Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

Dini zinasema nini kuhusu wanawake?

Legasi za bega moja kuninama dah...
Iko hivi mkuu,,,,Mwenyezi Mungu ameruhusu kuoa kuanzia wake wawili,watatu mpaka WA nne lakini akasema ikiwa mnaona hamuwezi kufanya uadilifu basi oeni mke mmoja Tu!

Sasa kama wewe pamoja na kupewa tahadhari ukaona kuwa wake wengi unawamudu basi inamaana huna budi kufanya uadilifu nje ya hapo utawajibika Kwa vitendo vyako!
 
Umeongea uongo Sana tena Sana,,,,halafu umejifanya unazungumzia Dini mbili lkn target yko ni kukebehi Uislamu Tu!

Tutakuja kupangua hoja moja baada ya nyingine.....

Sasa unasema kaongea uongo huna fact za kumbishia mtu alie toa had mifano??
 
2.25
Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani yapitayo mito kati yake; kila watapo pewa matunda humo, watasema: Haya ndiyo kama tuliyo pewa mbele. Na wataletewa matunda yaliyo fanana; na humo watakuwa na wake walio takasika; na wao humo watadumu.

4.57
. Na wale walio amini na wakatenda mema tutawaingiza katika Pepo zipitazo mito kati yake kwa kudumu humo milele. Huko watakuwa na wake walio takasika, na tutawaingiza katika vivuli vizuri kweli.
 
2.282
.Enyi mlio amini! Mnapo kopeshana deni kwa muda ulio wekwa, basi andikeni. Na mwandishi aandike baina yenu kwa uadilifu, wala mwandishi asikatae kuandika. Aandike kama alivyo mfunza Mwenyezi Mungu. Na mwenye deni juu yake aandikishe; naye amche Mwenyezi Mungu, Mola wake Mlezi. Wala asipunguze chochote ndani yake. Na akiwa mwenye kudaiwa ni mtu aliye pumbaa au mnyonge au hawezi kuandikisha mwenyewe, basi aandikishe mlinzi wake kwa uadilifu. Na mshuhudishe mashahidi wawili katika wanaume wenu. Ikiwa hapana wanaume wawili, basi mwanamume mmoja na wanawake wawili katika mnao waridhia kuwa mashahidi. Ili ikiwa mmoja wao akipotea, mmoja wao amkumbushe mwengine. Na mashahidi wasikatae waitwapo. Wala msipuuze kuliandika deni likiwa dogo au kubwa mpaka muda wake. Hayo ndiyo haki zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu, na ndiyo sawa zaidi kwa ushahidi, na vyema zaidi ili msiwe na shaka. Ila ikiwa ni biashara ya mkono-kwa-mkono baina yenu, basi hapo si vibaya kwenu msipo iandika. Lakini mnapo uziana wekeni mashahidi. Wala asitiwe matatani mwandishi wala shahidi. Na mkifanya hivyo basi hakika hilo ni kosa kwenu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
 
3. Mwanamke akikataa kutoa penzi, unaruhusiwa kumpiga ama kumtandika hadi akubali. Mwanamke haruhusiwi kumkatalia mume wake anapohitaji penzi. Soma Quran 4:34.


4.34
Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu.
 
5. Usijaribu kutaka kumtendea wema mwanamke, ni jambo gumu na lisilowezekana. Quran 4:129, Quran 23:6 inasema kua na huruma ama kua mwema kwa mke wako.

4.129
Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa. Na mkisikizana na mkamchamngu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu.

23.6
Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa.
 
"Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Mwenyezi Mungu ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni. Wakikut'iini msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye juu na Mkuu."

4:34


Nimetanguliza hiyo Aya hapo juu,,,,mtoa mada amesema kuwa wanawake wakikataa kutoa penzi basi wapigeni,,,,upuuzi mkubwa alionyesha mtoa mada,,,,,Aya inazungumza Kuwa wanaume ni wasimamizi wa wanawake ndio kichwa cha familia,hivyo wanawake wasipo tii basi Kwanza waonywe,pili wahamwe katika malazi...ina maana katika Uislamu kama njia ya kumwadhibu mwanamke unaweza kumhama chumba usilale au usisex nae Kwa Mda usio zidi miezi minne,hiyo sehemu ya adhabu au ya tatu basi ni kuwapiga ili wakae katika mstari.

Naomba usiku huu niishie hapa.....mnaweza kuchangia mpaka hapa nilipo ishia,,,,panapo majaliwa insha'Allah nitaendelea kesho
Na mwanaume akimkosea mwanamke Qur'an inasemaje?
 
Ukiangalia mtazamo wa watu kwenye vitu vingi umechangiwa na vitu vikubwa viwili, tamaduni na dini.

Leo nataka tutazame dini maarufu hizi mbili, Uislamu na ukristo zinazungumza nini kuhusu wanawake na mchango wao katika malezi na mtazamo wa waumini wao kwa wanawake.

Tuanze na uislamu.
1. Usilamu unasema wanawake ni viumbe ambao wako tayari kule mbinguni wakiwasubiri watu watakaoingia mbinguni. Soma Quran 2:25 na 4:57. Inasema kila atakaeingia mbinguni atapewa wanawake waliotakaswa vyema. Kwa maana kwamba wanawake hawana chao mbinguni, wao ni kutumika tu mwanzo mwisho.

2. Mwanamke ni nusu ya thamani ya mwanaume, kwa maana kwamba wanawake wawili ndio wenye thamani sawa na mwanaume mmoja. Soma sura 2:282, 14:176 na kadhalika. Hii inatoa picha kwamba wanawake wana thamani ndogo ama wao ni viumbe wa thamani ndogo mbee ya Allah.

3. Mwanamke akikataa kutoa penzi, unaruhusiwa kumpiga ama kumtandika hadi akubali. Mwanamke haruhusiwi kumkatalia mume wake anapohitaji penzi. Soma Quran 4:34.

5. Usijaribu kutaka kumtendea wema mwanamke, ni jambo gumu na lisilowezekana. Quran 4:129, Quran 23:6 inasema kua na huruma ama kua mwema kwa mke wako.

6. Mwanao wa kiume akiachana na mke wake unaruhusiwa kumuoa mtalaka wa mtoto wako. Kwa maana kwamba baba na mtoto mnaruhusiwa kucheza uwanja mmoja. Quran 33:37.

7. Allah alimpa Mtume Mohamed ruhusa ya kuoa wanawake wengi atakavyo. Quran 53: 50-51.

8. Mbinguni kuna mabikra wa kutosha wakiwasubiri watakaoingia mbinguni. Quran 38:52.

9. Unaweza kumpa mkeo talaka hata kama hajabalehe. Quran 65:4.
Tuishie hapo kwa uchache

B. Twende kwenye ukristo.
anaekugonga hakupatii vizuri haswaa
 
Katika Hadith sahih Muhammad anasema
Wanawake asilimia kubwa wataingia motoni , sababu anasema hawatii waume zao, wanaupungufu wa akili mpaka akasema ushahidi wa wanawake wawili ndio wa mwanaume mmoja, na pia kwa sababu wana blidi kila mwezi


Narrated Abu Sa`id Al-Khudri:
Once Muhammad (ﷺ) went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Messenger (ﷺ) ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Messenger (ﷺ)! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."Sahih al-Bukhari 304
 
Huyu mwanaume akisahau basi kumbuka kuna wanawake ambao watamkumbusha pia
  • Muhammad anasema wanawake wanaupungufu wa akili (intelligence) ndio maana ushahidi wa wanawake wawili ndio sawa na mwanaume mmoja yani muhammad anatuambia wanawake ni half brain
    • Muhammad said .....What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Sahih al-Bukhari 304
 
Back
Top Bottom