Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Mathayo 15:24..
Kumbe ndio unastick kwenye mstari mmoja? Hahaha, Biblia haisomwi hivyo

Mkuu, Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya ulimwengu wote na kwaajili ya binadamu wote wenye mwili.

Nikiamua kukupa maandiko katika Biblia takatifu yapo mengi mno

Ila soma tu kwanza mstari common kuliko yote katika Biblia Yoh 3 :16, Pia soma

I Yohana 2:2

Waebrania 2:9

Hiyo tu kwanza inajibu swali lako kwa 100%
 
Ndio, Yesu alikufa kwa malengo makubwa, kwa Ukombozi wetu sisi sio kwa kuwalazimisha watu wabatizwe kuwa wakristo
Ndio nasema , Mohamad alikufa kibogoyo, ila Yesu aliechomwa mikuki , kupigwa makofi na kutemewa mate, alikufa soft kama mtoto mchanga , haya ni maajabu ya dunia
 
Kumbe ndio unastick kwenye mstari mmoja? Hahaha, Biblia haisomwi hivyo

Mkuu, Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya ulimwengu wote na kwaajili ya binadamu wote wenye mwili.

Nikiamua kukupa maandiko katika Biblia takatifu yapo mengi mno

Ila soma tu kwanza mstari common kuliko yote katika Biblia Yoh 3 :16, Pia soma

I Yohana 2:2

Waebrania 2:9

Hiyo tu kwanza inajibu swali lako kwa 100%
Kinyume na waisrael nyie wengine mliitwa MBWA wala makombo na Yesu mwenyewe
 
Hahaha, wewe nenda kaoge janaba, kumbe hata huna uelewa kwa kile unachokisikia

Wewe ni sawa na Muddy (The only Illiterate prophet) aliyekiri kutojua kusoma wala kuandika
 
Ndio nasema , Mohamad alikufa kibogoyo, ila Yesu aliechomwa mikuki , kupigwa makofi na kutemewa mate, alikufa soft kama mtoto mchanga , haya ni maajabu ya dunia
Alikufa soft ndiyo nini, sema alikufa softly...kuchat na watu wasiojua kusoma wala kuandika ni ukichaa
 
Mtume asiye na akili aliyewaahidi haya ndio mnamwamini enyi waumin
images%20(10).jpg
 
Alikufa soft ndiyo nini, sema alikufa softly...kuchat na watu wasiojua kusoma wala kuandika ni ukichaa
Umetoka kwenye hoja umeanza kujadili maneno, huku ni kushindwa , unataka tuandike kama tunajibu mtihani huu ni ujinga , hoja ya msingi Yesu kafa bila jeraha ? maana unashangaa mtume kufa kibogoyo Kwa kipigo kile kadanganye watu kanisani kwako kuwa Yesu hakupata jeraha
 
Ajabu hiko wapi bwana mdogo , ata Adam aliumbwa kwanza , Mungu akaona amekuwa MPWEKE akamletea mwanamke, kuna ubaya gani sisi kuletewa wanawake peponi ambapo tutaishi milele?acha wivu , wewe jiandae ukaimbe imbe huko mbinguni
Unajua mnashindwa kupima hoja na ahadi za Mwamedi...!

Yaani huku mkatazwe kuzini, muambiwe oeni wanawake mwisho wanne ila eti ukifika peponi zawadi ni Ngono kwa wanawake 72....LAANATULAH HII

Mkatazwe kunywa vilevi hapa duniani ila eti kule Peponi ndiko mtakapokuta Mifereji itiririshayo Mvinyo.....ni akili ya muddy hii?

Quran na Hadith zote zina story za kustaajabisha sana

TAKIBIIIR... !
 
Umetoka kwenye hoja umeanza kujadili maneno, huku ni kushindwa , unataka tuandike kama tunajibu mtihani huu ni ujinga , hoja ya msingi Yesu kafa bila jeraha ? maana unashangaa mtume kufa kibogoyo Kwa kipigo kile kadanganye watu kanisani kwako kuwa Yesu hakupata jeraha
Sitaki uandike kama unajibu mtihani, andika kwa usahihi maneno yasomeke, hii sio tarawee
 
Alikufa soft ndiyo nini, sema alikufa softly...kuchat na watu wasiojua kusoma wala kuandika ni ukichaa
Umetoka kwenye hoja umeanza kujadili maneno, huku ni kushindwa , unataka tuandike kama tunajibu mtihani huu ni ujinga , hoja ya msingi Yesu kafa bila jeraha ? Kwa kipigo kile kadanganye watu kanisani kwako kuwa Yesu hakupata jeraha
Hahaha, wewe nenda kaoge janaba, kumbe hata huna uelewa kwa kile unachokisikia

Wewe ni sawa na Muddy (The only Illiterate prophet) aliyekiri kutojua kusoma wala kuandika
Wewe ni Mbwa kwa mujibu wa Yesu, tena sio MBWA wakaida ila mla makombo
 
Umetoka kwenye hoja umeanza kujadili maneno, huku ni kushindwa , unataka tuandike kama tunajibu mtihani huu ni ujinga , hoja ya msingi Yesu kafa bila jeraha ? Kwa kipigo kile kadanganye watu kanisani kwako kuwa Yesu hakupata jeraha

Wewe ni Mbwa kwa mujibu wa Yesu, tena sio MBWA wakaida ila mla makombe
Makombe ndio nini?

Kwanza unajiquote mwenyewe, Nenda katawadhe kisha ujibishane na wa msikitini wenzio wasijua kuandika kama wewe
 
Rejea tena 288, ukaone kilichokusudiwa haraka ya nini, rudi juu , hapa mipasho sio mahali pake, ni hoja kwa hoja
 
Kuna neno alisomeki ? kama alisomeki ulifikaje ukalikosoa kwa neno mbadala? au hujui unachoandika hapa !!
Muhammad was Unlettered and Illiterate just like you

Go n bring your fellow educated Muslim to discuss the topic,

I can't discuss with an ignorant person as you
 
Unajua mnashindwa kupima hoja na ahadi za Mwamedi...!

Yaani huku mkatazwe kuzini, muambiwe oeni wanawake mwisho wanne ila eti ukifika peponi zawadi ni Ngono kwa wanawake 72....LAANATULAH HII

Mkatazwe kunywa vilevi hapa duniani ila eti kule Peponi ndiko mtakapokuta Mifereji itiririshayo Mvinyo.....ni akili ya muddy hii?

Quran na Hadith zote zina story za kustaajabisha sana

TAKIBIIIR... !
Peponi ni ahadi tu za Allah, Allah akisha ruhusu nani atapinga? unataka Allah akufungishe ndoa !! Ruksa ya Allah maana yake jambo lile ni halali
 
Muhammad was Unlettered and Illiterate just like you

Go n bring your fellow educated Muslim to discuss the topic,

I can't discuss with an ignorant person as you
Hapa hakuna hoja ulichobaki ni kubweka kama mbwa, hivi ndivyo tunamaliza hoja nyepesi kama zako
 
Kumbe ndio unastick kwenye mstari mmoja? Hahaha, Biblia haisomwi hivyo

Mkuu, Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya ulimwengu wote na kwaajili ya binadamu wote wenye mwili.

Nikiamua kukupa maandiko katika Biblia takatifu yapo mengi mno

Ila soma tu kwanza mstari common kuliko yote katika Biblia Yoh 3 :16, Pia soma

I Yohana 2:2

Waebrania 2:9

Hiyo tu kwanza inajibu swali lako kwa 100%
Huukibali huo mstari?,uliuliza imeandikwa wapi katika Biblia kama Yesu amekuja kwa wana wa Israel tu,nimekujibu unaanza poroji

Kwa taarifa yako Yesu mwenyewe alithibitsha hilo Kwa kukataa kumtibu mtoto wa mama aliekuwa sio Mwana Israel.

Usitake kupindisha madhumuni ya Kwanini Yesu aliletwa Duniani..

Yesu kaletwa kuwaokoa Waisrael waliopotea(wenye dhambi),Yesu kauliwa na Waisrael waliopotea(wenye Dhambi)
 
Back
Top Bottom