Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Unamjua. Si ni wewe ulimsaidia kufuta zile sms nilizotuma humu JF eti asiadhirike. Poa lakini ujumbe umefika na lengo limefanikiwa. Yupo home, nimemwambia saa 12 jioni isimkute nje ye kawahi sa 11. Sa niwe na ugomvi tena wa ni?

mwanamke anayejiamini anakuja kupiga kelele kwenye mitandao?

Acha wanaume wawaone wanawake mataahira(sio wote jamani baadhi tu msitoke povu)
 
angekuwa anafurahia kibamia angetulia tuliii. raha ya kibamia asubuhi, unaamka unakiona kinavyopata uhai na kufikia full size. sasa small hausi hadi ubakishiwe mapovu saa ngapi utafurahia. mtu anakuja macho yako kwenye saa, anaparamia awahi kwake. hahahaha, leo ni leo.

haya King'asti upesi home hapa hapakufai....
 
Last edited by a moderator:
nasita kuuliza what you did here. ntabaki kuwepo gizani kwenye hili. i can see you're very angry

i didn't do anything zaid ya kumtaka atoke kwangu na akaondoka na kitenge changu but majuzi two weeks alikuwa kalazwa sinza palestina yuko ngomad sasa akakimbia mashudu.
nilimshangaa tu kama alipenda ngono kwann aogope mashudu hadi aumwe awe wasted namna hii??
 
Mhhh hapa nahisi kuna mtu anachukua mume wa mtu, mkewe msomi,ye hajasoma, anatafuta vitu kujustify ukayumba wake, watu tumesoma na tumewaweka viganjani vilevile msitutishe hapa,na tukiachana nao tumeamua tu.
 
huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.

anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.

gfsonwin si unajua mwizi ukimuignore? Lazima akukuruke ile mwenye mali ajue???? Ndo dizaini hizi zinazoiba hadi namba ya simu kumuarifu mwenye mali mumeo ninae mie....halfu mwenye mali anamwambia heri usaidie leo K inawaka moto endelea nae????? Hana la kumfanya anatamani kumiliki ila ndo anaishia kugegedwa....na mwanzume huwa hakatai mgegedo wa bure bwana atagegegedaaaaaa ila kwake anarudi kumkumbatia mkewe na kipondi hiki cha mvua bi shosti kadata kukumbatia mto
 
Last edited by a moderator:
mie hadi nimeogopa

umeogopa nini Kongosho??
labda niwatoe hofu wewe na Blaine mwanao, mie nimemwona huyu Da Sophy kama Anna demu aliyeitesaga ndoa yangu. kama hukumbuki nenda kasome uzi wa 'uvumilivu'

sasa just two weeks alilazwa sinza palestina yuko ngomad so nilimkuta yuko wasted sana na naskia amegoma kutumia mashudu. ndio nikamwambia huyu da sophy anajigamba hapa ila watu tuna jua mwsho wa watu wa type yake.
sasa naona mmenielewa.
 
Last edited by a moderator:
i didn't do anything zaid ya kumtaka atoke kwangu na akaondoka na kitenge changu but majuzi two weeks alikuwa kalazwa sinza palestina yuko ngomad sasa akakimbia mashudu.
nilimshangaa tu kama alipenda ngono kwann aogope mashudu hadi aumwe awe wasted namna hii??
i thought ulimwendea kwa mganga au kumuombea mabaya kanisani.
 
Kahonga mwenyewe wenye mtandao wakazifuta. Lakini yameisha yuko home, kusameheana kawaida. Ile ilikuwa ni sindano nilimchoma kutibu kibri, sasa kapoa sina sababu ya kuendeleza wakati keshaomba amani. Kama ulisherehekea imekulaje kwako. Kimekunukia upyaaa. Kama wa kiume kuna mwanamke anakuhitaji sana yuko huko anakeshea wine. Tatizo kajikondesha ati ndo usomi, kama unapenda zilizosinyaa mbona yupo kajaa tele na wine utapewa kila siku anajaza kapu supermarket.

mbona unasound very desparate?
 
gfsonwin si unajua mwizi ukimuignore? Lazima akukuruke ile mwenye mali ajue???? Ndo dizaini hizi zinazoiba hadi namba ya simu kumuarifu mwenye mali mumeo ninae mie....halfu mwenye mali anamwambia heri usaidie leo K inawaka moto endelea nae????? Hana la kumfanya anatamani kumiliki ila ndo anaishia kugegedwa....na mwanzume huwa hakatai mgegedo wa bure bwana atagegegedaaaaaa ila kwake anarudi kumkumbatia mkewe na kipondi hiki cha mvua bi shosti kadata kukumbatia mto
mwali hapa umenena tea huyu mja laana kimemkera upweke na bwana kamfungia vioo. sasa atasubiri sana hadi amwone kwake. kwanza toka azae naskia ananuka pombo tu mwanzo mwisho na kutwa nyumba yote inanuka mikojo na kuzagaa mapampas ya watoto.
 
angekuwa anafurahia kibamia angetulia tuliii. raha ya kibamia asubuhi, unaamka unakiona kinavyopata uhai na kufikia full size. sasa small hausi hadi ubakishiwe mapovu saa ngapi utafurahia. mtu anakuja macho yako kwenye saa, anaparamia awahi kwake. hahahaha, leo ni leo.
oh my god!! hii posti ni wewe au umeibiwa password??!
 
Mhhh hapa nahisi kuna mtu anachukua mume wa mtu, mkewe ms Reply With Quoteomi,ye hajasoma, anatafuta vitu kujustify ukayumba wake, watu tumesoma na tumewaweka viganjani vilevile msitutishe hapa,na tukiachana nao tumeamua tu.
Shantel hebu mweleze huyu asokuwa na haya wala hajui vibaya uso umemparama kama jua la kiama.
kazaliwa katanguliza ---- basi na akili ikawa ya nyuma hivyo hivyo
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu yeyote mwenye huruma na mimi anayeweza kuniambia hapa sanasana kinazungumziwa nini?

Mkinionea Kongosho, King'asti na Kaunga naomba muwafikishieni salamu zangu za kwaresma.

Wasalaam, ODM.
Kuna shankupe lilikuwa linaiba mume wa mtu sasa mwenye mali kajua,mume katulia home, limekuja kupiga kelele humu,iba kimyakimya mwali wewe
 
atatuliaje nae kapewa lifti honi inamuwasha. hahaha wa mbili havai moja dada. kama umeandikiwa ukimada bhaaaaasss, ukipewa chnge acha kupiga makelele. si utulie basi kona yako?
mwalimu gfsonwin, asante kwa recap lmao

elimu King'asti elimu.....mwenye elimu yake latulia anakunywa wine yake mume anarudi na baridi hili wanaenda kupata raha si unajua utamu wa mgegedo uliihalalishwa?

Sasa na baridi hili mwizi anaishia kutuma mafumbo jf kila akigeuka anakutana na ubaridi wa mto
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu yeyote mwenye huruma na mimi anayeweza kuniambia hapa sanasana kinazungumziwa nini?

Mkinionea Kongosho, King'asti na Kaunga naomba muwafikishieni salamu zangu za kwaresma.

Wasalaam, ODM.

Asprin mai hazbendi.... Small hausi kaamua kutolea machungu yake jf baada ya kuona msimu wa mvua umeanza na yeye anaishia kukumbatia mito
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha

Back
Top Bottom