Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

Hivyo hata Catholic wanafanya, na wakatoliki wameenda mbali zaidi wanafanya hadi uwekezaji Tanzania
Sijui kwa nini unapondea Catholic wakati kwenye maendeleo ya Tanzania wana mchango mkubwa kuliko dini nyingine zote combined
Hawana mchango wowote kwenye maendeleo zaidi ya kunyonya hazina na kufanya biashara
 
🙌
 

Attachments

  • Screenshot_20251231_184436_Facebook.jpg
    Screenshot_20251231_184436_Facebook.jpg
    119.6 KB · Views: 9
Back
Top Bottom