Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Yaani we jamaa, kichefuchefu kweli! Kila sehemu lazima uchefue tu kwa kuingiza udini!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Hutaki aseme ukweli au? Hapa kakosea nini sasa? Usipende kuficha ukweli kijana.
Ndio nakwambia ewe muuminin Aysha wakati anabakwa na Mtume Mwamedi hakuwa mama, alikuwa mtoto

Kubikiri mtoto wa miaka 9 hata ukiamua kumuoa bado umebaka....wahed

Najua ninyi wana muddy kuoa mtoto baada tu ya kubalehe ni rukhsa, yeye alibaka.

View attachment 1641305
Uko sahihi kabisa...watu hawataki tu kukubali ukweli wakati Aisha mwenyewe anajuwa alibakwa
 
Hija ni nini?

bdicho ni nini?

Ganu ni nini?

Umeandika kwa lugha gani yakhee?
Sasa kama umeshindwa kung'amua nilicho andika kwa kujua ni makosa ya kiuandishi vipi utaweza kusimamisha hija na mimi ?

Mimi naweza kujua kosa la kiuandishi na kujua fika ya kuwa aliyeandika hapa alikusudia kuandika nini.
 
Sasa kama umeshindwa kung'amua nilicho andika kwa kujua ni makosa ya kiuandishi vipi utaweza kusimamisha hija na mimi ?

Mimi naweza kujua kosa la kiuandishi na kujua fika ya kuwa aliyeandika hapa alikusudia kuandika nini.
Hija ndio nini? Kwasababu bado unaandika pumba tu.
 
Sio kweli, umeandika vitu usivyovijua. Sauli ndio Paul aliyekuwa Towashi na ambaye alikuwa katili sana ila baadae akawa Mkristo na mwanzilishi na mwenezi wa makanisa sehemu mbalimbali
Hapa ulikuwa unanijibu mimi, wakati mimi nimekwambia kabisa Sauli alivuliwa UFALME kwa kutokuua vizuri, wewe unaniletea porojo za Paulo ambaye katu hakuwa Mfalme , ndio maana nakwambia uwezo wako mdogo( 152), rejea hayo majadiliano
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania;

Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huku? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine za ziada zilitumika?

Orodha ifuatayo ni baadhi tu ya nchi zilizopo katika eneo hilo la "Sub-Saharan Africa";

Angola, Benin, Botswana, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Central African Republic, Chad, Congo, Cote d'Ivoire, Eritrea, Namibia, Niger, Nigeria, Rwanda, Senegal, Sierra Leone, Somalia, South Africa pamoja na Tanzania.

View attachment 1639303

Ninaomba kuanza kwa kusema kwamba, kwa msio nifahamu mimi Infantry Soldier ni mkristo mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa dini ya uislamu ni dini safi sana tena ya watu waungwana kweli inayohubiri amani na upendo kama ilivyo dini ya kikristo. I love and respect all my muslim brothers and sisters out there.

KWA UFUPI KUHUSU UKOLONI NA KUENEA KWA UKRISTO BARANI AFRIKA
=====
Ushahidi wa kihistoria unaonyesha ya kuwa Waafrika walikuwa na mila nyingi za kitamaduni na kidini ambazo zilichangia pakubwa katika kuenea kwa haraka kwa dini ya Ukristo katika bara letu.

Wamishionari wa Magharibi waliamua kukataa au kuweka pembeni mila hizi, ambazo ilikuwa msingi wa imani zetu tangu zamani. Mifumo hii ya msingi ya mila na tamaduni ya Waafrika ilitoa msingi thabiti ambao Ukristo ulifikishwa (kwa kiingereza changu kibovu ninaweza kusema upon which Christianity was conceived), kueleweka na kupokelewa.

View attachment 1639304

Hata hivyo, wamishionari wengine walijaribu kuaminisha watu kwamba hakuna mila na wala tamaduni za urithi kama huo wa kidini uliokuwepo kabla ya kuwasili kwao katika bara la Afrika miaka hiiiyoooo ya zamani.

Ukristo na ukoloni mara nyingi huhusishwa kwa karibu kwa sababu Uprotestanti (wasabato, anglikana, Lutheran) na Ukatoliki walishiriki kama dini za serikali/kidola za mamlaka ya kikoloni ya Ulaya na kwa njia nyingi zilitumika kama "matawi ya udini" ya tawala hizo za kikoloni.

Wakati Wazungu walipokuja kuitawala Afrika, hawakufanya hivyo tu kwa nguvu waliyoitumia dhidi ya Waafrika. Hapana. Ukoloni ulifanywa vema pia kwa matumizi ya dini, na haswa Ukristo na ndio maana mpaka sasa, Waafrika wengi hujitambulisha kama Wakristo.

View attachment 1639306

Inaonekana dini imetumika zaidi kuathiri utambulisho wa mtu mweusi barani Afrika. Dini za jadi za Kiafrika zimetupiliwa mbali na zinaonekana kama za kipagani na za kishamba kwa asili.

Wakati kila mtu anastahili kuwa imani katika dini yake, ni dini hiyo hiyo ambayo imetumika kuvuruga historia ya Afrika haswa na ujio wa ubeberu na ukoloni ambao umejengwa juu yake.

Dini zilifanikisha jambo moja kubwa sana barani Afrika: kuwafundisha Waafrika weusi kuachana na mila zao zote na kuwezesha kuenea kwa tawala za kikoloni.

SWALI KUU: Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine ya ziada ilitumika?

View attachment 1639305

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Walitumia biashara,kushawishi watu weusi kuwafanyia kazi,waliieneza tu kwa mtindo usio tofautianana na wa ukristo kwa tu,pakatokea makundi ya wakristo na waislamu basi,na wala hakuna namna yoyote nyingie iaipokua tulipo kosea ni kuacha kabisa mila na destiri zetu zilizo kuwepo na tukaaminishwa kua ni dhambi bola kujua dhambi ni nini maana yake

Only Rastafafian ndiyo imani thabiti kwa uchache iliyo baki ambayo kwa kiasi bado inatukuza na kuamini nguvu ya mtu mweusi
 
Mkuu kama hujui kitu usiseme watu wote duniani hawajui...nikusaidie kuna website ya hadith za sahih muslim inaitwa sunnah.com
Google hiyo hadith au chukua maneno machache kwenye hiyo hadith yaweke google then utapata majibu kutoka website za kiislam.
Huwa kuna njia tatu za waislam kukataa hadith.
1.Hiyo hadith haipo umetunga(unamuonesha kuwa ipo)
2.Sawa ipo ila sio sahih(unamuonesha ni sahih)
3.Sawa lakini hujaangalia context(unamuonesha context)
4.Kwanza mimi siamini katika hadith

Mkuu ondoka kwenye hii predictable circle
Kwanini unaona tatizo waislamu kuzitoa kasoro baadhi ya hadithi, wakati Biblia yenyewe mpaka leo kuna yenye vitabu 66 na 72? unashangaa waislamu kukataa baadhi ya hadithi halafu katu hushangai wakristo wenzako kukataa vitabu.kabisa kama Habakuki na vinginevyo
 
Hahah huyu jamaa kwel ndo dini imeingia...yaani unaamini kabisa kuna siku ya mwisho Mungu atakuja na genge la mabikra kutupeleka sehemu yenye mito ya pombe na masoko ya malaya?Sehem ambayo tutakuwa na vivulana efmoja vya kutumikisha?Aaaagh! kama Mungu yupo Sio Allah(Saw)
1. Ajabu iko wapi Mungu kuongozana na mabikra?wakati Bikra ni uumbaji wake
2.Mito ya pombe na masoko yana.shida gani? Ata kile kitabu cha kwenye biblia kilisema.wazi maisha yana raha gani bila pombe
3.Unaweza kutuambia wapi kumeandikwa kuna masoko ya MALAYA ?
4.Ajabu iko wapi vivulana kutumikishwa? mbona ata duniani mnawatumikisha wavulana au wanaume, au ulitaka tuwatumikishe malaika? Karibu
 
Haki ya kuuwa wasio waislam?

Haki ya kuoa wake wengi sio?

Hebu tufafanulie hizo haki sheikh,
1.Waisrael waliua watu wanaoabudu miungu mingine tofauti ya Yehova, tena kwa Amri ya Yehova
2. Ebu tuambie nani anamzidi Selemani kwa kuoa wake wengi? acha wivu
 
I
Shukrani kwa bandiko zuri.

Hilo swali lako wanahistoria waje hapa watupe ufafanuzi tupate elimu.
Kaka,iko wazi kabisa hamna cha kushangaza hapo

Warabu walikuwa na bado ni wafanya Biashara wakubwa Duniani

Biashara ndio iliyowafanya Warabu watange tange Dunia nzima

Uislam unakataza kumtawala mtu mwengine bila ya ridhaa yake

Wazungu wao walikuwa na lengo Moja Tu,kutawala..

Hata hao Wamisionary waliokuja Afrika walikuja kwa kazi maalumu,..

KAZI kubwa ya Wamisionary ilikuwa,kuhibiri duni,kuchunguza na kupeleka habari kwa Watawala

Wazungu waliweza kutawala Dunia kwa mgongo wa dini,dini ilitumika kama silaha

Wazungu waliweza kutengeneza dini moja,lakini makanisa tafauti.

Mungu huyo huyo lakini kanisa tafauti, Kanisa la nmzungu alikuwa hawezi kuingia mtu mweusi au mtu asie Mzungu....
 
Ndio, Yesu alikufa kwa malengo makubwa, kwa Ukombozi wetu sisi sio kwa kuwalazimisha watu wabatizwe kuwa wakristo
Yesu,hakufa kwa kumkomboa yotote isipokuwa Wana wa Israel.. Biblia ndio inavyosema

Je wale waliokufa Kabla ya Yesu kuzaliwa,wale waliofanya madhambi makubwa makubwa walikombolewa na Nani?
 
Yesu,hakufa kwa kumkomboa yotote isipokuwa Wana wa Israel.. Biblia ndio inavyosema

Je wale waliokufa Kabla ya Yesu kuzaliwa,wale waliofanya madhambi makubwa makubwa walikombolewa na Nani?
Walikombolewa na Mungu kupitia manabii wake, Musa, Nuhu, Haruni, Isaya, Elia n.k waliokuwepo kabla ya Yesu kuja duniani

Hilo la Yesu kuwakomboa waisrael tu limeandikwa wapi katika Biblia?

Onesha palipoandikwa.
 
Back
Top Bottom