Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

Dini zina mchango gani hapa Tanzania mpaka sasa ?

Huoni huu utulivu wa amani? Kama si dini wale shetani walioenda ubalozi wa vatikani wangeteketezwa wote kabla ya kukaribishwa kula yule mnyama mtamu
 
Maswali ya kidato Cha pili, Yani haujui mchango wa dini

Shule

Hospital

Na huduma nyingine za kijamii dini imetoa mchango mkubwa sana

Kweli wewe ni dr mapaka kabisa
Shule na hospital siyo suala la kidini,hizo ni biashara kama biashara zingine
 
je hizo sadaka mabilioni huwa unafatilia zinatumikaje ?
Yale Makanisa yetu makubwa na ya kisasa yaliyotapakaa maeneo yote nchini yamejengwa kwa kutumia fedha zipi?

Wale watawa, Mapadre na Maaskofu wetu wanaishi na kutoa huduma za kitume kwa kutegemea fedha zenu za ccm?
 
Hili ndo jibu sahihi kabisa

Lakin huyo min -me anasema sjui shule au hospital hizo sio faida za dini,hivyo ni vitu vipo nje ya dini,kuna watu walijipenyeza kwenye dini wapige hela
hajui tu , uwezo wa kuchanganua mambo umefika mwisho .

hajui hizo ni project za kupiga hela and nothing else.
 
Hili ndo jibu sahihi kabisa

Lakin huyo min -me anasema sjui shule au hospital hizo sio faida za dini,hivyo ni vitu vipo nje ya dini,kuna watu walijipenyeza kwenye dini wapige hela
Ni watu Gani walijipenyeza pale kcmc wakafungua Ile taasisi ili wapige hela?
 
Yale Makanisa yetu makubwa na ya kisasa yaliyotapakaa maeneo yote nchini yamejengwa kwa kutumia fedha zipi?

Wale watawa, Mapadre na Maaskofu wetu wanaishi na kutoa huduma za kitume kwa kutegemea fedha zenu za ccm?
Issue ya Escrow scandal mlipokea kias gani ?
 
Shule na hospital siyo suala la kidini,hizo ni biashara kama biashara zingine
Kwa pale kijijini kwenu mlipo kuwa mnateseka kwenda Kijiji Fulani kwa mahitaji ya dukani , akitokea mangi akafungua duka mkapata Huduma kwa ukaribu, huo si mchango?
 
je hizo sadaka mabilioni huwa unafatilia zinatumikaje ?
Pesa za umma wa walipa kodi huko HAZINA zinapigwa na kuporwa bila huruma kama vile hazina mwenyewe, halafu wewe unaulizia sadaka za waumini wa dini wanaotoa kwa hiari yao?
 
Issue ya Escrow scandal mlipokea kias gani ?
Ona swali lingine la kijinga. Maaskofu wawili walipewa milioni 40 kila mmoja! Ila Rais wako mstaafu JK kipindi kile alijitokeza hadharani na kusema malipo ya Escrow yalikuwa ni halali! Labda kama ulikuwa bado hujazaliwa.

Sasa imekuwaje leo mnaita scandal? Na je, unaweza ukanitajia kiasi kamili kilichobebwa kwenye mifuko ya sandarusi kupelekwa ikulu?
 
Yale Makanisa yetu makubwa na ya kisasa yaliyotapakaa maeneo yote nchini yamejengwa kwa kutumia fedha zipi?

Wale watawa, Mapadre na Maaskofu wetu wanaishi na kutoa huduma za kitume kwa kutegemea fedha zenu za ccm?
Misaada ya zamani ya wazungu,siku hizi hawaamini ukristo misaada imekoma, ndiyo mnakamuliwa kweli kweli kupitia sadaka zilizopewa majina tofauti
Hata hivyo zinaonekana hazitoshi kugharamia tabia za ulevi na starehe
Sasa dizaini mpemba kabana sehemu basi makelele miksa maandamano
 
Kwa pale kijijini kwenu mlipo kuwa mnateseka kwenda Kijiji Fulani kwa mahitaji ya dukani , akitokea mangi akafungua duka mkapata Huduma kwa ukaribu, huo si mchango?
Bahati mbaya sitokei kijijini,lakini hata hivyo hapo mangi anakua kapiga hela
 
Back
Top Bottom