Diva the Bawse: Ni kweli kabisa sijui kupika, ila Mahari yangu ya 'Kuolewa' ni Shilingi Bilioni 10

Ajabu ni kwamba mwanaume anayetakiwa kutoa hiyo 10b analipia kiuno kinacholiwa na alikiba kwa kuimba jukwaani
 
Samahani mkuu hebu twende taratibu... ni bilioni kumi au milioni kumi maana nimenawa uso mara tatu kuona kama nakosea kusoma au laa!

Tena, afadhali wewe umewaza k ya dhahabu mimi nahisi (huyo ni kiumbe mbali na mwanadamu) ukimuoa huyo labda utakuwa umejinyakulia tuzo ya kuishi milele bila kufa
 
Huyu ata bure sichkui mkuu.
Bibi mlezi wa wana uyo,
watt wadogo kibao washaluka nae sana.
Alaf alivyo nanuksi sasa wenzie wakilea vitoto vinawaganda ila ye always wanamkimbia.

Diva hana ubibi kizee ,ni rika la kina Mr Blue sema ndio hivyo amejiachia sana na kufutuka.
 
Diva hana ubibi kizee ,ni rika la kina Mr Blue sema ndio hivyo amejiachia sana na kufutuka.
Diva hana umri wa mr blue mkuu,,
Mr blue mtoto mdogo sana kwa diva yule bibi kizee kweli kweli mkuu,
Blue kaanza mziki mdogo t sana ana miaka 30 sasa nafkiri not beyond that.
Diva video vixen wa miaka ya giza ukoo.
 
Diva hana umri wa mr blue mkuu,,
Mr blue mtoto mdogo sana kwa diva yule bibi kizee kweli kweli mkuu,
Blue kaanza mziki mdogo t sana ana miaka 30 sasa nafkiri not beyond that.
Diva video vixen wa miaka ya giza ukoo.

DIva age ya kina Blue sema kajiachia tu video vixen ni vibinti vya 18-22.
 
Diva age ya kina kiba uyo..
Blue kaanza imba ana miaka 16,
Hiko kibibi kilikua kishamaliza form six miaka hiyo.
Demu wamasela wa tiptop enz izo..

Diva basi atakuwa anarange kati ya 35 mpaka 36 kama alivyomaliza six ndio akaanza kudate na kina pingu wa TipTop Connection! Kibongo bongo form six wanamaliza na miaka 20 hadi 21 na video yake ya Jonita imetoka 15 yrs ago.

DIVAPINGU0.jpg


DIVAPINGU.jpg


DIVAPINGU1.jpg


DIVAPINGU2.jpg
 
Mtangazaji maarufu kabisa wa Vipindi vya Mapenzi Diva The Bawse amekiri kuwa kupika hajui ila haolewi bila Mahari ya Bilioni Kumi.

Chanzo: globalpublishers

Binafsi kama GENTAMYCINE nimejiuliza Maswali mengi mno tu na kuanza kuhisi kuwa huenda huyu Mbunye yake ni ya Dhahabu tupu
Utakutana na mindu.
 
Diva hana ubibi kizee ,ni rika la kina Mr Blue sema ndio hivyo amejiachia sana na kufutuka.
Nasikia Mbunye yake ni ' Ladhaless ' halafu ' imeshazeeka ' mno kwa mujibu wa Mtu wake Mmoja wa Kijitonyama halafu anapenda sana ' Vumbi Road ' ambapo huyu Jamaa nae ni Dereva Mzuri wa Kupitisha huko Gari lake fupi na Jeusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom