Dini zinavyoharibu watu akili

Siitaji pesa Yako maana wengi waislamu wananitafuta kunitoa uhai
Koran inasema harut na marut walikuja kulieta uchachawi unabii Sha maneno ya Allah?
 
Ni aibu sana mkuu
 
UKIJUA KWAMBA DINI YA KISLAMU IMEZALIWA NA KANISA LA ROMA HUWEZI KUHANGAIKA NA UISLAMU.
 
Duh...hadithi hizi na uongo wake,ukimsoma mtume wa ndani ya Quran na mtume wa Hadithi ni Wana tofauti kubwa Sana

huyu Muhammad uliyemuandika hapa siye ninayemjua Mimi..kingine huyu alikuwa mtume Kama mitume mingine ,alikuwa binaadamu Kama Mimi na wewe hivyo alikuwa na mapungufu yake Kama binaadamu ila sio kwa hayo ambayo umeorodhesha

Mimi sio muumini wa Hadithi(masimulizi nje ya Quran)
 
-Kuna visa hapo vipo kwenye Koran
Kuoa mke wa mtoto wake kipo kwenye Koran , na alivyofanya hivyo akapiga marufuku ku adopt watoto ndani ya Koran
  • kumbaka house girl Maria the copt kisa kipo mpaka Allah akashusha Aya akasema kama Aisha na hafs wataendelea kumkataza atasaidiana na Malika kupambana nao
  • Kuna aya pia inaruhusu wanawake waumini wakajitoe kwa Muhammad Bure apige machine
  • Kuna Aya mnaruhusiwa kutembea na watumishi wa kike walioko ndani ya nyumba Yako bila ndoa
 
Eti Israel taifa teule wakati hao wateule kila siku wanaua wenzao
 
Kutumia maneno ya lugha Fulani sio sawa na kuongea hiyo lugha.
Lugha sio misamiati TU, Kuna mambo ya sarufi pia yanahusika.
 
Lugha zote zimeanza kutoka mashariki ya kati,kiarabu,kiebrania,Kiaramu,kiamhari,kiashuri,kifinisia,kibabili zote ni Kisemiti.
Kumbe na kichina kimeanzia mashariki ya kati? Sikujua hili
Vipi kuhusu kigogo, na chenyewe kilianzia huko?
 
Siitaji pesa Yako maana wengi waislamu wananitafuta kunitoa uhai
Koran inasema harut na marut walikuja kulieta uchachawi unabii Sha maneno ya Allah?
Wanataka kukuua?? Kwanini??
Mimi siamini dini ya amani inaweza kutishia usalama wa maisha yako.
 
Huu ni moja ya mifano jinsi hii dini ina haribu akili za watu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sema una Dini yako umeamua kuifuata,ila umeachana na hizi Abrahamic religious beliefs, umerudi kwenye African religious beliefs [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kila watu Wana Imani zao kutegemeana na tamaduni zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…