakataa na kutaka kuwapotosha watu kuwa JUA ndo linazunguka dunia kwa kigezo cha kuchomoza na kuzama....

yani things you see by your naked eyes are not real operating under reality....view things in quantum level utaelewa uhalisia ulivyo,,kanisa lipo radhi lipoteze uhai wa binadamu ili hali siri nzito jinsi ulimwengu ulivyo zilindwe...

UKITAKA KUAMINI KUWA KANISA NDO KILA KITU,angalia kwanini NASA taarifa zao zinatolewa ufafanuzi kupitia GARACTIC CONECTION WEBSITE..???

sitaki kuzungumzia zaidi role of the church kwenye civilization of human entity....ila watu wauumize vichwa kujua how reality operates..
Mkuu! Kama kuna waiter mwambie akupe kilimanjaro za baridi mbili! Ntalipa
 
daah
kuna mambo mengi unaweza jifunza kupitia GARACTIC CONECTION WEBSITE,kuna siri nzito juu ya bara za ANTACTICA na kuzama kwa mji mkubwa duniani ulioitwa ATLANTIS ,unambiwa ule mji ulizama wote mpaka leo haijulikani ulipo lakini kuna tetes kuwa bara la ANTACTICA LIMEUFUNIKA ULE MJI kupitia barafu zake...swala la kusema kuwa hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kwenda kule ni uongo mtupu wanasayansi ndo wanafanya mambo yao kule

kuna mengi ukisikia unaweza shika shavu ukajiuliza lengo ni nini hasa kwanini inakuwa siri nzito kuweka wazi ukweli wa mambo hayo,,
aisee shukrani sana kwa somo makini mkuu.
 
nikipata muda nitakuja kuelezea kwa undani zaidi the role of the church kwenye development of science and technology....ukiambiwa ukweli juu ya dini nahisi utaacha kusali kuanzia leo....
Please unitag, maana toka niingie chuo kikuu mpaka nimeoa, sijawahi fika katika nyumba za ibada kabisa, na sijajua kwanini iko hivo, am just living
Mpaka familia inasema labda mimi ni freemason kwa maana mambo yanaenda safi kabisa.
Kitu huwa nawaambia ni kuwa mimi sina dhambi na hakuna nimemkwaza so sihitaji kwenda kanisani.
 
kanisa linaendesha mambo mengi ya siri kupitia sheria ndogo ndgo ilizoanzisha ili watu waogope kuutafuta ukweli wa mambo...hongera kwa maamuzi yako,,watu walitegemea wew uwe kwenye series ya matatizo mengi kwa sababu husali ,ila imekuwa tofauti kabsaa,,,,everything is self determination.....ukitambuwa kwanin kanisa lipo na misingi yake mikuu ni nini wala hutababaika na imani
 
Greeting's, Comrade.

You remind me someone "Fibonacci". He was a great, a hero & ever lived mathematician.

Per'se, Thank you for great Job. Universal Law's "Mifumo ya kidunia" ndiyo hutuongoza.

Dunia inaongozwa/tawaliwa na watu tusiowaona. I'll be back.

Kumradhi.
 
The law of KARMA wil judge you,the law states that,WHAT YOU CAUSE WILL HAVE AN EFFECT,IF YOU GO AND DO SOMETHING BAD,THE UNIVERSE WILL DO SOMETHING BAD TO YOU,BUT IF YOU DO SOMETHING GOOD ALSO THE UNIVERSE WILL OFFER GOODS TO YOU..malipo ni hapa hapa duniani manake usemi unaelezea how the law of karma is balancing human existance,
Law of Karma inatumika kwenye Dini ya Budha tu, kwa wakristo na waislamu, wayahudi, wazoroaster, wabahai, washintu, warastaffarai etc haina effects!..
KIFUPI SIJAELEWA UNACHOONGELA sijui kama ni sababu sijatulia kufatilia point zako lakini Stop using religious articles to explain unachotaka unanichanganya/unajicontradict mate!.
 
,hata akina Isaac Newton walisoma a part of matrix na kujikuta wanaelewa energy flow flan na nyngine kuwashinda...hawakuelewa system yote but Leonardo Da vinci anazibitisha hilo kuwa chini ya THE PRIORY OF SIN baada ya kupewa asome matrix system ya JESUS GENEOLOGY ndo akaelaborate things under drawings and sio through writtings coz alijua kabsa kuwa dhumuni la kupewa matrix ya JESUS GENEOLOGY ilikuwa aelewe system nzima kwan tayari alikuwa kashaingizwa kwenye system ya secret society members ambayo misingi yake mikubwa ilikuwa ni kuruhusu human civilization kwa minajiri wanaoijua wao
Walipewa na nani hiyo matrix!?.. Una weza nisaidia ulipocopy hizi article!. THE PRIOR OF SIN ni kitu gani?. au unamaanisha THE PRIORY OF SION?.. Kama unamaanisha hicho kikundi nakushauri rudi kajiupdate sababu hakukuwahi kuwa na kikundi hicho!. Unapoongelea DIVINE MATRIX then JESUS GENEOLOGY MATRIX unazidi jichanganya!.
Mkuu unapenda sana conspirancy stories?. Nasikitika kuna watu utawashika kwa ujinga unaotaka wajaza!. Goodluck
 
leo hii the universe has almost 14 billions years since it started to exist but it is expanding daily,what causing daily expansion of the universe is still paradox but unambiwa pia kuwa ndani ya project huzo kuna watu wanawadirect wengine nini cha kufanya while knowing the steps to follow but the rest wanasubiri kuambiwa fanya hivi fanya hivi,sasa huoni kwamba kuna group chache la watu linawaongoza wengine kufanya hayo yote with subjective purpose kabsa..you cant dig a turnel while not knowing what you are after
Umeshaanza uongo wako wa kudanganya hivi unavyohadithiwa CERN MANAGEMENT UNADHANI KAMA UONGOZI WA VYAMA VYA SIASA TZ!?..Hebu nitajie kikundi kinachoongoza CERN!.. Mbona watu mnapenda kulishwa sana matango, kikundi gani kinadictate maamuzi ya Cern?.
Hivi unajua kuna hadi mwanasayansi wa kutoka Tanzania ameshiriki kwenye CERN.
Yani you are soo riffrashh Mkuu!..
 
hatutaweza kuelewana kwa sababu ya uelewa wako ulivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom