Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

snowhite na King'asti nyie ni wabayaaaaaaaaaa. Mkienda Kwa Madiba naombeni mnipe tenda ya kuwa heads guard wenu. Sitaki hzo vitu zenu hapo kichwani zikatwe. Ndo znasababisha muwe na akili sana.
 
Last edited by a moderator:
ndo nilikuwa nakuchungulia hapo chini nikawa nasubiria madongo, lol!
utu uzima dawa, sasa tumewaachia wadogo zetu akina snowhite....
salama lakini rafiki?
dada mkubwa mi mdogo lakini mzoefu ujue!nitake radhi!
we unafikir babu ana hasira na mtuhumiwa mchezo hakumtendea haki minor bana!
 
ukweli mchungu kwa numba ndogo ni kuwa, kumkwapua mme wa mtu moja kwa moja ni kujipalia mkaa tu.

Lazima atarudi kwake tu siku moja.

Siku hizi niliamua kuwa mpitaji yu....ila bishosti kanfanya nigune...
Tushakuwa watu wazima sie kama anasubiri mfupa udongoke atasubiri forever, tushavuka hiyo stage.
 
..wanafikiri digrii za law,mara PR,B.com,PSPA ndo digrii ya ndoa pia,ndoa si vyeti vyako make vyeti=mzungu,ndoa=Mungu!
 
snowhite na King'asti nyie ni wabayaaaaaaaaaa. Mkienda Kwa Madiba naombeni mnipe tenda ya kuwa heads guard wenu. Sitaki hzo vitu zenu hapo kichwani zikatwe. Ndo znasababisha muwe na akili sana.

ahahahahahhahahah anhaaaaaaaaaaa nilikuwa sijui kumbe ni zile bhange anazotutafitia Dark City antidote yaaake!ndo maana akili zipo sawa i seee!
ILA KWELI!
 
Last edited by a moderator:
......I cant agree more gfsonwin, yaani huyu hana lolote zaidi ya kujishaua tu humu kwa kutuletea maneno ya kwenye khanga! daaamn!

wewe mume wa mwenzio acha kabisa, muhurumie mwanamke mwenzio. Kuiba uibe halafu utake na hati miliki wapi na wapi. Kwenye jamii wa design yako adhabu yako huwa ni.........

ngoja niishie hapa maana naona ban inaweza kunihusu.

huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.

anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.
 
Mi simshangai huyo lane ana wivu wa kike kama ilivyo ada
 
Last edited by a moderator:
atatuliaje nae kapewa lifti honi inamuwasha. hahaha wa mbili havai moja dada. kama umeandikiwa ukimada bhaaaaasss, ukipewa chnge acha kupiga makelele. si utulie basi kona yako?
mwalimu gfsonwin, asante kwa recap lmao
King'asti ninawajua hawa akina ANNA acha kabisa, huwaga wanajitia kelele nyingiiiiiiiiiiiiii, ilihali wanategemea hadi chupi toka kwa hawara. kimbembe siku hawara akaikunjuka utaona huruma.

ndo mana nilikaza goti kumfukuz Anna kwangu na mpaka leo yuko sinza mbele hana nyuma hana mbaya zaid kaukwaa basi hadi pesa ya machungwa najiskia kumpa kwa jinsi anavyotia huruma.

namjua mmoja anaitwa Fatuma nae alikuwa na tambo kama hizi akijitapa mchagga kaniambie nimzalie madume kisa mkewe mchaga kazaa majike mengi. sasa bwana bai mkubwa akajisemea ya nini kupata tabu mie na uzazi ndo nshamaliza?? alilea watoto wake wkasoma kwa mboga mannina wallah................huwez kuamini sasa hivi watoto hawa waliosoma kwa kuauuza chinese wengine wako wanafanya kazi UN mwingine yuko ulaya anasoma phd wengine wako na WWF yaani katika watoto 8 aliozaa mke mkubwa wote ni somebodies.

kasheshe kwa huyu bi mdogo kazalishwa 4 na ndo kwanza wako sekondari kama Klein wangu. baba kesha fariki mama anahaha sasa eti nendeni kwa kaka zenu wakawasaidie...................wanatia huruma na hivi mama ni ngumbaru uspime.
uscheze na mwanamke msomi anayejitambua utamchezea kwa kulalwa lkn sio kwenye mipango.
 
Last edited by a moderator:
mie team handsome ya peter kenneth na tushaanguka kifo cha Mende. mume mwenye akili nnae home Paw wangu, anadhibiti small hausi mie sipati disturbance. napendwa mie shavu hiliii.
Odinga akishinda nidai kiloba
 
......I cant agree more gfsonwin, yaani huyu hana lolote zaidi ya kujishaua tu humu kwa kutuletea maneno ya kwenye khanga! daaamn!

wewe mume wa mwenzio acha kabisa, muhurumie mwanamke mwenzio. Kuiba uibe halafu utake na hati miliki wapi na wapi. Kwenye jamii wa design yako adhabu yako huwa ni.........

ngoja niishie hapa maana naona ban inaweza kunihusu.

huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.

anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.
 
Last edited by a moderator:
weweeeeeeeee watu wana degree 5 na wanaishi na waume..... nini degree 2 bwana......
atuwache tupumuwe na waume zetu....
cc. snowhite, gfsonwin
mi dada langu nalipendaga hapa tuuu!nikipumzika lenyewe linamakata kijiti!
hii habari mbovu kabisa hii ituharibie mabinti wasipende kusoma kisa hawatakuwa na ndoa nzuri au hawatapa wachumba!au watoto wetu wa kiume wakimbie kuoa mabinti na shule zao kisa ndoa zitakuwa mbaya!LAZIMA IKUFILIE MBALI!
kinachoshindwa sio degree ni aina ya mke na mume waliokutana kwenyw hio ndoa!
MABINTI SOMENI SANA !
VIJANA OENI TU MABINTI NA SHULE ZAO!
kuwatame ni rahisi sana baba zenu na wajomba zenu au baba zenu wadogo wanaolitambua hili wanakula matunda mara dufu!
itakufaa nini umpate mke asijue hata hesabu rahisi tu kumfundisha mwanao
kwanini usiwe mwanamume hasa na degree zangu kadhaa unifanye nikufulie tei tei zako!
I DARE YU I SEE!
 
King'asti...........utamchezea kwa kulalwa lkn sio kwenye mipango.

aisee, kumbe eeh? japo kapande hapo kamenifanya nicheke mwenyewe as kuna ka-ukweli fulani ndani yake, all in all bidada umeshusha nondo na darasa la ukweli. Asante weye, be blessed
 
Last edited by a moderator:
Nakuonea huruma bidada. Kama mwenye digrii mbili yuko hivyo ninavomjua sijui we mwenye nyingi hali yako ikoje. Vp na we wine unakunywa?

hahahahahah! wine nanywa kitu strawberry lips, G&T napata kazi nafanya na ndoa inapepea kila siku iko paradiso.

bahati nzuri ama mbaya ni degree za shule na za kitandani nina masters ya sexology, nina phd ya vibration na mafyonzo. nina BSC ya orgasmiology na g spotting unalo la ziada??

WEWE UKISEMA UNAYAJUA MAPENZI MIE NTAKWAMBIA NAJUA KUT.OMBANA.
 
Back
Top Bottom