Dini ni Utamaduni wa watu fulani

Dini ni Utamaduni wa watu fulani

Nacheka sana, usipate shida, weka ushahidi bwana mdogo.

Mimi nipo hapa nasubiri huo ushahidi.

Ushahidi niweke mara ngapi???--- akili yako ni blind folded na huwezi kuona ushahidi kwakuwa huna macho ya kiroho unayo macho ya kimwili.
 
"Je yule mbwa wa vijana wa Pangoni, alikuwa jike au dume au alikuwa ana rangi gani ?" kisha ujione kwamba una akili, aisee Qur'aan haitutaki tuhoji ujinga bali tuhoji vya maana.

Hii ndiyo nature ya akili yako, hii inaonyesha wewe unaweza kuuliza maswali ya aina hiyo.

Angalia maswali na hoja zangu zilivyo na sio huo ujinga wa maswali yako ya kitoto unayotaka kuninathibisha kwangu.

1----Kipindi manabii wanashushwa huko mashariki ya kati kwa ajili ya watu wa huko katika sehemu mbalimbali za dunia watu (nyimati) zilikuwepo.

2----- Qur'an inasema katika kila umma (katika kila watu duniani) waonyaji walitumwa kwao. (Ushahidi wa aya 4 nilikupa)--- Allah jambo hili kalieleza katika aya 4 kama msisitizo, na ni watu wenye akili tu ndio wanaweza kujua hilo. Watu wenye akili (albaaab), here I am talking of the people who can exercise well their mental faculties and not people like you.

3----Allah akasema kwamba kuna mitume aliomsimulia mtume (saw) na kuna wale hajamsimulia, (nikikupa ushahidi wa aya pia).

Hoja yako ikawa je mitume walitumwa mashariki ya kati pekee, mimi nikapinga na ninapinga, na ninasema kwamba mbali na mashariki ya kati pia mitume walituma sehemu mbalimbali za dunia ambapo zama hizo watu walikuwepo, Maeneo ya Africa, China, America zote, Mashariki ya mbali, Australia na Newzealand nk.

Mungu anasema na kila umma alitumwa Muonyaji, mpuuzi mmoja anasema kwa kibri na jeuri eti; "toa ushahidi !!!" Kama kwamba haoni hizo aya za Qur'an, kama kwamba hakusoma historia kujua kwamba sehemu zingine za dunia kulikuwepo na watu, kama kwamba haoni umuhimu wa hizo aya za Allah anaposema katika kila umma alitumwa mwonyaji, kama kwamba anaona fahari kusema mababu zetu huku Africa nk, hawakustahili kupewa mitume (muongozo wa kiroho) na hivyo walikuwa Washenzi kwani bila Muongozo wa kiroho mtu huwa nshenzi na mshirikina.

Ninachopinga kwako ni kauli zako za kijinga bila Ushahidi kwamba mitume hawakutumwa huku nje ya mashariki ya kati, mimi nimekupa ushahidi wa Maneno ya Allah, na wewe toa ushahidi wa maneno ya Allah kutetea "ujinga wako".

Soma pia hapa ufute ujinga kumuhusu Sage Luqman.

Screenshot_20200722-070330.png
 
Ajabu mzee, huwezi kukuta adhana inapigwa kwa kiswahili

Lugha ya kiarabu kwa Waisilamu ni universal language, ni lugha inayowaunganisha Waislamu duniani kwenye ibada nk.

Unapotoa adhana kwa kiswahili lazima ujue sio kila mtu muisilamu anaweza kuwa anajua kiswahili lakini ukitoa adhana kwa kiarabu kila Muisilamu duniani pote ataelewa kuwa huo ni wito wa kwenda kuswali na anaweza kujumuika na Waisilamu wenzake kwenye swala.

Na hata kwenye swala yenyewe dua za kuswalia ni katika lugha ya kiarabu na ndiyo maana ni muhimu kwa kila Muisilamu kujifunza hizo dua na kujua maana zake katika lugha ya kiswahili ili mtu apate "gist" na "essence" ya anachofanya.

Maneno ya adhana ni haya:

1-----Allah akbar ×2 (Allah ni mkubwa).

2----Ash hadu laa ilaha illa llah×2 (Nashuhudia hapana Mungu isiookuwa Allah).

3--- Ashhadu anna Muhammada rrasulullah×2 (Nashuhudia kwamba Muhammad ni mtume wa Allah).

4---- Hayya ala swalaa×2 (Njooni kwenye swala).

5--- Hayya ala falaa×2 (Njooni kwenye ufaulu).

6---Allah akbar×2 (Allah ni mkubwa)

7----laa ilaha illa llah×1 (Hapana Mungu isipokuwa Allah).
 
Na hapo ndio tatizo lilipo, kwanini iwe hivyo kwa islams pekee
 
Qur'an inakutaka usiwe bubusa, inakutaka unaposoma aya zake uzitafakari, mfano Allah anaposema; kuna mitume amehadithia habari zao na wapo hajahadithia habari zao maana yake tunatakiwa tutafakari kwamba ni mitume gani habari zao zimehadithiwa na hizo habari ni zipi na zina faida gani kwetu??!!, na kadhalika hao mitume ambao habari zao hajizasimuliwa walikuwa mitume gani kutoka mahali gani na kwanini habari zao hazikusimuliwa nk, -- ni maswali ya aina hiyo yanayotakiwa kufanyiwa kazi na mtu mwenye AKILI.

Angalia "commentary" kumuhusu Seydna, (Mtawa, Sage) Mchamungu Luqman yanayotolewa na Watu wenye akili ili na wewe ujifunze na uondokane na Ububusa (dogmatism).

View attachment 1512908
Hao mitume wengine walikuwa wa dini gani?
 
Matumizi ya akili ni kutaka kujua je hao mitume ambao mtume hakuambiwa habari zao ni mitume gani??, na walikuja wapi?? Kwa kazi gani??, usipojiuliza maswali hayo na mengine kama hayo wewe ni mfu wa akili, huna tofauti na punda abebaye vitabu asijue ndanimo kuna nini.
Hapana mzee, Kama mtume mwenyewe hakuwahi kuwajua hao wengine wewe huna haja kahangaika nao, sabab hutakuja kuwajua. Na hata usipowajua haimaanishi umetumia vibaya akili yako. Sanasana utaanza kutilia mashaka hizo hizo aya.
 
Mkuu kuhusu lugha..
Embu tafakali mara paapuuu umetua thailand ukataka uende kuabudu kidogo unadhani kama hujui ki thai kweli inaweza kuenda nao sawa kwenye ibada maana utakuwa huelewi chochote kinacho endele.
Allah ni muweza wa yote ndio maana akatuambia kwenye sala zote tutumie kiarabu na kwenye dua basi tumia lugha yeyote ile basi yeye atakusia.
Yaani leo hii chukua waislamu toka mataifa yoyote unayo yajua wewe na tena wawe wanajua lugha zao tu,waambie wamuabudu Mungu wao basi wote watafanya kitu kilekile na tena kwakuelewana bila tatizo lolote na dua itasomwa ya pamoja na wote wataelewa.
Hii ndio hekima ya lugha moja wakati wa kuabudu.
Ila kwenye dua wewe piga hata kisukuma.
Kama kutumia kiarabu Ni ili tu wote tuwe sawa kwenye swala, basi ili swala ya mja iswihi sio lazma pia kitumike kiarabu tu. Kama sivyo nipe Aya inayosema Ni dhambi kutumia lugha tofaut na kiarabu kwenye kuswali.
 
Bado sijakuelewa swali lako mkuu..maana kwenye swala kikubwa ni kujua sulat fat'ha au ulitaka isomwe kwa lugha husika ya mtu.
Mfano mbongo asome kiswahili au nchina asome kichina.
Hiyo niliyo weka mimi hapo juu ni moja ya sababu zipo pia nyengine.sijui kama umenielewa.
 
Ushahidi niweke mara ngapi???--- akili yako ni blind folded na huwezi kuona ushahidi kwakuwa huna macho ya kiroho unayo macho ya kimwili.
Hujaweka ushahidi wa hao mitume ambao walikuwepo Afrika na zile nchi ulizo zitaja. Usijitoe ufahamu kijana na kupoteza muda.
 
Kijana huelewi wapi ? Naona umetuwekea marejeo ya Imaam Ibn Kathir,tuonyeshe ili tupate faida, maana kuna kitu kinaitwa "Israiliyaat" visa hivi tumeambiwa hatutakiwi tuvikubali wala hatutaikiwi tuvikanushe, na Imaam Ibn Kathir amenukuu sana visa hivi, sasa sababu weww ni kiote, naona unaishi humo humo. Bado nasubiri ushahidi.
 
Na hapo ndio tatizo lilipo, kwanini iwe hivyo kwa islams pekee
Sasa mkuu ulitaka iwe na wakina nani maana kila dini inamafundisho yake.
Kazi kwako changanua unapona panafaa fuata kama huelewi achana nayo..
 
Wanaoingia peponi ni watu wenye akili na elimu, ni wstu waliofanya mema kwa kutumia akili, lakini Allah ni mwingi wa rehema na ukarimu na huruma yawezekana hata wasiokuwa na akili akawaingiza peponi kwa huruma yake,

Yeye Allah ndiye anayejua zaidi.
Sasa kama anahuruma ya kiwango hicho, kwamba chizi anaenda na mwenye nazo alkadhalika.Tena ni mjuzi kama unavyomnasibu;

Kinachomshinda yeye kuileta pepo isiyo na masharti ni kipi..? Au hajui kwamba upunguani ndio chazo cha mabaya mengi..? Kwani kipi hasa anatafuta.?

Ukizingatia kunasehemu kasema mwenyewe kwamba "ukimwabudu haongezeki kitu wala ukimchunia hapungukiwi".! Mjeuri sana huyu
 
Sasa mkuu ulitaka iwe na wakina nani maana kila dini inamafundisho yake.
Kazi kwako changanua unapona panafaa fuata kama huelewi achana nayo..
Mafundisho tofaut Ila Mungu Ni mmoja bro, huu upande wetu waislam kwanin upo kipekee? Huu utofaut wa kutumia lugha moja tu unatokana na Nini?
 
Hujaweka ushahidi wa hao mitume ambao walikuwepo Afrika na zile nchi ulizo zitaja. Usijitoe ufahamu kijana na kupoteza muda.

Wewe ndio unajitoa ufahamu. Hata ukijifanya umelala ninajua upo macho.

Msingi wa Mada ni; je, nje ya mashariki ya kati kuna mitume wengine walifika sehemu zingine za dunia???, sehemu zingine za dunia kama huku kwetu Africa,America, Australia nk, katika zama za manabii mfano Nabii Nuhu, Yakubu, Luti, Yahya, Ibrahimu (as) nk.

Jibu ni ndiyo, kwasababu katika zama hizo katika maeneo hayo watu wakikuwepo, kanunu ya Allah ni hii kwamba; katika kila ummati alimtuma mtume, (kwa mujibu wa Qur'an).

Pia kwa mujibu wa Qur'an sio mitume wote waliotajwa pia kwa mujibu wa hadithi ya mtukufu mtume (saw) wamepita mitume 124,000 kabla yake, mitume waliotajwa ndani ya Qur'an ni 25 tu, sasa hao wengine 123,975 walikuwa mitume kwa ajili ya "majini-mbwa"??!!. Very ridiculous indeeeed.

Kusema kwamba huku kwetu hawakuja mitume ilhali watu walikuwepo ni kupingana na kanuni ya Qur'an ya kila ummat kupewa mtume na pia ni matusi kwamba Wazee wetu hawakustahili kupewa muongozo wa kiroho ili wakifanya mema waende peponi, unataka kutuaminisha upuuzi wako kwamba muongozo na pepo kipindi hicho ilikuwa ni kwa ajili ya watu wa Mashariki ya kati tu!!!--- hiyo ni imani inayoshikiliwa na "Wamanga" kwamba wazazi wao na wao pia ni bora "spiritually" kuliko watu wengine mbaya zaidi watu weusi kwa ujinga na nyie mnakumbatia upuuzi huo.

Maelezo hayo nimeyarejea kwa mtindo mwingine labda akili yako uliyoilaza itazibuka.
 
Mafundisho tofaut Ila Mungu Ni mmoja bro, huu upande wetu waislam kwanin upo kipekee? Huu utofaut wa kutumia lugha moja tu unatokana na Nini?
Mungu ni mmoja kweli,lakini unaamini Mungu wa budha,hindu na wakristo ndio Mungu wa Waislamu,hata wao wenyewe wanakataa.
Kama Mungu kaamua lugha iyo itumike kwenye ibada sioni tatizo mbona aliamua ban i'srail kuwa taifa teule kwani wao ni bora kuliko wote.
Yeye anatujua vizuri kuliko tunavyo jijua sisi.kila apangalo linamaana yake..
 
Wewe ndio unajitoa ufahamu. Hata ukijifanya umelala ninajua upo macho.

Msingi wa Mada ni; je, nje ya mashariki ya kati kuna mitume wengine walifika sehemu zingine za dunia???, sehemu zingine za dunia kama huku kwetu Africa,America, Australia nk, katika zama za manabii mfano Nabii Nuhu, Yakubu, Luti, Yahya, Ibrahimu (as) nk.

Jibu ni ndiyo, kwasababu katika zama hizo katika maeneo hayo watu wakikuwepo, kanunu ya Allah ni hii kwamba; katika kila ummati alimtuma mtume, (kwa mujibu wa Qur'an).

Pia kwa mujibu wa Qur'an sio mitume wote waliotajwa pia kwa mujibu wa hadithi ya mtukufu mtume (saw) wamepita mitume 124,000 kabla yake, mitume waliotajwa ndani ya Qur'an ni 25 tu, sasa hao wengine 123,975 walikuwa mitume kwa ajili ya "majini-mbwa"??!!. Very ridiculous indeeeed.

Kusema kwamba huku kwetu hawakuja mitume ilhali watu walikuwepo ni kupingana na kanuni ya Qur'an ya kila ummat kupewa mtume na pia ni matusi kwamba Wazee wetu hawakustahili kupewa muongozo wa kiroho ili wakifanya mema waende peponi, unataka kutuaminisha upuuzi wako kwamba muongozo na pepo kipindi hicho ilikuwa ni kwa ajili ya watu wa Mashariki ya kati tu!!!--- hiyo ni imani inayoshikiliwa na "Wamanga" kwamba wazazi wao na wao pia ni bora "spiritually" kuliko watu wengine mbaya zaidi watu weusi kwa ujinga na nyie mnakumbatia upuuzi huo.

Maelezo hayo nimeyarejea kwa mtindo mwingine labda akili yako uliyoilaza itazibuka.
Tuonyeshe sasa ili uthibitishe ukweli wa maneno yako.

Nipo .....
 
Hapana mzee, Kama mtume mwenyewe hakuwahi kuwajua hao wengine wewe huna haja kahangaika nao, sabab hutakuja kuwajua. Na hata usipowajua haimaanishi umetumia vibaya akili yako. Sanasana utaanza kutilia mashaka hizo hizo aya.

Hoja ni hii kwamba huku kwetu Africa na sehemu zingine nje ya mashariki ya kati watu wasiojua mafundisho ya uislamu wanadai kwamba mitume hawakutumwa kwa watu wakioishi huku katika zama hizo.

Mimi ninapinga hoja hiyo potofu kwa kurejea aya za Qur'an.

Unaposema mitume hawakutumwa huku Africa maana yake ni hii; 1-- hakukuwa na watu, 2--- kama walikuwepo basi walikuwa wamelaanika au walikuwa washenzi kama wanyama (sokwe) ambao hawakudmstahiki kupata muongozo kutoka kwa Mungu.

Katika zama za hao manabii wa Mashariki ya kati akina Nuhu, Salehe nk, huku Africa na kwingineko watu walikuwepo na wao kwa mujibu Quran na wao walistahili kuwa na mitume wa kuwaongoza, mitume hao ndio hao Allah akumpasha Mtume (saw) habari zao na ndiyo maana habari zao hazijulikani ila mitume walikuwepo. Hapo ndipo hoja imesimamia.
 
Hao mitume wengine walikuwa wa dini gani?

Mimi siwezi kujua dini zao kwasababu mtume (saw) hakujulishwa habari zao, cha msingi ni kwamba walikuwepo hadi huku kwetu kwasababu nyimati za watu zilikuwepo na Allah katika Qur'an anasema alituma katika kila umma mtume.

Hivyo yule anayesema huku kwetu hawakutumwa mitume ni muongo.
 
Na hapo ndio tatizo lilipo, kwanini iwe hivyo kwa islams pekee

Labda hujanielewa ni hivi; lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha kuu 5 za dunia, ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu.

Ni lugha ambamo Qur'an imeshushwa, ili mtu ajue "vizuri" mafundisho ya Qur'an yampasa ajue "Quranic Arabic" mbali na kwamba kuna tafsiri nyingi za Qur'an katika lugha mbalimbali lakini maana halisi zinapatikana kwa kujua lugha yenyewe ya Kiarabu cha Qur'an (kiarabu fasaha).

Waisilamu duniani wanaunganishwa Mtume (saw) chini ya Qur'an na kiarabu ndiyo lugha inayowaunganisha, leo Muisilamu Mtz akienda Russia, Germany, Saudia, pakistan, India au popote duniani hatopata shida katika kuswali ndani ya msikiti wowote kwa njia na dua za swala zote ni katika lugha ya kiarabu.

Katika swala kuna "postures" na kila posture ina dua yake, posture moja ni sujuda hapo kuna dua yake pia lakini MTU HAJAKATAZWA ANAPOKUWA KATIKA SUJUDA BAADA YA KUSOMA DUA INAYOTAKIWA HAPO HUYO MTU NAYE AKAOMBA DUA AU MAOMBI YAKE BINAFSI KATIKA LUGHA YAKE MWENYEWE ANAYOIJUA, kwani Mungu anasikia lugha zote.
 
Back
Top Bottom