Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Hivi kumbe ni kuku? Na yule anayekeshea wine mtaa wa kule ni kuku au mtetea? Msinchekeshe miye!

i need ur attention ujue!af unanipotezea!sikuelewi lol!
ahaahhahhahahahhahha kuja pande hii ya fasi yangu tuzozeeee!
achana na hao sio size yako banaaa!
 
Leo zimeumana . . . Lol!
'
Sosi: Mtambuzi !
 
Last edited by a moderator:
Sophy huyo jamaa na wewe atakushinda tu,mfupa ulimshinda fisi wewe utauweza?kama alimcheat aliyefunga nae ndoa kanisani atakushindwa wewe?pozeo

Njoo umuone alivyotulia baada ya timbwili la jana. Nikupe namba yake akusimulie mwenyewe?
 
da sophy upo? hahahaha. bado tu unadandia waume za wenzio hujapata wako pamoja na kutokuwa na digirii.
ila ulipotea, huyo mume wa mtu kakuzalisha baby wa pili? usimlazie damu shosti, mjini kuchangamka!
 
Kinamuuma mwenyewe mi kiniume nini. Ye kataka digrii na wine. Na cheti cha ndoa na pete. Keshavipata. Kama kuna kinachomuuma kinamhusu sio mimi. Mimi nimekipata changu ninachokipata. Na pete navaa, ziko tele kwa masonara hela yako tu.
mbona yeye hakuanzishii thread?haya bwana furahia kibamia
 
Hapo ni digrii moja. Niambie zikiwa mbili inakuwaje.
na ndiyo maana wengi ndoa zinawashinda. We jaribu kufuatilia utaona na ukute kwao wanajiweza, hapo ndo kabisaa, wanaolewa kutoa mkosi lakin muda mfupi wanaachia.

Halafu kuna hawa wanaojiona masuspastaa, nao shida tupu. Huwa wanakuja kufainalika uzeeni
 
Hahahaha
sikuwa na nia huupende!
Kwani jogoo si kuku?
Kwani yule mwingine nae kakukimbia? Daaa pole sana hiyo ndio mitihani ya dunia lakini we umepata pigo natamani nikufanyie maombi bila shaka kuna mkono wa mtu!

Mfano wako wa kuku sijaupenda bora ungesema jogoo.
 
Niliapa sitaoa mwanamke ambaye hakusoma!! Ninaheshimi elimu yake na yeye anaheshimu yangu! Maendeleo yangu yote kimaisha (kazini, elimu zaidi, social relations, etc) kwa mchango mkubwa umetokana naye. Always ukishaweza kumsoma mtu na kumuelewa hakuna shida. Nakuhakikishia kama hujamsoma vizuri mke/mume wako na ukamuelewa basi jua utaishi naye maisha magumu sana na ndoa itakuwa ndoana na maendeleo sifuri. Make her CEO hapo nyumbani, mbona utaishi kwa raha!! Wanawake wengi wanakuwa submissive kwa waume zao just how you treat her well hasa kwa maneno ya kumkuza na si kumdhalilisha!!
 
mbona yeye hakuanzishii thread?haya bwana furahia kibamia

ahahahhahahhah Azote huwa hatuangaiki na ndala kama hizi isee au umesahau principle zeetuu!
ahahahahhha spare my ribs bana!
 
Last edited by a moderator:
atatuliaje nae kapewa lifti honi inamuwasha. hahaha wa mbili havai moja dada. kama umeandikiwa ukimada bhaaaaasss, ukipewa chnge acha kupiga makelele. si utulie basi kona yako?
mwalimu gfsonwin, asante kwa recap lmao
mbana unamfuatilia sana huyu mama?tulia na jamaa
 
Last edited by a moderator:
huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.

anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.

Huyo ni mwanaume..hakuna cha wizi wala nini..anachemsha jukwaa tu
 
Kusema ukweli kabisa, kumekua na shida kubwa kwa wanaume kutunza mwanamke msomi

nadhani ni ile level ya expectation ya mama kuwa tofauti na ya mama (hii ni more applicable pale ambao sie waume tumesomesha wanawake wakiwa ndani ya ndoa), nazungumzia from experience

the only way a man can handle these changes ni yeye ku-elevate his profile higher and higher to keep the marriage in balance, la sivyo lazima utoswe au uchezee maumivu
 
Back
Top Bottom