Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

Najua unatamani Sana nikujibu kitu,,,,Ila nilishatoa msimamo wangu juu yako kuwa sitajadiliana na wewe,labda ukiacha upuuzi wako.
.... " But after a few days Waraqa died and the Divine Inspiration was also paused for a while and the Prophet (ﷺ) became so sad as we have heard that he intended several times to throw himself from the tops of high mountains... Sahih al-Bukhari 6982
nakupa maswali fikirishi wewe
1. kwa nini waraq alipokufa koran ikasiamama hapo hapo kuandikwa?
2. kwa nini muhammad alivyoona koran haiandikwi akataka kujitoa uhai?
 
Unaambiwa kitabu kimoja Cha dini ya kikristo kilichoandikwa na Mtume Paulo kinasema kwamba wanawake kamwe hawastahili kuongea chochote pindi wawapo kwenye nyumba za ibada,na wakitaka kuuliza swali wakawaulize waume zao manyumbani.Tena hawafai kushikilia nyadhifa za uongozi kanisani.

I stand to be corrected if I seems to have gone astray.
 
Wapuuzi hawataisha

Wapuuzi hawataisha duniani,,,wakati mwingine ni Bora ukae kimya usijulikane upuuzi wako,,,,Qur'an iliandikwa na khalipha WA tatu katika Uislamu anitwa Uthman bin Affan.

Na iliamuliwa kuandikwa baada ya kuona waislamu wanauwawa Sana katika Vita na hivyo kuamua iweze kuhifadhiwa,,,,Na wakati WA kuandika waliitwa Waislamu mbali mbali walio ihifadhi Qur'an na kuisoma na kuhakiki original yake ndio ikaandikwa,na kama haitoshi walihakikisha inaandikwa katika lafudhi moja ili pasitokee nafasi yoyote ya kuichafua Qur'an.

Hiki ni Kitabu pekee ambacho kipo original kama kilivyoletwa na Allah na ameahidi kulinda dhidi ya uchafuzi wowote ule,,,na ndio maana mpaka Leo hata uitafsir ktk lugha yoyote Ile lazima original yake iwe pembeni kuhakikisha hakuna upotoshaji wowote ule.

Endeleeni kulishwa matango poli na hao wanao wapotosha,ukweli utabakia kuwa ukweli Tu.

Shukrani
Shida kubwa mna maandiko yenu na hamyasomi , nenda kasome hii
There was a Christian who embraced Islam and read Surat-al-Baqara and Al-`Imran, and he used to write (the revelations) for the Prophet. Later on he returned to Christianity again and he used to say: "Muhammad knows nothing but what I have written for him.".............Sahih al-Bukhari 3617
 
Weee unaejiita ETUGRUL BEY makasiliko ya Nini utafikiri hiyo dini wewe ndio uliizaa . Dini ya wathungu hiyo
 
Ukiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini.

Leo nataka tutazame dini maarufu hizi mbili, Uislamu na ukristo zinazungumza nini kuhusu wanawake na mchango wao katika malezi na mtazamo wa waumini wao kwa wanawake.

Tuanze na uislamu.
1. Usilamu unasema wanawake ni viumbe ambao wako tayari kule mbinguni wakiwasubiri watu watakaoingia mbinguni. Soma Quran 2:25 na 4:57. Inasema kila atakaeingia mbinguni atapewa wanawake waliotakaswa vyema. Kwa maana kwamba wanawake hawana chao mbinguni, wao ni kutumika tu mwanzo mwisho.

2. Mwanamke ni nusu ya thamani ya mwanaume, kwa maana kwamba wanawake wawili ndio wenye thamani sawa na mwanaume mmoja. Soma sura 2:282, 14:176 na kadhalika. Hii inatoa picha kwamba wanawake wana thamani ndogo ama wao ni viumbe wa thamani ndogo mbee ya Allah.

3. Mwanamke akikataa kutoa penzi, unaruhusiwa kumpiga ama kumtandika hadi akubali. Mwanamke haruhusiwi kumkatalia mume wake anapohitaji penzi. Soma Quran 4:34.

5. Usijaribu kutaka kumtendea wema mwanamke, ni jambo gumu na lisilowezekana. Quran 4:129, Quran 23:6 inasema kua na huruma ama kua mwema kwa mke wako.

6. Mwanao wa kiume akiachana na mke wake unaruhusiwa kumuoa mtalaka wa mtoto wako. Kwa maana kwamba baba na mtoto mnaruhusiwa kucheza uwanja mmoja. Quran 33:37.

7. Allah alimpa Mtume Mohamed ruhusa ya kuoa wanawake wengi atakavyo. Quran 53: 50-51.

8. Mbinguni kuna mabikra wa kutosha wakiwasubiri watakaoingia mbinguni. Quran 38:52.

9. Unaweza kumpa mkeo talaka hata kama hajabalehe. Quran 65:4.
Tuishie hapo kwa uchache

B. Twende kwenye ukristo.

kama hujui Quraan nenda kajifunze usilete aya juujuu Quraan mkristo hawezi kuijua mpaka akae asomeshwe ndio atailewa ina mafumbo mengi ikiwa waislamu bado kila siku wanaisoma quraan nakuelewa wewe mwenye govi utaijuaje?
 
IMG_0364.jpg
 
Wapuuzi hawataisha

Wapuuzi hawataisha duniani,,,wakati mwingine ni Bora ukae kimya usijulikane upuuzi wako,,,,Qur'an iliandikwa na khalipha WA tatu katika Uislamu anitwa Uthman bin Affan.

Na iliamuliwa kuandikwa baada ya kuona waislamu wanauwawa Sana katika Vita na hivyo kuamua iweze kuhifadhiwa,,,,Na wakati WA kuandika waliitwa Waislamu mbali mbali walio ihifadhi Qur'an na kuisoma na kuhakiki original yake ndio ikaandikwa,na kama haitoshi walihakikisha inaandikwa katika lafudhi moja ili pasitokee nafasi yoyote ya kuichafua Qur'an.

Hiki ni Kitabu pekee ambacho kipo original kama kilivyoletwa na Allah na ameahidi kulinda dhidi ya uchafuzi wowote ule,,,na ndio maana mpaka Leo hata uitafsir ktk lugha yoyote Ile lazima original yake iwe pembeni kuhakikisha hakuna upotoshaji wowote ule.

Endeleeni kulishwa matango poli na hao wanao wapotosha,ukweli utabakia kuwa ukweli Tu.

Shukrani
Haya maelezo umepewa tangu madrasa hivyo baki namna hiyo.
 
Tunaomba maelezo kuhusu Nikah Muttah quran inasemaje?
 
Naam mkuu....

Je Nikah Muttah ni nini?

Hii ni ndoa ya mkataba wa Muda maalum,ambapo mwanaume na mwanamke wanakubaliana kuwa katika ndoa Kwa kipindi Fulani,mfano labda miezi sita (6) hlf ikitimia na ndoa inakuwa imekwisha na hakuna talaka,na muoaji anatoa mahari kama kawaida.

Baada ya muda wa mkataba kuisha basi mwanamke ataangalia kipindi kimoja cha mzunguko wa hedhi kama ana mimba au laa!

Kama ulivyotaka kujua je Qur'an inasemaje kuhusu Muttah, Aya ifuatayo 4:24 Kwa mujibu wa wanazuoni wengi wanasema inazungumzia Muttah:

"NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima."

Katika Aya hii mistari mitatu ya mwanzo ni muendelezo wa Aya ya 23 ambayo inazungumzia wanawake ambao ni haramu kuwaoa na ikamalizia hapo na wanawake wenye waume zao tayar,nimeamua kulisema hili ili msomaji asipate taabu kuelewa.

Aina ya ndoa hii inasemwa ilitumika mwanzo kabisa kipindi kile Uislamu unaenezwa,lakini baadae ndoa hii ilikuja kuharamishwa na Sheria au ilikuja kufutwa kabisa,,,,lakini kuna mijadala mbali mbali ya wanazuoni juu ya uhalali WA kuwepo Kwa ndoa au laa! Wengine wanasema ndoa hii hazikuwepo kabisa na wengine wanasema ndoa ilikuwepo awali na ikaja kufutwa na Sheria,kwahiyo kuna malumbano ya namna hiyo,,,na wengine wanasema Aya hiyo hapo juu haikuzungumzia kuhusiana na Nikah Al Muttah.

Lakini Kwa vyovyote itakavyokuwa lengo kubwa lilikuwa ni kuzuia Zinaa,kama unavyojua Mwenyezi Mungu hapendi kabisa zinaa,kwahiyo inasemwa ndio maana ndoa hizo zilikuwepo kipindi ambapo waislamu walienda hapa na Kule katika Vita na kutangaza Dini,kwahiyo walioa Kwa Mda Fulani ili kuepuka kufanya zinaa.

Nadhani maelezo hayo Kwa uchache yanatosha kuhusiana na Nikah Al Muttah

Shukrani.
 
Umeongelea miezi 6. Mimi swali langu nikah mutah inawezwa fungwa kwa siku 1 tu masaa machache? Mfano ndoa ikafungwa saa 8 na kuachana saa 10

Je quran inaruhusu ama hairuhusu?
 
Mkuu,,,kusema miezi sita ni mfano Tu,,,,,jibu langu Nikah Al Muttah ilikuwepo huko zamani na baadae ilikuja kufutwa,,,,kuhusu sijui masaa, sina elimu nalo hilo.

Aya gani katika quran imefuta hiyo ndoa?

Quran si imeshushwa na mwenyezi Mungu ama kuna baadhi ya mambo katika quran yanaruhusiwa kufutwa?
 
Back
Top Bottom