Post zako za mwanzoni nilitaka nikuombe uishie hapo hapo ulipofikia kwenye hizo study zako maana ulikua unajiuliza maswali mengi sana hadi mengine yasiyo na ulazima - niliona dalili za kichanganyikiwa zimekufika.simply because the universe if perfect ,it knows how to reshape everything,,but bad or good is mental construct ,,everything you see and perfom are equal in magnitude from point of judgement...the universe responds by listening from your mind interpretation,,
Ukisema kuwa hiki kitendo ni kibaya the universe brings bad outcomes kwa sababu your conciousness is connected to the universal conciousness[universe] so everything you think is connected from the universal mind [universe] so ukidhani kuwa ulichokifanya ni kizuri the universe interpretes the frequencies ulizonazo kwenye mind na kukufanya uendelee kufanya hivo,ndo mana tunasema kila mtu aanishi maisha ambayo kayaandaa mwenyewe,,,
What you think in your mind comes manifested into physical reality...somo la hapa ni deep kidgo...but shortly ni kwamba kinachopima kuwa ulichofanya ni kibaya au kizuri ni hiyo concious recognition inayotumwa kwenye universal fild of awareness kulingana na wew ulivyokichukulia..kama ukiua mtu halafu mind yako ikainterprete kuwa ni kitu cha furaha kabsaa the universe will not punish you simply because umetuma conciousness ambazo hazina negative awareness ila ukiogopa na kujawa na hofu the universe will recognize as the bad things and will respond negative on that,,
Ndo mana nasema results nying za mambo yetu tunaandaaa majibu sis wenyew...mfano mzuri ni hospital kama mgonjwa wako yupo ICU halafu madaktari wanendelea na kazi halafu nyie huku nyuama mkajikusanya mkaanza kulia kila mtu akiamini mgonjwa haponi na kweli mgonjwa haponi kwa sabubu ile anger mliyonayo inasend informations to the universe and the universe interprete and recognize that kuwa it is true hence the universe responds to allow death through nature operation,ndo mana wale wazee wa theatre huwa hawataki kuona ndgu wa mgonjwa yupo maeneo ya theatre..why, that ?
simply because they know the effects of your anger,ila ukiweza kurecognize kuwa you are the part of the universe and the universe recognizes you as the part also utaweza kucontrol any outcome iliyok mbele yake,,ndo mana tunasema jiamini..thats is to define yourself in the field of the universe.
kuna study nying zimefanyika kujuwa how the universe responds towards happiest conciousness and anger conciousness...the happier frequency huwa inaleta good outcomes na anger frequence huwa inaleta negative force of reactions from the universe..
sawa sawaPost zako za mwanzoni nilitaka nikuombe uishie hapo hapo ulipofikia kwenye hizo study zako maana ulikua unajiuliza maswali mengi sana hadi mengine yasiyo na ulazima - niliona dalili za kichanganyikiwa zimekufika.
Ila kwa post hii ya sasa naona umeanza kukaa sawa na nahisi kuna kitabu kimoja kati ya ulivyovisoma nimekisoma pia kwa kuconnect dots japo sijakimaliza.
Nilifika katikati nikaanza kuona mauzauza nikastop kuendelea kukisoma. Hebu ngoja niendelee sasa kuperuzi kuna vitu umevitaja hapo taa ikaniwaka kichwani na hizo kurasa zikanirudia kwy fikra.
Asante kwa kuniboost!!
tatizo unaenda kutafuta ushahidi google huko week nzima ndo unakuja with nothing minded about the system..umekomaa pia na dini ndo mana huwezi elewa chochote,,,,huwa sibishani na watu wa namna hii,,,,go and dig the reality then ndo urudi sio unajichimbia week nzima na bando lako la jero unarudi hapa...very sory on thatUmeshaanza uongo wako wa kudanganya hivi unavyohadithiwa CERN MANAGEMENT UNADHANI KAMA UONGOZI WA VYAMA VYA SIASA TZ!?..Hebu nitajie kikundi kinachoongoza CERN!.. Mbona watu mnapenda kulishwa sana matango, kikundi gani kinadictate maamuzi ya Cern?.
Hivi unajua kuna hadi mwanasayansi wa kutoka Tanzania ameshiriki kwenye CERN.
Yani you are soo riffrashh Mkuu!..
Hahahh.. sawatatizo unaenda kutafuta ushahidi google huko week nzima ndo unakuja with nothing minded about the system..umekomaa pia na dini ndo mana huwezi elewa chochote,,,,huwa sibishani na watu wa namna hii,,,,go and dig the reality then ndo urudi sio unajichimbia week nzima na bando lako la jero unarudi hapa...very sory on that
the're is no need to argue one another on that,the matter is to share every aspect of reality and secrets that are still parodoxy to human concious,,,,,,,Hahahh.. sawa
karibu sana....Nawashukuru sanaa kwa kinipa elimu ambayo sikuwahi kuipata popote kule sio chule sio chuo wala sio kwenye dini nimekuja kuipata hapa Jamiiforums,nawashukuru sanaa kwa elimu mlionipa ndio nimeelewa sasa kwanini mtume Muhammad alisema tutafute elimu mpaka uchina
...iweke tu mkuu,japo kwa ufupiUMENIWAHI MKUU HII MADA NILITAKA NIILETE HAPA...ULICHOKISEMA NI UKWELI KABISA KUNA AKILI MOJA INATU CONTROL WOTE.HII SIRI INAFICHWA NA KANISA...
ROMAN CATHOLIC HII TAASISI IMEFICHA VINGI SANA......
mkuu ilete tu, watu wataongezea mengi hii ndo namna ya kujifunza na kupeana mengi yaliyo nyuma ya pazia..UMENIWAHI MKUU HII MADA NILITAKA NIILETE HAPA...ULICHOKISEMA NI UKWELI KABISA KUNA AKILI MOJA INATU CONTROL WOTE.HII SIRI INAFICHWA NA KANISA...
ROMAN CATHOLIC HII TAASISI IMEFICHA VINGI SANA......
Mmoja wao ni huƴu!! Tafakari..View attachment 828030Kipindi cha nyuma sana!.
Kuna mambo nilipata kuyaona ambayo yalinistaabisha sanaaa!
Baada ya kuyaona wakasema
"Kwa kuwa wewe umeyaona haya ni LAZIMA UFE"
Nikabaki mdomo wazi!. Lakini WAKATI wa majibizano.
Ikatokea Power moja ambayo haielezeki!.
Sijajua waliongea nn coz ya lugha ilikuwa nadhani siyo ya ulimwengu huu!.
Ikabidi niachiwe but kwa MKATABA Na masharti.
Kubwa zaidi mostly ya kumbukumbu zikafutika kichwani hata sijuh ilikuaje.!.
Unaposema kuna Siri katika ulimwengu upo sahihi!.
.KUNA WAHUNI WANATUCHEZEA AKILI WANADAMU!.
Ukweli UTAWEKWA WAZI SIKU 1
sijaelewa hapo mkuuMmoja wao ni huƴu!! Tafakari..View attachment 828030View attachment 828031