Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Hahahaha
sikuwa na nia huupende!
Kwani jogoo si kuku?
Kwani yule mwingine nae kakukimbia? Daaa pole sana hiyo ndio mitihani ya dunia lakini we umepata pigo natamani nikufanyie maombi bila shaka kuna mkono wa mtu!
mkono wa mtu!
nani aweke mkono wake kwenye looser kama hili!
yani kabisa ujiongzee dhambi tuu eti na wewe ulikuwa mshirikina kwa kuroga aliyesharogwa toka analia NG'aa ah! lawyer banaa watake radhi kna manyau nyau fasta!
 
ati kuku unae ndani. uache kutwanga vitunguu swaumu umkamulie na limao uhangaike na mmasai mlinda mbu. inahuuu? afu nimekumisi aisee.
ahahahhahahhah Azote huwa hatuangaiki na ndala kama hizi isee au umesahau principle zeetuu!
ahahahahhha spare my ribs bana!
 
Last edited by a moderator:
Au mwenye hicho kidigrii ni wewe? Kwanini pasitoshe?

ahahahahahhaha mume wangu hawezi date takataka kama hii isee!
akifanya mastuzi hata mi mwenyewe huwa nakaa chini naseeema YEEEES!hapa best hata mimi natamani niweke dede!
af much worse kidisco vumbi hiv ahahahahahhah
llo!
 
naona itabidi nitoe mwongozo wa kuwa nyumba ndogo.

Rule namba 1. heshimu nyumba kubwa hata kama ni kilaza.

huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.

anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.
 
ati kuku unae ndani. uache kutwanga vitunguu swaumu umkamulie na limao uhangaike na mmasai mlinda mbu. inahuuu? afu nimekumisi aisee.

nashanga!
yaaani kuuutwa nianze kuhangaika na msubiria konani!
aahhahahahhahah itakuwa ngumu sana i see!
mi nimekumisije sasa!nipo kuleee tulikokutana siku ile alfajiri ulipokuwa unatoka kumnunulia Paw mguu wa mbuzi!
chezeya mke mwenye madegree wewe!ahahahahha watalia sana na bado moja haiwi ikawa sita i see
 
Last edited by a moderator:
angekuwa anafurahia kibamia angetulia tuliii. raha ya kibamia asubuhi, unaamka unakiona kinavyopata uhai na kufikia full size. sasa small hausi hadi ubakishiwe mapovu saa ngapi utafurahia. mtu anakuja macho yako kwenye saa, anaparamia awahi kwake. hahahaha, leo ni leo.
mbona yeye hakuanzishii thread?haya bwana furahia kibamia
 
naona itabidi nitoe mwongozo wa kuwa nyumba ndogo.

Rule namba 1. heshimu nyumba kubwa hata kama ni kilaza.

ahahahahahhahahhah hakuna wa kuvunja hesshima ya mtu konnie!
angekuwa mwanamke kweli amtoe huyo anayekunywa wine!
ahahahahhahahha kelel tu hizo kwenye neti sana sana nampigia rungu kwisha habai yake
 
usimbebe jumla

siku moja moja mkumbushe akamsalimie mnywa wine.

Huoni kumwibia mmewe jumla yaweza kuwa sababu?

Kinamuuma mwenyewe mi kiniume nini. Ye kataka digrii na wine. Na cheti cha ndoa na pete. Keshavipata. Kama kuna kinachomuuma kinamhusu sio mimi. Mimi nimekipata changu ninachokipata. Na pete navaa, ziko tele kwa masonara hela yako tu.
 
angekuwa anafurahia kibamia angetulia tuliii. raha ya kibamia asubuhi, unaamka unakiona kinavyopata uhai na kufikia full size. sasa small hausi hadi ubakishiwe mapovu saa ngapi utafurahia. mtu anakuja macho yako kwenye saa, anaparamia awahi kwake. hahahaha, leo ni leo.

HAPO SASA!
cchezeya morning glory wewe!
atabaki kusubiri cha after lucnh hivo hivo full kuwahi kazini na njaa juu!ale saa nagpi sasa kama sio juice ya azam tena ili ajione kashiba anakwambia uagize GUAVA!ahahahahhahahahhahha nguvu ya omo mi napenda!
 
debe tupu haliishii kutika atii! ukipemdwa unaonyeshwa matendo
kulamo maisha mama mtoto, mie leo nimemnunulia Paw mkia anapata supu hapa aaah! mi namhonga na madigirii yangu ili change akampe Da Sophy
nashanga!
yaaani kuuutwa nianze kuhangaika na msubiria konani!
aahhahahahhahah itakuwa ngumu sana i see!
mi nimekumisije sasa!nipo kuleee tulikokutana siku ile alfajiri ulipokuwa unatoka kumnunulia Paw mguu wa mbuzi!
chezeya mke mwenye madegree wewe!ahahahahha watalia sana na bado moja haiwi ikawa sita i see
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha;, asilaze damu kukata kanyaboya?

da sophy upo? hahahaha. bado tu unadandia waume za wenzio hujapata wako pamoja na kutokuwa na digirii.
ila ulipotea, huyo mume wa mtu kakuzalisha baby wa pili? usimlazie damu shosti, mjini kuchangamka!
 
debe tupu haliishii kutika atii! ukipemdwa unaonyeshwa matendo
kulamo maisha mama mtoto, mie leo nimemnunulia Paw mkia anapata supu hapa aaah! mi namhonga na madigirii yangu ili change akampe Da Sophy
umeona enh
ahahahahhahahhahahhahahah atararara njaa! maaanina!
 
Shem snowhite JF kuna vituko sana
'
Wacha nivunje mbavu mie!
 
Last edited by a moderator:
Hii vita ya nini tena, Duh

degree zetu
waume wetu
wine tununue kwa hela zetu
nyumba zetu
ndoa zetu
\af atokee kimburumatari tu hapa anaanza sijui fy0kofy0ko alaaa!
tukinyamazaga wanajua hatujui kuongea hawa!
niliomba uwanja hapa!kaenda wapi sijui ala!
 
Mfano wako wa kuku sijaupenda bora ungesema jogoo.

tena wewe kuku huria, kila jogoo wako! hahaha, unanchekesha.
proffessional small house. hebu tuambie akiwa kwa mkewe unakaribisha serengeti boy ama mume wa mtu mwingine?
 
watoto wa kike wana msemo wao ukiwa mbe'a ujue kutulia na kusutwa!!..em ntoe stress apa
 
Back
Top Bottom