Diva the Bawse: Ni kweli kabisa sijui kupika, ila Mahari yangu ya 'Kuolewa' ni Shilingi Bilioni 10

Kashakosa soko sasa anajifanya mahari kubwa kuonesha hakuna wa kumuweza kumbe mabaharia kwa kauli moja wamesema hata mahari ingekua sh 2500 hawaoi mwanamke mama yeye. Akae kwa kutulia anaisikia bilioni kwenye matangazo ya biashara ya CNN anadhani ni kama hela ya kununulia matope yake anayopaka usoni?
 
Nasikia Mbunye yake ni ' Ladhaless ' halafu ' imeshazeeka ' mno kwa mujibu wa Mtu wake Mmoja wa Kijitonyama halafu anapenda sana ' Vumbi Road ' ambapo huyu Jamaa nae ni Dereva Mzuri wa Kupitisha huko Gari lake fupi na Jeusi.

Aiseee ni hatari kama ZEBOSI anatoa kwa Mpalange.
 
Nasikia Mbunye yake ni ' Ladhaless ' halafu ' imeshazeeka ' mno kwa mujibu wa Mtu wake Mmoja wa Kijitonyama halafu anapenda sana ' Vumbi Road ' ambapo huyu Jamaa nae ni Dereva Mzuri wa Kupitisha huko Gari lake fupi na Jeusi.
yaan wee akili zako unazijua mwenyewe tyuuh.
 
Kashakosa soko sasa anajifanya mahari kubwa kuonesha hakuna wa kumuweza kumbe mabaharia kwa kauli moja wamesema hata mahari ingekua sh 2500 hawaoi mwanamke mama yeye. Akae kwa kutulia anaisikia bilioni kwenye matangazo ya biashara ya CNN anadhani ni kama hela ya kununulia matope yake anayopaka usoni?
watu mna maneno lol
 
Kiba ana 32,
Kiba mkongwe ndugu yangu.
Naijua hio familia toka mtaani muheza kariakoo,
Huo umri labda abdul mdogo ake..
Zabibu mdogo ake wa nne kamaliza form four 2009 mnazi mmoja..
Calculate
Ukiniambia Ali Kiba anaitafuta 45 au 47 sasa nitakubali, ila hiyo sijui 32 nakataa kabisa.
 
Mwaka jana alitangaza anahitaji mahari ya milioni hamsini sasa bei imepanda sijuianazidi kuwa kijana zaidi
Hii mahari inabidi hata thamani ya kiwanda cha kusafisha dhahabu kilicho zinduliwa juzi tu na Mh Rais pale Mwanza.
 
Ukiniambia Ali Kiba anaitafuta 45 au 47 sasa nitakubali ila hiyo sijui 32 nakataa kabisa.
Kweli kabisa mkuu kiba mkongwe mnoo.
Vijana wa sasaivi vile anavyoshindanishwa na bwana diamond wanadhani ata umri wanalingana.
Diamond anafaham hilo ndo maana mara nyingi ana mua dress kama kaka angu ali..
 
Kama Ali Kiba akiwa na 32 hiyo basi Mimi GENTAMYCINE nitakuwa na 23 wakati Kiuhalisia sasa naitafuta 20 X 4 - 60 / 5 + 38.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom